mihogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kwa wingi wa mihogo inayoingia mjini wakina nani wanafanya tathmini ya kujua ipi inafaa kwa matumizi ya chakula?

    Sio Kila mhogo unafaa kwa matumizi ya chakula sababu Kuna aina ya mihogo ni sumu Sasa kama mnavyojua biashara ya mihogo ilivyoshamiri mjini wengi tunatumia kama vitafunwa assurance ya kitu kinacholiwa na binadamu ni jambo la msingi sana sababu hakuna mbadala wa uhai. Kuna mihogo ukila baada ya...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua zaidi kuhusu kilimo cha muhogo

    Wakuu habari zenu naomba kujua zaidi kuhusu kilimo cha muhogo na changamoto zake na aina bora ya mbegu
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nauza mihogo

    Habari wa kuu ,Nina mashamba ya mihogo hekta 15 hapa Morogoro. Karibu tufanye biashara, mihogo mizuri inaiva maji kidogo sana. 0762502983
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mihogo ya Bukoba mitamu sana

    Hii mihogo ya Bukoba inatamanisha sana na very health
  5. U

    JamiiForums Tanzania Leo nimekula mihogo mitamu na laini kama keki maeneo ya Mbuyuni

    Wadau hamjamboni nyote Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa uliothibitisha kuwa nilichokuwa nakifikiria kuhusu mihogo siyo kweli! Leo Jumatano majira ya mchana hapa maeneo ya Mbuyuni nimekula mihogo ya kukaanga ambayo ni mitamu na laini sana utadhani ni keki Nimpongeze sana huyu mama mpishi...
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora ya mihogo inapatikana wapi Kanda ya Ziwa?

    Inayohitajika ni ya miezi sita na ya mwaka mmoja. Wakulima wengi wa huku wanaotesha ya miaka miwili. Ni wapi inapatikana ya kisasa, inayoweza kukomaa ndani ya kipindi cha miezi sita na mwaka mmoja? Mashamba ya kuoteshea yapo mkoani Geita na Kakonko mkoani Kigoma.
  7. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Wanaouza mihogo wanajiita wajarisiamali

    Tafsiri ya neno ujasiriamali ni kitendo Cha kuumiza akili(brainstorming) na kubuni jambo ambalo halijawahi kuwepo kwa lengo la kuisaidia jamii. Mfano wa ujasiriamali ni kama vile ugunduzi za engine, kompyuta na n.k. Sasa sikuhizi unakutana na mama muuza mihogo ya kukaangwa au mchicha anajiita...
  8. tawakkul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa ushiriki wako kwenye mjadala wa Bandari unatuharibia

    Nakusalimu kwa jina la UKAWA, itikia "nilikataa ushenga" Wewe ni mtu ambaye ulitukosesha ushindi mkubwa zidi ya CCM mwaka 2015. Ulitukimbia katika hatua za mwisho na kama haitoshi ulidiriki kutumika na haohao CCM kufichua kile ulicho kiita mkakati batili wa kushirikisha Lowasa na baadhi ya...
  9. Friday Malafyale

    JamiiForums Tanzania Auawa kikatili kisa wizi wa mihogo Ruangwa Lindi

    Raia mmoja ambaye hajatambulika kwa haraka amekutwa amekufa kwa kuuliwa na kuchomwa moto hadi kufa. Kwa mujibu wa mtoa taarifa hii, tukio hili limetokea kijiji cha Luchelegwa Ruangwa Lindi njia inayoelekea Nachingwea kuna mwizi ameuawa na kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali usiku wa...
  10. comte

    JamiiForums Tanzania CAG kwenye viroba vya mihogo ya futari agundua vipande vya miti badala ya mihogo-waathrika waenda kwa mganga kuroga

  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kula mihogo mibichi kunasababisha uwe zezeta

    Mihogo huwa ina sumu inayoitwa cyanide. Sumu hii hupatikana kwa wingi sana kwenye mihogo michungu. Lakini pia ipo kwa kiasi fulani kwenye mihogo ile mitamu. Sumu hii ni kali sana, ikizidi inaua mara moja. Ndiyo hata wqle majasusi unaona wnajiua kwa kutumia cyanide iwapo wamekamatwa na hawataki...
  12. Bridger

    JamiiForums Tanzania KWELI Baadhi ya Mihogo huwa na sumu inayoweza kuua

    Kwa mujibu wa mdau mmoja, Disemba 12, 2019 aliona kwenye taarifa ya habari ya chombo kimoja wakitangaza kuwa familia moja imepoteza watoto wao wanne kwa kile kinachodaiwa kuwa walikula mihogo yenye sumu. Aidha, mada hii imekuwa inazungumzwa sana mitaani, huku ikiacha mashaka makubwa kwa kuwa...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Azam TV Mechi ya Timu yangu pendwa Club Africaine na Yanga Mihogo FC ni saa ngapi?

