Magomeni mitaa ya Mwinyimkuu, Mpanda, Takadiri, Mbegani na Ziota tuna shida ya maji ni miezi saba tunaambiwa kuna mabomba yanatakiwa kubadilishwa lakini ni hadithi.
Imagine tuko magomeni kwenye eneo la ofisi usika lakini maji ni mtihani, je hii ni haki hatupati huduma ya maji?
Anonymous (9eb9)
Thread
magomeni
maji
miezi
mitaa
mpanda
saba
shida
shida ya maji
tuna
October 7th, 2023 mwanafunzi wa miaka 21 Joshua Mollel kutoka Tanzania aliuliwa kikatili na kikundi cha kigaidi cha Hamas
Joshua alikuwa ni mwanafunzi wa Agriculture nchini Israel, hakuwa sehemu ya vita vya Israel vs Palestine, hakuwa tishio, hakuwa adui, lakini Hamas walipomkamata walimuua...
https://x.com/nmebadi/status/2041356156413661510?s=20
https://x.com/i/status/2017987125895925982
Utawala wa Iran umeweka giza la taarifa kwa zaidi ya mwezi sasa, mtandao umezimwa ili kuzuia ukweli usiwafikie watu wa nje.
Ni chini ya asilimia 1 tu ya wananchi wenye uwezo wa kupata internet, na...
Akizungumza katika mahojiano na Millard Ayo Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge, ameendelea kushikilia msimamo wa kutoza ushuru na ada ya usajili kwenye Swimming Pools usajili huo utahusu mabwawa yaliyopo katika maeneo mbalimbali yakiwemo mahoteli, shule, na nyumba binafsi.
Utaratibu...
Hali imeshakuwa mbaya kwa sababu ya vita inayoendelea. Haina ubishi kuwa bei zimepanda huko duniani. Ila mimi nimeona serikali ichukue hatua ya dharura kwa kuondoa VAT na Excise duty kwenye mafuta yanayoingia nchini hata kwa miezi miwili ili kuingiza mafuta ya kutosha kwa wakati huu ambao...
Kijana Mmoja mwenye umri wa miaka 35 ajulikanae kwa jina la Allen Malya anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia shuka lake, tukio hilo la kusikitisha limetokea katika Kitongoji cha Sereni Kijiji cha Usari, Kata ya Machame Narumu, Kilimanjaro.
Kaka Mkubwa wa marehemu ajulikanae kama Samora...
Upande wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) umeeleza kuwa mafao yanayotolewa na mfuko huo kwa sasa ni yake ambayo yalifanyiwa maboresho ya Kisheria mwezi Oktoba 2022.
Ambapo fao la kutokuwa na ajira wanufaika wanapatiwa hata kama wamefanya kazi chini ya miezi 18 na kwamba Sheria hiyo...
Ofisi ya Idara ya Uhamiaji Mkoani Arusha mnatuumiza sana, pasipoti unaomba Januari unaambiwa usubiri Miezi 5 mpaka 6 sababu foleni ni kubwa.
Mara karatasi za ku-print zimeisha au kuna Maafisa wanakwambia utoe laki wakusaidie ku-push upate pasipoti kwa haraka.
Kuna nini kinaendelea hadi...
Kocha wa Yanga SC, Pedro Gonçalves amethibitisha kuwa beki wa klabu hiyo, Dickson Job atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi kinachozidi miezi miwili kufuatia majeraha aliyoyapata katika mchezo wa Dabi ya Kariakoo.
Hapo vip!
Ipo hivi mimi ni mwanaume ambaye mapenzi sana sio kipaumbele kwangu.
Na nikikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi nakuwa na amani na furaha sana kwenye maisha yangu pia nakuwa mtu wakufocus sana na mipango yangu,najiamini sana,najiona nipo salama sana,pia spirituality nakuwa na nguvu...
Kenya imeanzisha rasmi sindano mpya ya PrEP inayokulinda dhidi ya HIV kwa miezi sita mfululizo.
Dawa hii, inayojulikana kama Lenacapavir, inachomwa mara mbili tu kwa mwaka – no more kumeza vidonge kila siku.
Tofauti na PrEP ya vidonge kama Truvada, hii ni rahisi, discreet na inafaa kwa watu...
Mango tree residence ni mradi mpya na wa kisasa ambao utakuwa na apartments za makazi na biashara Unaojengwa Msasani beach nyuma ya kwa Nyerere mikocheni Dar es salaam.
Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo...
https://www.youtube.com/live/wr4EWHjPnuE?si=71vzeEzsoV41J8sS
Akitoa taarifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini, Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe, amesema kuwa kumekuwa na ongezeko la matumizi mabaya ya madaraka kwa baadhi ya viongozi...
Kero ya matakataka Mitaa ya Mbagala Kuu ni zaidi ya miezi mitatu sasa hakuna gari la taka lilopita mtaani kwetu. Matakataka yamezagaa na ukizingatia sehemu za wazi ambazo Watoto wanacheza, Serikali ya Mtaa haijachukua maamuzi yoyote. Ni hatari kwa afya.
Maeneo ya Mbagala Kuu ni Mitaa ya Mbagala...
Manenos Selanyika alipata mazishi ya mfano tu. Familia yake haikuwahi kuupata mwili wake baada ya machafuko makubwa ya uchaguzi wa Tanzania yaliyotokea miezi mitatu iliyopita.
Mwandishi huyo wa habari mwenye umri wa miaka 40 aliuawa kwa kupigwa risasi na vikosi vya usalama tarehe 30 Oktoba...
Zilikuwa ni pete, bangili, hereni na cheni.
Watu walikuwa wajia mara nyingi kumuulizia mama wakiwa wameshika bahasha zenye nyaraka.
Kuna siku mama alichukua vito vyake vya dhahabu, sikuwahi kuviona tena na tuliishi bila usumbufu kwa miezi sita.
Baada ya hapo wale watu wanaobebea nyaraka...
Anaitwa Saidi Abdallah Mikidadi Potea, miaka 33, mkazi wa Kijichi, Temeke mkoani Dar es Salaam.
Saidi amejikuta akipambana kwa kila njia kuunusuru uhai wake kufuatia gonjwa la ajabu la uvimbe shingoni huku daktari akimwambia bila Shilingi Milioni 40 za Kitanzania, hatoboi miezi mitatu ijayo...
https://youtu.be/85bP-YM4ynQ?si=NANNLo0GT5vnfQt_
HAKI huchelewa tu lakini kamwe haijawi kushindwa na dhuluma
Tujiandae kumpokea uraiani shujaa na mpigania HAKI asiyeyumba wala kutikisika, mwana wa Ikungi, Singida...
Ni TUNDU ANTIPHASY MUGHWAY LISSU, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, mpigania HAKI...
Jambo Wakuu!
Takribani miezi minne imepita Sasa tangu nilipo-interact hapa kwa mara ya mwisho.Hakika imekuwa ni safari ndefu mno maana nimepotezana na watu wengi Sana wa maana kwangu ambao tulizoea kubadilishana maarifa na ujuzi mbalimbali.
Ninamshukru Mungu leo nimefanikiwa tena kuingia...
Mwaka unaisha huu sijahesabu mzigo miezi zaidi ya saba, kila nikitak kuhesabu naahirisha, nikifosi nakuwa sina mood kabisa.
hapo zamani kila mwezi nilikuwa nahesabu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.