miezi

Normunds Miezis (born 11 May 1971) is a Latvian chess Grandmaster (1997).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni miezi mitatu sasa nimekonda sana. Wanangu ni chanzo

    Habari ni gani wakuu zangu? mimi ni baba pia, nina watoto wawili wa kiume umri ni miaka 4 kwa 5. huwa sikai nao wanakaa kwa mama yao... so siku zalikizo ndo huwa wanakuja kwangu kunitembelea... napo wanakaa siku mbili au tatu halafu wanarudi kumalizia likizo kwa mama zao. safari hii nikaona...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO BOT mnataka tufilisike kabisa ndio mtafurahi? Fungueni akaunti zetu, tuna hali ngumu kimaisha, kila kitu kimekwama

    Nimelazimika kuandika hapa huku nikiwa na huzuni sana kwa kuwa tumevumilia lakini tunaona uvumilivu unaelekea ukingoni. Ni Miezi mitano sasa toka Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Afanye uteuzi wa Naibu Gavana Anayeshughulikia Utawala, Dkt. Rahma Salim Mahfoudh. Dkt. Rahma, sisi tuna madeni...
  3. JamiiForums Tanzania Umeshiriki mapenzi na mwanamke kisha mwezi au miezi miwili, anakuambia “Nimepiga hesabu nimeona hii mimba ni yako” na wewe unakubali? Sawa bro

    Ifahamike siwezi kukataa mimba iwapo nilishiriki na mwanamke ngono zembe yaani bila puto. Ikitokea nikaambiwa moja kwa moja kuwa nina mimba yako nitalea na nimewahi fanya hivyo pasina shida yoyote Ile. Kifupi ieleweke siwezi kukataa damu yangu. Napinga kukubali kwa namna yoyote Ile kupewa...
  4. JamiiForums Tanzania Research Supervisor Hatimaye Atasema 'Sasa Tunazungumza'... Nakuhakikishia...

    Neema alikuwa amechoka. Miezi mitatu ya research, na bado literature review ilikuwa "rough draft." Supervisor alimwambia mara nyingine tena: "Rudi uiandike title upya." Alianza kujiuliza: "Mimi ni mjinga? Au kuna kitu sijui?" Hakuwa mjinga. Alikuwa anafanya kazi ngumu kwa njia ya zamani. Siku...
  5. JamiiForums Tanzania Fursa ya Fellowship ya Miezi 9 kwa Waandishi wa Habari wanaopendelea uandishi wenye maslahi kwa umma (PIJ)

    Je, wewe ni Mwandishi wa Habari na ungependa kushiriki katika Fellowship ya miezi tisa kuhusu uandishi wa habari za maslahi kwa umma (PIJ)? Jisajili sasa na ujaze fomu kupitia kiungo (link) hiki: https://fellowship.utpc.or.tz/auth Tafadhali soma maelekezo yote kwa makini kabla ya kuanza kujaza...
  6. B

    JamiiForums Tanzania KERO Kutokulipwa pesa za kujikimu zaidi ya miezi 10 sasa Halmashauri ya manispaa ya Geita

    Ni zaidi ya miezi 10 sasa tangu tuajiriwe katik halmashauri ya manispaa ya geita. Kila tukiuliza wanasema hela hazijatolewa kutoka serikali kuu. Muda mwengine tukiuliza wanatujibu kikejeli sana kwamba "kwani mshahara si mnapata?, kama mnashida na hela mkakope si vigezo mnavyo" Hii ni kuonesha...
  7. JamiiForums Tanzania Niliomba passport, miezi karibia miwili imepita naambiwa taarifa zangu zimeliwa!

    Wakuu nilifanya application ya passport pale Kurasini mwezi February mwishoni, na nikaambiwa March 24 nifate passport Wizara ya mambo ya ndani! Sikwenda hiyo tarehe na nimekuja kwenda Ijumaa iliyopita, lakni cha ajabu kirahisi tu naambiwa taarifa zangu zimeliwa, hivyo nirudi tena Kurasini...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Magomeni mitaa ya Mwinyimkuu, Mpanda, Takadiri, Mbegani na Ziota tuna shida ya maji ni miezi saba

    Magomeni mitaa ya Mwinyimkuu, Mpanda, Takadiri, Mbegani na Ziota tuna shida ya maji ni miezi saba tunaambiwa kuna mabomba yanatakiwa kubadilishwa lakini ni hadithi. Imagine tuko magomeni kwenye eneo la ofisi usika lakini maji ni mtihani, je hii ni haki hatupati huduma ya maji?
  9. JamiiForums Tanzania Miaka 2 na miezi kadhaa imepita sasa tangu Mtanzania Joshua Mollel alivyouawa na kikundi cha kigaidi cha Hamas

    October 7th, 2023 mwanafunzi wa miaka 21 Joshua Mollel kutoka Tanzania aliuliwa kikatili na kikundi cha kigaidi cha Hamas Joshua alikuwa ni mwanafunzi wa Agriculture nchini Israel, hakuwa sehemu ya vita vya Israel vs Palestine, hakuwa tishio, hakuwa adui, lakini Hamas walipomkamata walimuua...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Iran uliua zaidi ya raia elfu 40 miezi miwili iliyopita ndio maana wanaogopa kuwasha internet, Wananchi wengi wapo upande wa Israel na USA

    https://x.com/nmebadi/status/2041356156413661510?s=20 https://x.com/i/status/2017987125895925982 Utawala wa Iran umeweka giza la taarifa kwa zaidi ya mwezi sasa, mtandao umezimwa ili kuzuia ukweli usiwafikie watu wa nje. Ni chini ya asilimia 1 tu ya wananchi wenye uwezo wa kupata internet, na...
  11. JamiiForums Tanzania Meya Kinondoni: Wamiliki wa Swimming kwenye hoteli na nyumba binafsi watalipa laki 1 ya Usajili na 50, 000 kila baada ya miezi 6

