Huu mwezi wao yani hawa ndugu zetu mida ya mchana vinywa vyao vinatema balaa. Hasa wakipiga mihayo utadhani chemba imetema.
Ni vizuri kutumia barakoa sehemu walipo wengi.
Siyo sifa mdomo kunuka. Eti wenyewe kinywa kikinuka hivyo ni sifa eti kafunga.
Wakuu, tumchongee Samia Suluhu kwa Trump
Baba Donald Trump, Huku Tanzania kuna Mwanamke anaitwa Samia Suluhu Hassan aliikuita who are you.. Mvutie pumzi.. Kwa sasa yupo huko Tunguu Zanzibar. Siku mkimtaka ntatoa Ushirikiano.. Yaani mtamkamata kama kuku wa Kisasa..
Naye anatakiwa apokee unyakuo...
Hii ni kweli kuwa dunia unaweza kujiona umejificha kumbe hupo uchi.
Kuna kijana mmoja huko Marekani mwenye asili ya asia raia wa Marekani, ni kijana mdogo wale vijana wanaopitia ujuaji na ujanja wa UVCCM mfano tu.
Wakati wa matembezi alitokea kibaka na kupora simu yake ya iphone na ile simu...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni
TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums...
Wimbi la ukimya linatawala mchakato wa kuchukua fomu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku wagombea na watia nia wakizuiwa kuzungumza hadharani kuhusu matarajio yao, hoja zao za msingi, au mapungufu ya wabunge na madiwani waliomaliza muda wao.
Tangu kufunguliwa kwa dirisha la uchukuaji wa...
GT
Kiufupi sana samia hakujiandaa kuwa raisi lakini pia hata wasaidizi wake wameshindwa kumsaidia kuwa Raisi.mzuri, sasa wanachofanya .ni
Kulazimisha kila Kitu kwa mabavu
Baadhi ya kauli hapa chini ni Ushahidi tosha kwamba Mkuu wetu wa nchi hana karama hiyo ya uongozi Unaweza ukaongezea...
Sijui hata inaandikwaje.
Ni Sukuma Gang, Sukuma gang, au Sukumagang?
Mtajaza wenyewe.
Wangapi wengine mmegundua kama mimi kuwa huo msamiati sasa hautumiki tena?
Kuna kipindi humu baadhi ya watu tuliandamwa sana.
Ilikuwa popote pale tukitia neno, hujibiwi kwa hoja.
Ilikuwa unakuwa dismissed...
Hawa ni wale jamaa ambao jamii imekua ikiwategemea kwa usalama wao lakini inapotokea tatizo au sintofahamu basi Hawa makamanda huwa lawama zote hubebeshwa wao,na hata ikitokea wametatua tatizo hawatangazwi Wala kusifiwa😁😁😁.
Matukio matatu kati ya Mengi ya ukamanda wa makamanda...NILIYOYASIKIA...
Wadau hamjamboni nyote?
Mungu ibariki Israel
Taarifa rasmi ndiyo hiyo
99% yamelipuliwa angani, kudondokea baharini au sehemu isiyokusudiwa
Yale matoi yaliachwa yaelee angani kwa muda na kisha kusambaratishwa
Ukitazama video yake utacheka
Live Update arrow right icon From the Liveblog of...
Habari ndio hiyo, kama Mandojo asingekerwa na mke wake na kuamua kwenda kunywa pombe basi leo hii angekuwa hai.
Hii si kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani iliyoratibiwa na mwanamke.
Tuishi nao kwa akili.
Kutokana na sintofahamu na tetesi zinazoendelea kuhusiana na Denis Kibu (mpaka leo sielewi kwa nini watu wanamuita Kibu Denis badala ya Denis Kibu lakini hilo tuliache kwa leo), nimekumbuka kauli yangu niliyowahi kuitoa kuhusu future yake. Niliwahi kusema kuweni na akiba ya maneno, kuna siku...
Walianza na propaganda za Yanga kushiriki kombe la looser (shirikisho), wakatoka hapo yanga ikagonga mpaka fainali uku timu zikichapwa ipasavyo wakasema wamekutana na timu dhaifu, lakini wale wale waliwai kucheza ilo ilo kombe la looser wakaishia kuchoma uwanja wa watu na kutupwa nje ya michuano...
Lowassa kaondoka. kaenda zake akitupa mda wa kuangalia alimopita
Ameonewa sana na kaonea na kila mtu
Tulimfitini ili tupate tulichotaka wakati tulipokitaka
lakini yeye alibaki yule yule wa kutafuta alichokusudia kupata mwisho wa siku sidhani kama alipata alichokusudia kupata
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Kama unajua kabisa huniwezi kiakili na kimapambamo (Ngumi) kwanini unichokoze?,Sometimes huwa nikiongea naonekana mbaya!
Kijana mmoja sijajua ni KE au ME anayejiita Hance Mtanashati kwa mbwembwe nyingi alinifuata kwenye uzi wangu na kutaka kufanya...
Biblia imeandika kuhusu matumizi ya kadi za malipo karibu miaka 2000 iliyopita. Kwamba kutakuwa na teknolojia ambayo ita-control mfumo wa malipo dunia nzima.
Ufunuo 13:17
Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)
Kama ilivyo wekwa bayana hapo awali.
Hakuna namna unaweza kumfunga Al Ahly kwake, tena kwenye game ya mtoano isitoshe zaidi kwenye michuamo ambayo bingwa anabeba pesa nyingi.
Tujipongeze kwa kushiriki, lakini hakuna timu ya kushindana.
Wenzenu Yanga wanajua namna ya kucheza games za mtoano...
INTRODUCTION:-
Nikiwa kama kijana mkataa kuoa, moja wapo ya sababu inayonifanya kugoma kuoa ni MDOMO wa MWANAMKE.
Aisee hawa ni mama zetu, dada zetu, binti zetu, shangazi zetu ila WANA MIDOMO AISEEE.
SCENARIO:-
Jana ofisini (halmashauri) kulikua na mfululizo wa vikao.
Kilianza kikao cha...
Baada ya mrembo Shakila kutoka Kenya kusema kwamba kuanzia sasa na kuendelea eti atakuwa anatoza dollar 50 ambazo ni zaidi ya laki moja ya kitanzania ili akujibu tu meseji yako uliyo M DM.
Sasa bhana Calisah akaja chaaap kumuumbua 🤣🤣🤣kumbe bwana huyo demu anajifanya staa kumbe naye wale wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.