Kenya imeanzisha rasmi sindano mpya ya PrEP inayokulinda dhidi ya HIV kwa miezi sita mfululizo.
Dawa hii, inayojulikana kama Lenacapavir, inachomwa mara mbili tu kwa mwaka – no more kumeza vidonge kila siku.
Tofauti na PrEP ya vidonge kama Truvada, hii ni rahisi, discreet na inafaa kwa watu wenye busy lifestyle.
Afya ni jukumu letu sote.
Je, uko ready kwa PrEP ya miezi 6?