    Akizungumza katika mahojiano na Millard Ayo Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge, ameendelea kushikilia msimamo wa kutoza ushuru na ada ya usajili kwenye Swimming Pools usajili huo utahusu mabwawa yaliyopo katika maeneo mbalimbali yakiwemo mahoteli, shule, na nyumba binafsi. Utaratibu...
  12. JamiiForums Tanzania Ninaishauri serikali iondoe VAT na ushuru (excise duty) kwenye petrol na dizeli kwa miezi miwili

    Hali imeshakuwa mbaya kwa sababu ya vita inayoendelea. Haina ubishi kuwa bei zimepanda huko duniani. Ila mimi nimeona serikali ichukue hatua ya dharura kwa kuondoa VAT na Excise duty kwenye mafuta yanayoingia nchini hata kwa miezi miwili ili kuingiza mafuta ya kutosha kwa wakati huu ambao...
  13. JamiiForums Tanzania KILIMANJARO: Kijana afariki kwa kujinyonga Kata ya Machame, anakuwa kijana wanne kujinyonga katika kata hiyo ndani ya Miezi 18

    Kijana Mmoja mwenye umri wa miaka 35 ajulikanae kwa jina la Allen Malya anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia shuka lake, tukio hilo la kusikitisha limetokea katika Kitongoji cha Sereni Kijiji cha Usari, Kata ya Machame Narumu, Kilimanjaro. Kaka Mkubwa wa marehemu ajulikanae kama Samora...
  14. JamiiForums Tanzania ZSSF: Mwanachama wa ZSSF aliyechangia chini ya miezi 18 anastahili kupata mafao

    Upande wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) umeeleza kuwa mafao yanayotolewa na mfuko huo kwa sasa ni yake ambayo yalifanyiwa maboresho ya Kisheria mwezi Oktoba 2022. Ambapo fao la kutokuwa na ajira wanufaika wanapatiwa hata kama wamefanya kazi chini ya miezi 18 na kwamba Sheria hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania KERO Idara ya Uhamiaji Arusha unaomba Pasipoti leo unaambiwa usubiri miezi mitano au 6, inaumiza sana hii!

    Ofisi ya Idara ya Uhamiaji Mkoani Arusha mnatuumiza sana, pasipoti unaomba Januari unaambiwa usubiri Miezi 5 mpaka 6 sababu foleni ni kubwa. Mara karatasi za ku-print zimeisha au kuna Maafisa wanakwambia utoe laki wakusaidie ku-push upate pasipoti kwa haraka. Kuna nini kinaendelea hadi...
  16. JamiiForums Tanzania Dickson Job nje zaidi ya miezi miwili kisa majeraha

    Kocha wa Yanga SC, Pedro Gonçalves amethibitisha kuwa beki wa klabu hiyo, Dickson Job atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi kinachozidi miezi miwili kufuatia majeraha aliyoyapata katika mchezo wa Dabi ya Kariakoo.
  17. JamiiForums Tanzania Nimekaa miezi 6 bila kufanya mapenzi nilikuwa na furaha na amani, wiki iliyopita nimefanya nilijisikia vibaya siku 4.

    Hapo vip! Ipo hivi mimi ni mwanaume ambaye mapenzi sana sio kipaumbele kwangu. Na nikikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi nakuwa na amani na furaha sana kwenye maisha yangu pia nakuwa mtu wakufocus sana na mipango yangu,najiamini sana,najiona nipo salama sana,pia spirituality nakuwa na nguvu...
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania PrEP ya Miezi 6 Yawasili Kenya – No More Daily Pills!

    Kenya imeanzisha rasmi sindano mpya ya PrEP inayokulinda dhidi ya HIV kwa miezi sita mfululizo. Dawa hii, inayojulikana kama Lenacapavir, inachomwa mara mbili tu kwa mwaka – no more kumeza vidonge kila siku. Tofauti na PrEP ya vidonge kama Truvada, hii ni rahisi, discreet na inafaa kwa watu...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Miliki apartments hizi kwa kuanza na 30% ya bei ya apartments kisha lipa taratibu ndani ya miezi 20 mpaka 24

    Mango tree residence ni mradi mpya na wa kisasa ambao utakuwa na apartments za makazi na biashara Unaojengwa Msasani beach nyuma ya kwa Nyerere mikocheni Dar es salaam. Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo...
  20. JamiiForums Tanzania LHRC: Wakuu wa Wilaya hawana mamlaka ya Kipolisi kutoa amri ya raia kuwekwa ndani

    https://www.youtube.com/live/wr4EWHjPnuE?si=71vzeEzsoV41J8sS Akitoa taarifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini, Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe, amesema kuwa kumekuwa na ongezeko la matumizi mabaya ya madaraka kwa baadhi ya viongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…