miji

Miji (autonym: Dmay), also Dhammai or Sajolang, is a cluster of possibly Sino-Tibetan languages in Arunachal Pradesh, northeastern India. "Dialects" include at least two distinct languages, which are not particularly close, with only half of the vocabulary in common between the languages of East Kameng District and West Kameng District. Long assumed to be Sino-Tibetan languages, they may be a small independent language family.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini miji mingi waliyotawala waarabu kuna kiasi kikubwa cha kutumia ushirikina wa majini ?

    Halafu tofauti na mikoa mingine kwenye suala la ushirikina, mikoa hii unakuta watu wanachukulia poa wanajua flani ana majini 40, flani hachezewi anakutupia majini, ni sehemu zinazosifika kwa malimbwata, n.k. Tanga Pwani Tabora Lindi Pemba
  2. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Japan kujenga miji minne kwa ajili ya Waafrika kutoka nchi nne kwenda kuishi: Tanzania ikiwemo

    📸Tokyo, Japan NB: Mada hii imekuwa direct translated from English to Swahili kwa kutumia ChatGPT 4 Chini ya mradi ujulikanao kama JICA Africa Hometown Initiative, Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Japan (JICA) limeweka miji ifuatayo nchini Japan kuwa "miji ya nyumbani" kwa raia wa baadhi...
  3. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Viwanja/Maeneo mazuri ya kujenga kwa ajili ya kupangisha Miji ya Lindi & Mtwara

    Wakuu, maeneo gani kwa mji wa Lindi au mji wa Mtwara naweza kupata viwanja vya kujenga nyumba za kupangisha. Viwanja ambavyo watu wanajenga nyumba za kisasa na za kueleweka
  4. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Miji ya Chalinze na Msata kama lango la jiji la Dar es Salaam haipaswi kuwa vile kama ilivyo

    Kama unakaribia Dar es Salaam kama umetokea morogoro ni wazi kwamba ukifia chalinze ni kama unaanza pata picha jiji la dar es salaam, same kwa msata kama unatokea njia ya Tanga ukifika msata ni kama umeanza kupata picha ya Dar es Salaam Ila cha ajabu unapofika chalinze au msata haya maeneo sio...
  5. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Miji midogo ndani ya MANISPAA/JIJI itaboreshwa na kuwa ya kisasa na mizuri

    JIJI/MANISPAA nyingi zina miji midogo midogo na inakua sana ila cha kusikitisha hii miji inakua tu bila mpangilio wowote badala yake hii miji inatakiwa ijengwe vizuri na kuwa mizuri bado ipo ipo tu sio mizuri hata- Maboresho kwenye hiyo miji ni kama ifuatayo;- Kutajengwa magorofa marefu ambayo...
  6. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais wa Tanzania ntaifanya miji yetu kuwa mizuri na inayopendeza macho

    Kama umetembelea nchi za Western kwa mara ya kwanza umeshuka uwanja wa ndege kuna beauty flani amazing ambayo ndo mara ya kwanza unaiona na hata kupitia tu picha utaona kabisa wao wana-beauty flani nzuri tu Hata moja ya sababu inayovutia watu wengi kukimbilia nchi za Western ziko nyingi...
  7. Mwislam by choice

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Holela Zanzibar: Sehemu nyingi hazifuati mipango miji – Moto ukitokea huduma haziwezi kufika!

    Kwa yeyote anayeishi au kutembelea maeneo ya Zanzibar, atakuwa ameshuhudia jinsi ujenzi wa nyumba unavyoendelea kwa kasi maeneo mbalimbali. Lakini cha kusikitisha ni kwamba ujenzi huu kwa sehemu kubwa unafanyika kiholela bila kufuata mipango rasmi ya miji. Eneo la Jumbi juu ya kilima upande wa...
  8. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi kila kona ya miji yetu ni vumbi kwa kwenda mbele

    Kuanzia mwezi huu wa saba mpaka wa kumi kila kona ya nchi yetu ukienda maeneo ya mjini ni vumbi kwa kwenda mbele sitaki kuongelea vijijini sababu huko ndo habari ñyingine Mfano sehemu kama posta, kariakoo kunakuaje na vumbi, mji kama tunduma unakuaje na vumbi, mji kama makambako unakujae na...
  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Miji ya Tanzania haina open space, public garden, sport centre inasikitisha sana

    Miaka ya 90 kurudi nyuma open space zilikuwepo ila ghafla miaka ya 2000 kuelekea 2010's zikaanza kuota mbawa sasa hivi kwenye miji yetu hakuna public garden, open space na sport centre to be honest hali ni mbaya Sehemu kama dsm hali ni mbaya zaidi sababu unaweza tembea km 10 hakuna open space...
  10. Jackal

    JamiiForums Tanzania Milipuko ilitokea Kwenye Miji Mitano Ya Iran: Tehran, Karaj, Qom,Mashhad,Tabriz

    Watu wasiopungua saba wamejeruhiwa katika mlipuko uliotokea kwenye jengo la makazi pembezoni mwa mji wa Qom, Iran, kwa mujibu wa vyombo kadhaa vya habari vya Iran. Angalau magari matano ya dharura yalipelekwa katika eneo la tukio baada ya mlipuko wa Jumatatu katika makazi ya Nasim Pardisan...
  11. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunashindwa kupanga miji yetu. Hata kupanga makaburi imetushinda pia?

