Kuna kababu ka kizungu kanatembea kichizi kwa miguu.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,886
155,869
Mimi ni mpenzi sana wa kutembea kwa miguu. Sio kwamba natembea umbali mfupi, la hasha, napiga majembe kweli, yaani mwendo wa Bahari Beach hadi Mwenge au Makumbusho kwangu ni kawaida sana.

Kuna siku nilipost hapa kwamba nimetembea kilometres 43 lwa siku moja, watu wakabisha vibaya sana.

Katika succumb zangu za kupiga ngondi, kuna mwamba mmoja namkubali sana na ninampigia saluti.

Huyo sio mwingine, ila kababu ka kizungu. Kababu haka kana mvi, siku zote anavaa suruali ýa jeans rangi ya blue, na Polo shirt nyeupe, anachomekea.

Hizi code za nguo zake hazibadiliki, kila mara tunaonana na kupeana hi. Huwa namzingua, Hello Johnny Walker, naye ananiita hivyo pia.

Alfajiri ya leo tumekutana pande za Mlimani City. Kila asubuhi lazima nikate kilometers 15
 
Unazijua 43km au unaongea tu. Binadam hutembea 10 km kwa saa. Ili uarchieve hizo km zako ina maana utembeemasaa 4.5 hadi 5 uliongea kutoka mbezi hadi ubungo hazifiki hata 20km
 
Mimi ni mpenzi sana wa kutembea kwa miguu. Sio kwamba natembea umbali mfupi, la hasha, napiga majembe kweli, yaani mwendo wa Bahari Beach hadi Mwenge au Makumbusho kwangu ni kawaida sana.

Kuna siku nilipost hapa kwamba nimetembea kilometres 43 lwa siku moja, watu wakabisha vibaya sana.

Katika succumb zangu za kupiga ngondi, kuna mwamba mmoja namkubali sana na ninampigia saluti.

Huyo sio mwingine, ila kababu ka kizungu. Kababu haka kana mvi, siku zote anavaa suruali ýa jeans rangi ya blue, na Polo shirt nyeupe, anachomekea.

Hizi code za nguo zake hazibadiliki, kila mara tunaonana na kupeana hi. Huwa namzingua, Hello Johnny Walker, naye ananiita hivyo pia.

Alfajiri ya leo tumekutana pande za Mlimani City. Kila asubuhi lazima nikate kilometers 15
Haufanyi kazi kila asubuhi 15 km maana kwa dar kila mtu huanza kwenda job saa11 alfajiri, inamaana 15km ni masaa2 unaamka saa 9 kila siku. Hii ngumu kumeza mkuu
 
Safi sana mimi mwenyewe naamini sana katika mazoezi nilikua natembea kipindi cha nyuma ila sio hizo KM Mzee wa Mbalizi sasa hivi nimeanza mazoezi ya Mpira na Veterani wenzangu tunapasha kweli....
 
Mimi ni mpenzi sana wa kutembea kwa miguu. Sio kwamba natembea umbali mfupi, la hasha, napiga majembe kweli, yaani mwendo wa Bahari Beach hadi Mwenge au Makumbusho kwangu ni kawaida sana.

Kuna siku nilipost hapa kwamba nimetembea kilometres 43 lwa siku moja, watu wakabisha vibaya sana.

Katika succumb zangu za kupiga ngondi, kuna mwamba mmoja namkubali sana na ninampigia saluti.

Huyo sio mwingine, ila kababu ka kizungu. Kababu haka kana mvi, siku zote anavaa suruali ýa jeans rangi ya blue, na Polo shirt nyeupe, anachomekea.

Hizi code za nguo zake hazibadiliki, kila mara tunaonana na kupeana hi. Huwa namzingua, Hello Johnny Walker, naye ananiita hivyo pia.

Alfajiri ya leo tumekutana pande za Mlimani City. Kila asubuhi lazima nikate kilometers 15
nimetoka alfajiri hii saa10:45 mdogo mdogo sehemu flani hivi inaitwa vikunai bangala kama unaelekea kigamboni, saivi nipo kijichi naitafuta mtongani by saa1:30 asubuhi, natakiwa nitoboe tandika kuna kakazi nafkuzia.
Huwez amini sina hata dalili za kijasho napeta tu....

Mfukoni sina hata 10 ila napeta tu najua kitaeleweka Mungu yupo nikifika.....

Ajabu ni kwamba napiga ibada kama zote
halafu mawazo yanaingilia kati hadi nasahau nilikua naomba nini kwa Mungu.....

mpaka najikuta naanza kucheka sijui ni peke yangu au na pepo lilioingilia kati ibada zangu....
 
Naam naam
Usijjsahau ukadhani na wewe nin
gari Ukatembea katikati ya barabara
 
Naam naam
Usijjsahau ukadhani na wewe nin
gari Ukatembea katikati ya barabara
niko makini mkuu,
natumia chocho zaidi maana maana pembezoni mwa barabara kuna boda kama wawili hivi pitapita yao jirani yangu imeniarlet kwamba hata hii Infinix wanaweza pita nayo mambo yakawa magumu zaidi...

Bodaboda wainyake Infinix halafu ngoma ya Israel Mbonyi - Nina Siri Nae Yesu ndio inapiga ntaumia sana aiseee......

ngoma inafanya miguu inakua myepesi sana.....
 
nimetoka alfajiri hii saa10:45 mdogo mdogo sehemu flani hivi inaitwa vikunai bangala kama unaelekea kigamboni, saivi nipo kijichi naitafuta mtongani by saa1:30 asubuhi, natakiwa nitoboe tandika kuna kakazi nafkuzia.
Huwez amini sina hata dalili za kijasho napeta tu....

Mfukoni sina hata 10 ila napeta tu najua kitaeleweka Mungu yupo nikifika.....

Ajabu ni kwamba napiga ibada kama zote
halafu mawazo yanaingilia kati hadi nasahau nilikua naomba nini kwa Mungu.....

mpaka najikuta naanza kucheka sijui ni peke yangu au na pepo lilioingilia kati ibada zangu....
Usisahau kunywa maji ya kutosha harakati za daslama zinahitaji kujikakamua Sana .
 
Back
Top Bottom