miguu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: De Gea alivyosalitiwa na miguu badala ya mikono

    MVINYO wa Nebiollo unaopatikana Italia ndio mvinyo ambao unasindikwa katika chupa kwa muda mrefu zaidi duniani. Miaka 20. Kadri unavyozeeka ndivyo unavyokuwa mtamu. Unanywewa na matajiri kama kina Sir Alex Ferguson. Katika huu mchezo wa kihuni unaoitwa soka, wachezaji wanaolinda lango maarufu...
  2. JamiiForums Tanzania Jana nimetembea Kilometa 43 kwa miguu

    Nilikuwa nafanya mazoezi ya marathon, ila kwa kutembea mdogomdogo. Ilinichukua masaa tisa lakini nilifanikiwa
  3. JamiiForums Tanzania Huu mfumuko wa bei unatuumiza zaidi sisi majobless.

    Nimestaajabu leo nimeenda dukani kwa Kimario hapa Lumo ananambia embassy moja ni 300 wakati me najua ni 250 tu. Nilikua na buku nimekula miguu, utumbo na vichwa vya kuku nikabaki na 250, naenda dukani nipate embassy naambiwa ni 300, imeniuma sana.
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke mmoja wa kiafrika ashangaa Waziri kutembea kwa miguu kulelekea kazini

    Video Dada wa kiafrika kakutana na waziri mkuu wa Netherland, anakwenda ofisini kwa mguu akitokea nyumbani kwake... Dada anashangaa anahema kwa mshangao akikumbuka Afrika huku😃 mpaka katibu tarafa ana king'ora
  5. JamiiForums Tanzania Umewahi tembea umbali gani mrefu kwa miguu ndani ya jiji la Dar es Salaam?

    Nakumbuka siku moja nikiwa Msasani alitokea kijana mmoja akaniomba nimtembeze kwenye mtumbwi. Ila kwa bahati nzuri kukawa na boti linaenda Kigamboni siku hiyo, basi bhana nikamuunganisha akaniambia tuende wote mpaka taifa tukaangalie na Mpira kati ya Yanga na Mbeya city. Alifurahi sana...
  6. JamiiForums Tanzania Siri za Jeshi: Miguu yenye uvungu

    Wakuu hamjambo? Je mnajua kuwa huwezi kuwa mwanajeshi kama una miguu flat? Ni lazima miguu yako iwe na uvungu ili uwe mwanajeshi. Naomba kujua siri ya hii kitu, pia ningependa kujua ni jeshi letu tu au ni majeshi yote duniani?
  7. JamiiForums Tanzania Inasemekana Kipa wa Simba ana uwezo kudaka na miguu

    Msishangae wataalam Inasemekana Goalkeeper mahiri wa Simba SC anao uwezo mkubwa kutumia miguu yake kudaka mipira.Sababu hii inapelekea kuruka upande wa kushoto tofauti na uelekeo wa mpira ili aweze kutumia miguu yake kudaka mpira. Kongole Wanasimba kwa ushindi mnono, Kongole Wanalunyasi kupata...
  8. JamiiForums Tanzania Mtakuja vunja miguu nyie

    Umevaa mchuchumio (high heels) afu unatembea umbali mrefu...eti Kimanga mpaka Kinyerezi siyo mbali ujue😳 napita shortcut😎...sawa siyo mbali mwenyeji wetu...sasa ndo utembee umevaa mchuchumio? Jaman! Yaan wadada tumekuwa na vigimbi vya miguu wachezaji mpira wakasome! Tuvae raba bas au simple...
  9. JamiiForums Tanzania Shida ya Aziz Ki ni nguvu nyingi za miguu

    Nguvu nyingi za miguu alizonazo Aziz zinamsumbua sana katika kukadiria kupiga mpira kutoa pasi na hata kulenga lango, yaani mpira unakwenda kasi mno, unaenda mbali au unapaa juu ya lango hata kama akiugusa kidogo tu. Hata yeye anashangaa kwanini mpira hauendi pale alipoukusudia. Yeye anaona...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tuliocheza disco dhamani mpaka miguu inatetemeka tukutane hapa

    Maisha ni safari ndefu sana maana tulipotoka sipo tulipo sasa maana maisha yamebadilika sana. Huko nyuma kipindi kama hichi cha sikikuu watu walicheza disco na kukata ngoma haswaa, wale wa kijijini walicheza mpaka nyasi ziling'oka. Walikuwepo making wa dancing floor yaani akianza kukata wote...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mzuka wa ushangiliaji wa Kocha Robertinho haukuanzia hapa Simba; alikuwa hivyo toka anacheza mpira wa miguu kwao nchini Brazil

