miezi

Normunds Miezis (born 11 May 1971) is a Latvian chess Grandmaster (1997).

View More On Wikipedia.org
  1. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mtoto wa miezi 9 kutopenda kula

    Wadau salama? Mtoto wangu wa miezi 9 hapendi Kula chakula na akiwekewa mdomoni anatema.Alikuwa anapenda Kula nyanya mbichi,Parachichi na tango ila Kwa sasa vyote hapendi.Kama ana minyoo tiba yake ni ipi?Kama ni tatzo lingine naliondoaje? Asanteni.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Iran itawachukua miezi michache kurudi kwenye moango wao wa nyuklia-Grossi

    "Wanaweza kurudi kurùtubisha uranium ndani ya miezi michache licha ya USA na Israel kushambulia kwenye miundo mbinu ya Nucleur. Taasisi ya Atomiki Duniani chini ya director wake amesema miundo mbinu ambayo imeharibiwa siyo yote na hivyo Iran itamchukua miezi michache kurudi kwenye urutubishaji...
  3. walitola

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi minne kukosa choo

    Habari za muda huu wakuu! Wataalam wa mambo kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mtoto wangu ana umri wa miezi minne, amekuwa akipata tatizo la kutopata choo kwa wakati. Anaweza akakaa hata wiki moja na zaidi ndio akapata choo na mara nyingi mpaka umbusti na dawa ambayo ni mafuta ya samaki...
  4. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kuna diary zangu niliziandika kwa mda wa miezi sita mwaka 2022 nilikuja kuzichoma moto

    Leo asubuhi niliandika uzi kuhusu maisha yangu wako waliosifia, wako walioponda na wako waliosoma tu hawakutoa maoni yeyote - Point ni tulidiscuss na moderator tukakubalian ule uzi ufutwe ili ku-comply na sheria za jamiiforum za kulinda privacy ila nachoshukuru mimi ni mshindi Mwaka 2022...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Kiintelijensia yasema kuwa Marekani Imerudisha Program ya Nyukilia ya Irani miezi mchache tu nyuma

    Taarifa ya vyombo vya Intelijensia vya Marekani imesema kuwa Shambulio la Marekani huko Fordow limerudisha mpango wa Iran wa Nyukilia miezi michache nyuma. Imesema kuwa yale mabomu hayakupenya ipasvyo na kugusa chini kabisa ndani ya mlima Taarifa zaidi unaweza kuipata hapa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nauza Tv Used - Ime tumika Miezi 2

    Aina: Hisense Inch: 55 4K Tv A6 Series Bei: 850,000 WhatsApp: 0718 380 277
  7. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Ndani ya miezi takribani 19, Israel imepigana vita na nchi tatu zenye jumla ya watu 103,855,658. Wakati Israel ina watu 9,523,978 tu

    Tangu shambulizi la Hamas kule Israel October 7, 2023. Israel imepigana vita na takribani nchi tatu zenye jumla ya watu 103,855,658. Nchi ni: 1. Palestine yenye jumla ya watu 5,589,623 2. Lebanon 5,848,354 3. Iran 92,417,681. Wakati Israel yenyewe Ina jumla ya watu 9,513,978. Yaani ni sawa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tamisemi ni miezi miwili hawajatuma fedha za elimu bila malipo mashuleni

    Hali si shwari huko mashuleni ambapo inadaiwa kwa miezi miwili serikali haijatuma fedha za elimu bila malipo . Wazabuni, walinzi na watoa huduma mbalimbali mashuleni wanadai malipo yao huku walimu wakuu wasijue la kufanya.
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba yamponza Heri Sasii, afungiwa miezi 6 kwa kushindwa kumudu mechi dhidi ya Singida Black Stars

    Mwamuzi wa kati wa mchezo tajwa hapo juu, Henry Sasi amefungiwa miezi sita (6) kwa kosa la kushindwa kumudu mchezo huo baada ya kufanya maamuzi mengi yaliyoashiria kushindwa kutafsiri sheria 17 za mpira wa miguu. Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa Kanuni ya 42:1(1.1) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Leo pale Kisutu kama sio busara za mahakama watu walikuwa wanaenda kula miezi sita gerezani kwa contempt of court

    Kuweni na adabu mahakamani, huwezi muona hakimu kakaa pale wewe unapiga makelele ya kijinga no reform no election. Wengi tumewahi kwenda jela kwa milio ya simu zetu tu, wengine tumekula vibano jela kwa kucheka mahakamani. Mahakama iheshimiwe, unajitia mwendawazimu sasa, umehangaika kimataifa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hakimu atoa onyo kali kwa Lissu na wenzake kutodharau Mahakama pale inapokuwa imeketi

