MaweSaba
JF-Expert Member
- May 3, 2024
- 397
- 604
Mko poa wasoma uzi?
Niende kwenye mada, baada ya uanzishwaji wa vyama vingi CCM ilichukua mali zilizokua na Umma na kuweka kwenye milki ya chama.
Viwanja vya mpira kama Kirumba, Mwanza, Jamuhuri Dodoma, frame za biashara, stand za mabasi, nyumba na viwanja vingi vilivyokua mali ya umma zilifanywa kua mali za chama.
Kwenye miji mingi, maeneo yale hayana maendeleo, frame zimechoka na fursa ya kufanya maendeleo ya hiyo miji inakua changamoto kutokana na umuhimu wa hilo eneo kukaliwa na mmiliki mmoja asiefanya maendeleo.
Imagine capital city, Dodoma miaka zaidi y 60 eti leo ndio tunajenga uwanja wa jiji. Mwanza ni aibu, hakuna uwanja wa Jiji.
jiji wangekua wameshafanya maboresho uwanja wetu waliouchulua lakini sasa... waturudishie mali za umma tujiletee maendeleo wenyewe.