Kitoto cha mbwa miezi mitatu

Kitoto cha mbwa miezi mitatu

Mimi na mbwa ukweli itabaki historia tu. Siku moja majambazi wamevamia kwa jirani wakapiga mchuma ndugu zangu mwisho wa siku seleka limeisha mda wa saa tano mbwa anatokea chumbani akibounce yaan kaogopa hatari anatetemeka hadi mashavu. Kachoka kishenz kwa milio ya risasi tangu siku hiyo mbwa aliugua mwenyewe ni kama kalishwa sumu akafa ku. Mpaka sasa sikuwahi kujua kwanin,
 
Yani ameeleza kisa vizuri kabisa halafu mwisho umeamdika "kwa nini"?
 
kavimba tumbo??kama anagoma kula tu na anatapika afu anapiga kama chafya it either anatoa meno (stage io) au minyoo(kama hukumpa chanjo ya awali 2.5months) mchome sindano ya minyoo na mpe vidonge vya pet force usisahau kinga ya kichaa
 
Habari ndugu wanajamii, Nina kitoto cha mbwa umri miezi mitatu toka juzi ni kagonjwa hakataki chakula, kamelegea, kanalala TU, kalitapika juzi usiku naomba ushauri dawa Gani nitumie
Mimi nilizika vimbwa 6 sababu ya ugonjwa kama huo,walianza kutapika kila wanachokula kulegea mwili kuharisha damu,nikapeleka hospital dokta anataka kila mmoja alipiwe sh laki mbili na 70,kwa dozing ya siku tatu ,nikashndwa wakafa wote ,kama ni huo ugonjwa kupona ni nadra na kutopewa chanjo kwa wakati
 
Back
Top Bottom