    Matatizo yamenikuta niko nchi za watu kwenye ibada ya marehemu makaburini Kwakua akili yangu haipo idle, nikawa nafanya observations mbili tatu. Kwanza, hawa watu wanaeshimu wafu wao, makaburi yamepangwa vizuri na yanatunzwa Akili yangu ikarudi nyumbani chap kutafakari makaburi yetu kama vile...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Magenge ya kiuhalifu yadhibiti Mji Mkuu wa Haiti

    Umoja wa Mataifa umeonya kuwa magenge ya kihalifu yamedhibiti karibu mji mzima wa Port-au-Prince, mji mkuu wa Haiti. Takriban asilimia 90 ya jiji hilo sasa liko mikononi mwa magenge, huku ghasia zikienea hadi maeneo yaliyokuwa na utulivu awali. Serikali ya Haiti imeshindwa kudhibiti hali hiyo...
  13. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania • Serikali yaipongeza tarura, miji 11 ikisaini utekelezaji mkataba wa Tactic

    SERIKALI YAIPONGEZA TARURA, MIJI 11 IKISAINI UTEKELEZAJI MKATABA WA TACTIC Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amebainisha kuwa Serikali inatambua jitihada na kazi nzuri inayofanywa na Wakala ya barabara za Mijini na Vijijini TARURA...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Dira ya CCM inasemaje kuhusu miji kuwa na mifumo ya majitaka katika makazi?

    CCM wamekumbuka kuweka kwenye ilani mpango wa miji kuwa na mifumo ya maji taka iliyounganishwa badala ya kila nyumba kuwa na shimo la choo la kuhifadhi kinyesi na maji taka uani wanaloishi nalo uani na linalonyonywa na magari?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi Iran ilivyoshusha mvua ya mabomu Tel Aviv na miji jirani kujibu mashambulizi ya Israel ndani ya Iran!!

    Iran hajachukua muda mrefu, amejibu mapigo, tusubirie vita kamili kati ya Iran na Israthuku USA akiichagiza Saudia na vibaraka wake wamtulize Iran, safari hii USA atafeli kutumia vibaraka na itambidi aingie front mwenyewe, Houthi na wao nawaona punde wakiungana na Iran kushusha makombora kwa...
  16. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Wayahudi wamekimbilia wapi miji yote mieupe hamna hata mbwa barabarani

    Baada Netanyahu kukimbia kwa mwendo wa ngiri raia nao wamekimbilia kwenye mapango kujificha kuogopa kamikaze za uajemi Sasa hata paka hawaonekani barabarani
  17. Traxtion

    JamiiForums Tanzania USA vs China: Nchi ipi ina miji mizuri zaidi?

    Marekani ni nchi yenye uchumi mkubwa kushinda China ila ndio nchi ambazo zipo kwenye ushindani mkubwa sana wa kiuchumi Leo nataka niongelee suala la miji China ina miji mikubwa kushinda Marekani, ina watu wengi kuliko ya Marekani, ina miundombinu ya kisasa, kushinda miji ya Marekani na bado...
  18. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais wa Tanzania miji mikubwa na midogo itapigwa paving

    Mji wa Florence Italy ndo mji wa kwanza kupiga mji mzima paving mwaka 1339, leo hii ukitembelea nchi zilizoendelea ni nadra sana kukuta miji yao inavumbi, kama wao wameweza na sisi Tanzania tunaweza Miji kama seoul, Beijing, Tokyo ni mikubwa sana, inawatu wengi dar cha mtoto ila ukiambiwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Miji na vijiji vinavyokuwa kwa Kasi Tanzania unaweza kimbilia kutafta pesa huko

    Ukiwa kijana unahitaji kufahamu haya mambo mawili 1. Kujua fursa 2. Kukubali kubadilika , kama mzee unahitaji kitu kimoja tu maishani 1. Utulivu , pesa inapatikana penye kundi kubwa la watu ( high populations more opportunities ). Huu Uzi nakutajia miji na...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Trump na Netanyahu wamalizia mpango wa kuifuta Gaza na Hamas nao waidondoshea kombora 5 nzito miji miwili ya Israel ambayo yameleta madhara.

    Katika ziara yake nchini Marekani,waziri mkuu wa Israel,Benjamini Netanyahu wameweka mikakati yao ya kuifuta Gaza kwa uwazi kuonesha mataifa yao hayana kificho kwa mpango huo. Katika mazungumzo yaliyonaswa na waandishi wa habari na kuwekwa kwenye mtandao wa kijamii wa Trump,raisi huyo amesema...
Back
Top Bottom