    Nijibuni upesi kwani nataka nimuandae kabisa Mnyasa (Mmalawi) wa kuwa naye usiku mzima wa leo na niandae pombe za kunywa ili kusheherekea tu kutolewa rasmi kwa klabu moja, na Tanzania kubakia kuwakilishwa na klabu moja tu kubwa kuliko inayojulikana hata na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ya...
  14. John Sin

    JamiiForums Tanzania Update za wala mihogo

    We as Yanga fans would like to thank our president Engineer Hersi said for realizing that many of the fans who want our coach Nabi to be fired are those who do talk about Yanga all day long. We, as Yanga, like to know and recognize them like the women of Kampalange and Lulunge the first genta
  15. Poker

    JamiiForums Tanzania Hivi sisi wala mihogo tunakwama wapi?

    Wakati wenzetu wakiendelea kuchanja mbuga huko kimataifa na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania, sisi wala mihogo kila siku ni visingizio na kutamba kumfunga Simba na unbeaten kwenye ligi ya mchongo. Sisi mashabiki lia lia wa mihogo fc tumechoka hii hali tunataka nasisi tuwe na mafanikio...
  16. Jesus Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Lengo la rais wa yanga kuwaita mashabiki wa timu yake wala mihogo

    Kitendo alichokifanya rais wa yanga ni udhalilishaji wa hali ya juu. Ameonesha namna gani alivyo na dharau na kuwapuuzia mashabiki wa timu ya yanga. Yanga ilikuwepo tangu miaka ya 1935. Viongozi walimtangulia walikuwa wakiheshimu mashabiki. Ni kweli mihogo ni chakula mambacho watu wengi...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Dhambi hizi zifuatazo ndizo zinaigharimu Wala Mihogo (Masikini) Yanga SC Mechi za Kimataifa

    1. Mgawanyiko mkubwa baina ya Wachezaji (hasa wazawa na Wageni) na hili GENTAMYCINE zaidi ya mara Mbili nimelisema hapa hapa JamiiForums ila mkanichukulia poa ila lipo tena sana tu 2. GSM na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Makamu wake Kujimilikisha Yanga SC na Kuwadharau wenye Yanga SC...
  18. Toxic Concotion

    JamiiForums Tanzania Baada ya Alkasus, mkongo,pweza, mihogo na nazi mbichi, sasa kuna mende

    Soon tutaanza kuona masela wanawinda mende vyooni badala ya mkongo. Hili pia ni fundisho la kutokuendekeza kula kula ovyo kwa michepuko. Kutoka mende mpaka kuwekewa kinyesi kabisa ni hatua chache tu. Kidume unajiona unapendwa kwa kukarangiziwa kumbe unalishwa makimba. Mbaya zaidi kuna maslay...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Nunua mihogo yao lakini kuweni makini sana wanapoomba muwatwishe mabeseni yao kichwani

    Msiseme dmkali kasema! Biashara ya wauza mihogo na vifurushi inasaidia sana! Lakini namna ya uuzaji hiyo mihogo ndiyo inaleta maswali! Muuzaji anaweza toka na beseni lake kutoka huko aliko toka lakini akiona wanaume kikundi anakuja kulibwaga beseni pwaah! Halafu anaanza kuwaangalia usoni...
  20. Buyaka

    JamiiForums Tanzania Mihogo mibichi inayouzwa barabarani Mwenge hadi Africana ina sumu!

    CYANIDE iliyotumika na Adolf Hitler kuuwa Wayahudi ipo kwenye MIHOGO MIBICHI! Na mpaka leo bado inatumika kwenye hukumu za vinyongo kwenye nchi kama Marekani jimbo la Arizona. Sisi tukitaka kuua mtu tunampiga na mawe, petroli, viberiti... taharuki. Lakini njia moja ya kuua mtu bila kuzua...
Back
Top Bottom