    Mahakama imempa onyo Tundu Lissu na wenzake kwa kupiga kelele na kuleta vurugu baada ya Hakimu kuingia ndani ya Chumba cha Mahakama. Hakimu alipoingia Tundu Lissu alileta aliongea mahakamani kwa kuwaambia wafuasi "No Reforms No Election" Hakimu ameeleza kuwa Mahakama inakuwa kamili pale...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Friji friji friji linauzwa

    Aina: Boss Hali: Nzuri sana,bado lina manailoni ya upya,lina miezi 10 toka linunuliwe jipya. Mahali: Mbagala. Sababu: Limekaa tu,halina matumizi. Bei: Tsh.430,000/=(Negotiable kidogo) Mawasiliano: 0785815222
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Miezi sita ijayo CHAUMMA itarudi kwenye uhalisia wake

    Project ya CHAUMMA sidhani kama itatoboa zaidi ya miezi sita ijayo. Natabiri baada ya Uchaguzi Mkuu waliohamia Chaumma kwaajili ya kupata Ubunge hawatoamini macho yao baada ya kuukosa huo ubunge. Wataanza kutoka Chaumma na kutangatanga kwingineko. Siku zote muda ni mwalimu mzuri
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Meneja Simba Queens afungiwa miezi sita na faini kwa kuwashambulia waamuzi

    Kamati ya Mpira wa Miguu wa Wanawake ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao chake kilichopita taarifa za mechi za Ligi Kuu ya Wanawake imemfungia Meneja wa Simba Queens, Selemani Makanya kwa miezi 6 na kumpiga faini ya TSh 1.5 Milioni kwa kosa la kuwashambulia Waamuzi baada...
  15. cold water

    JamiiForums Tanzania Tuna miezi mitatu kwenye mahusiano lakini anachukia mimi kuongea sana

    Nina mpenzi wangu ni mpole Sasa mimi muongeaji Sasa Kila nikiongea anasema naongea Sana lakini siongeagi Kwa ugomvi ni Ile tu kutaka nae achangamke asipoe Sana lakini mwezangu anaona kero Sasa na mimi kukaa tu bila kuongea siwezi ananambia ndo mana napendaga kukaa peke angu una makelele mda...
  16. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Hamas hali ni tete baada ya Operation Gideon -Yasema itaachia nusu ya Mateka vita isimame kwa Miezi miwili washibe kwanza njaa mbaya sana. Washaona

    Hamas inatoa ofa ya kuachilia nusu ya wateka waliosalia kwa ajili ya kusimamishwa kwa mapigano kwa muda wa miezi miwili - ripoti Hamas inashuku kama Marekani inaweza kumlazimisha Netanyahu kuzingatia masharti ya makubaliano yoyote, kufuatia kuachiliwa kwa Edan Alexander wiki iliyopita. Hamas...
  17. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu wa Ufilipino, Rodrigo Durtete atimiza miezi kadhaa Jela akisubiri Mashtaka ya Mauaji

    Rais wa zamani wa Filipino ametimiza miezi miwili Jela kwa tuhuma ya makosa dhidi ya ubinadamu na Mauaji. Tuzidi kumpa Moyo katika kipindi hiki kigumu anachopitia ndani ya jela.
  18. W

    JamiiForums Tanzania Mimba miezi 10 (wiki 40) bado hajajifungua

    Naombeni ushauri nn nifanye Mke wangu ana mimba ya wiki 40 (leo ndo siku yake ya mwisho katika hizo wiki 40) ila bado hajajifungua. Tumbo halimuumi wala hakuna hali yoyote ya hatari inayomsumbua. Mtoto anacheza vizuri kabisa ila sasa wiki zake za makaridio ya kujifungua zimeisha ila bado...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wanasemaga mume wangu hata akienda mbali kutafuta kwa miezi kadhaa hakuna shida ni waongo.

    Ktk swala la wao kuvumilia muda mrefu bila kushiriki tendo wanetuzidi wanaume.lakini pale wanaposema mume hata akisafiri muda mrefu si tatizo ni uongo hawawezi hao. Ieleweke wazi hapa sisemi kwamba huyo mwanamke atachit hapana.Ila kiakili na ile kumic kuwa karibu humfanya asikubali mwezake awe...
  20. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Jasusi alijipenyeza Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Tanzania kwa Miezi Miwili akiwa anapanga Shambulio dhidi ya Padre Kitima

    BADO kuna maswali mengi kuhusu tukio la kuvamiwa, kupigwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima. Wakati majibu ya maswali hayo yakiendelea kutafutwa, Pambazuko lina taarifa za kina kuhusu jinsi sehemu ya njama za kumdhuru kiongozi huyo...
Back
Top Bottom