    Kohh koooh... Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo, ukipenda unaweza kumuita Robertinho alikuwa mshambuliaji nguli aliyechezea vilabu vikubwa nchini brazil, mwisho mwa miaka ya 70 mpaka mwishoni mwa miaka ya 80. Kocha huyu anayewaonoa wekundu wa msimbazi kwa sasa, aliwahi kukipiga katika vilabu...
  12. JamiiForums Tanzania Taasisi ya usimamizi vivuko vya miguu liangalieni hili

    Sina mengi, Kivuko cha buguruni chama binafsi sikioni kama Kiko salama, naomba mamlaka husika ikitupie jicho, baadhi ya mabati ambayo ndiyo tunapita juu yake yameanza kuacha space au kuachana. Ni hayo tu. Wasalaamu.
  13. JamiiForums Tanzania Rosa Ree ana miguu mizuri sana

    Tazameni hapa miguu ya Rosa Ree inavyovutia , mtoto guuu guuu 😂😂😂😂😂. Sema Rosa Ree naona kaacha kumpost yule bwana wake manywele maana kule insta tulikuwa hatupumui .
  14. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Miguu kutoa harufu

    Habari za midaa wakuu, ninashida ya miguu & viatu kutoa harufu baada ya kuvaa, hata nikivaa masaa 6 baada ya kuvua lazima vitoe harufu. Mwenye anajua tiba naomba maelezo
  15. JamiiForums Tanzania Mesut Ozil ametangaza rasmi kustaafu mpira wa miguu

    Mesut Ozil, mchezaji wa zamani wa Arsenal, Real Madrid na kiungo wa timu ya taifa ya Ujerumani ametangaza rasmi kustaafu mpira wa miguu akiwa na umri wa miaka 34. Akiandika katika page yake ya Instagram akisema "Ilikuwa ni dhahiri na sasa ni wazi kuwa muda wa kuacha mpira katika hatua kubwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ingelikuwa siasa ni mpira wa miguu

    Niwasalimu tena kwa jina la Jamhuri ya Muungano. "Kazi iendelee😅😅 (japo kuwa hamna kazi..) Nimekaa na kuwaza hivi siasa ingekuwa mpira wa miguu; CCM hutumia mfumo gani na Chadema mfumo gani (tuseme vyama vingine wakae upande wa mashabiki) Mimi nimewaza hivi; CCM hutumia mfumo wa 541 yaani...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa tatizo la miguu kuwasha

    Naomba msaada wa riba ya kuwashwa kwa miguu. Ni wiki wa tatu sasa miguu inawasha pasipo sababu hakuna vipele wala alama zozote za kuashiria fungus. Mwanzo nilihisi labda ni socks Ila nina kama wiki kama 2 sijavaa socks lakini bado miguu inawasha
  18. JamiiForums Tanzania Mpira wa miguu siyo uchawi, siyo porojo, wala siyo siasa bali ni Sayansi

    Wiki nzima timu ya Simba walilinda uwanja wa Taifa (Kwa Mkapa) kabla ya mechi yao na Raja Casablanca iliyofanyika jana jioni. Matokeo yake Simba wamechapwa mabao 3 kwa sufuri hapo hapo kwenye uwanja walioulinda kwa wiki nzima huku wakifanya ushirikina na imani za kishenzi za Kiswahili. Ifike...
  19. JamiiForums Tanzania Komesha harufu kali ya miguu kwa kutumia VODKA

    TIBA MBADALA NA BUJIBUJI Hamna kitu inakera kama kwenda ugenini huku ukijua wazi kabisa kuwa miguu yako inatema chechex hadi moto unaweza kuwaka kwa harufu Kali. Kama unajijua unapitia tatizo hilo hamna noma, Bujibuji's Remedies inafanya kazi kwa ajili yako. Chukua buku mbili yako, ingia...
  20. JamiiForums Tanzania 92% ya Wanafunzi nchini wanatembea kwa Miguu kwenda Shule

    Jiji la Dar es salaam linaongoza kwa kuwa na Wanafunzi wengi wanaotumia Mabasi ya Shule kulinganisha na sehemu nyingine yoyote Tanzania. Wanaotembea mpaka Shule - 92.6% Wanaotumia Usafiri wa Umma - 3.7% Wanaotumia Basi la shule - 1.5% Wanaotumia Baiskeli - 1.1% Wanaotumia Magari binafsi - 0.6%...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…