Kwanini miji ya Africa mingi ipo disorganised?

Kwanini miji ya Africa mingi ipo disorganised?

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
7,605
Reaction score
15,536
Wakuu leo nimeona nilete mada mezani. Kwa nini miji yetu mingi ipo disorganised ukifananisha na wenzetu?
Ukiangalia miji ya nchi za mambele utaona imepangiliwa, misafi, wamepanda miti mingi, haipo chaotic ni miji inayovutia

Mfano angalia mji wa Seattle, Marekani
premium_photo-1697729926633-1d9048a2d60a (1).jpeg

Screenshot_2025-12-12-18-56-05-011_com.google.android.apps.maps.png
photo-1572981986848-b6f1c98828e7.jpeg


Lakini ukiangalia Africa miji yetu utaona hatujapanda miti, hakuna pavements, michanga imeingia barabarani, ni michafu yani kila kitu kipo disorganised.
Angalia mji wa Lagos, Nigeria
photo-1649502913092-fb7f0e8fc632.jpeg

c8911660-5059-4666-9f27-3384431981d0_w1840_r1.56793893129771_fpx28.68_fpy54.97.webp


Hapa naleta na picha, mfano wa miji ya mambele halafu tuone.

Paris
photo-1511739001486-6bfe10ce785f.jpeg

photo-1431274172761-fca41d930114.jpeg

.

Tokyo
photo-1549693578-d683be217e58.jpeg

premium_photo-1661964177687-57387c2cbd14.jpeg

.

Amsterdam
photo-1534351590666-13e3e96b5017.jpeg


Halafu hapa naonesha jinsi miji mingi ya Africa ilivyo

Hii picha ni Eastleigh, Nairobi
eastleigh.jpg


Hapa ni Pipeline, Nairobi
20251212_190900.jpg


Hapa ni Paje, Zanzibar
5CD6YJTK75FSHAGS5Y3MVBDOIY.jpeg


Hapa ni Kampala, Uganda
Screenshot_2025-12-12-19-12-06-378_com.android.chrome.png


Kuna watu wanasema sababu ni umasikini. Mimi nakataa. Mbona Rwanda ni nchi masikini lakini miji yao ipo organised sana.
Nakuonesha picha za Kigali, Rwanda. Zipo tofauti kabisa na miji mingine ya Africa
Iangalie Kigali
Kigali-clean-1.jpg
photo-1668875438994-4388304392ef.jpeg
photo-1708772565599-2c4e4b3ed9db.jpeg
FB_IMG_1765556223398.jpg
FB_IMG_1765556294402.jpg
FB_IMG_1765556297976.jpg
FB_IMG_1765556308673.jpg


Sababu ni nini? Kwa nini miji mingine ya Africa isiwe kama Kigali? Au kwa nini isiwe kama miji ya mambele?

NB: Najua kuwa hata miji ya Africa kama Nairobi, Kampala na Lagos ina maeneo ambayo yapo well organised na masafi, lakini ni machache mno ukifananisha na maeneo machafu ambayo hayajapangiliwa vizuri
 
Umeamua tu kuchagua mifano mibaya ungetaka mifano mizuri ungepata kwenye miji yote mikubwa kuanzia hiyo Nairobi lagos na kwingineko
Nairobi, ni hii hapa. Japo hizi ni offices na ni wachache ambao wanafanya shughuli zao huku, majority of people in Nairobi shughuli zao wanafanyia hizo sehemu disorganised ambazo ndio how big parts of our cities and towns look like
photo-1669127300649-940337f1487e.jpeg

Lakini hapa pia nina swali lingine, kwa nini haya maeneo mazuri infrastructure nyingi zimejengwa na Wachina badala ya Waafrika? Actually nilitaka niulize maswali mengi sema nilikuwa naona uvivu
Maeneo mengi mazuri Africa hatujajenga sisi. Why?
 
Ungefafanua una maanisha nini unaposema ipo disorganised. Naona mifano yako imejikita zaidi kwenye uchafu na barabara.

Amandla...
Ndio kama hivyo yani, kwa nini huo uchafu usiwe na sehemu maalumu za kutupa, badala yake uchafu mwingi upo mitaani? Pia nimesema miji yetu haipo well planned
Yani mpango mji hatuzingatii, mfano nipo huku Mbeya, lakini kuna ujenzi holela sana. Watu wanajenga bila mpangilio matokeo yake mwonekano unakuwa mbaya.
Miji yetu ipo disorganised, kwa namna hiyo yani
 
Ukienda porini huwezi kukuta manyani yako organised...sisi na nyani tofauti ni ndogo sana😄...ila hapa ni Kizimkazi
1000091024.jpg
1000091025.jpg
 
Sababu ni CCM hususani hapa Tanzania.
Wao wanaendesha serikali miaka 64 sasa lakini wameshindwa kupanga miji yao hata Dodoma.
Hata mkoloni alifanya vizuri kwenye mipango miji kuliko wanavyofanya CCM
Hili swala hata mimi nashangaa sana, maeneo mengi yaliyojengwa na wakoloni yamepangika mno, na maeneo yaliyojengwa na sisi mengi yapo shaghalabaghala. Inasikitisha sana
 
Yeah, maeneo mazuri masafi ambayo yapo organised yapo Africa, lakini maeneo machafu yasiyo organised, ni mengi zaidi ndio kinachoniuma
Kwa sababu civilization ni kitu tuliletewa na mkoloni, ni kama uende porini uwakute nyani uwalazimishe kuvaa suti kwa viboko halafu baadaye uondoke uwaache, mwisho wa siku utakuta wapo hovyo kimpango wao kwa sababu mavazi sio kitu walichojifunza wenyewe kutokana na changamoto za maisha yao
 
Back
Top Bottom