Kwa muda mfupi Zanzibar imeweza kukarabati Amani stadium kwa viwango vya FIFA, imejenga kiwanja kipya cha Gombani, Tanganyika yenye watu 60m tumeshindwa kumalizia kiwanja kimoja cha Arusha hadi tuombe mkopo.
Tanzania ni mwenyeji wa AFCON 2027, kiwanja tunachokitegemea ni Benjamin Mkapa nacho...
Kuna tatizo katika kampuni hizi za kubet wateja wanalalamika wanatoa hela ila hela kwenye account zinatoka betPawa ila kwenye mitandao ya simu hazifiki, tukiwauliza wanasema tuwasiliane na mtandao husika.
Ukiwasiliana na Mtandao husika wanasema muamala umefeli umerudi kwenye account yako ya...
Kwanza niwapongeze kwa kazi nzuri mnayoifanya hasa kwa kipindi chenu cha mochezo kinachoongozwa na mkuu wa dawati bwana JEMEDARI SAID KAZUMARI
Ushauri wangu n kwenu ambao mnaongoza kipindi yaan bwana JUMA AYO , PAUL MKAI NA JESCA MHAGAMA kuna mchambuzi hapo anaitwa JEFF LEA naona haheshimu KITI...
Nasikia walikuwa Ikulu jana wanamichezo.
Anakusanya 'hooligans" because these so called michezo eg football are rooted in hooliganism ( refer to football hooliganism ).
Anawagawia bibahasha vya laana
Kuna siku za nyuma niliona M-pesa ujumbe umetumwa ukisema cheza kile kindege Aviator link hii hapa.
Siku nyengine natumia tena Sms sijui kuna michezo mipya.
Mfumo jina M-PESA sms unawezekanaje uwe wa michezo wakati M-PESA sms ni kwa ajili ya jumbe za miamala.
Huyu hata wiki tatu hana ofisini.
Anajifanya kuwamiss majirani zake, michezo hii.
Kuna muda anajaribu kujifanya kama Banza Stone lakini hafit kwenye maigizo yake.
Mwambieni abadili script bhana, anachuja mapema
Upande wa juu wa mawingu, wingu kubwa limetanda msiyemtaka kaja.
Makonda anajulikana kwa uzalendo wake na kupanga mikakati ya kisasa ya kulitetea Taifa. Makonda ni mwamba kabisa hakuna aisye mjua. Watu wale wenye nia mbaya na Taifa la Tanzania ninauhakika wameanza kutetemeka.
Karibu makonda...
Mtangazaji huyo wa Michezo alikuwa kibarazani kwake alipokumbwa na shambulizi hili.
Marehemu hakuwa akiandamana lakini kama ilivyoripotiwa awali, alipigwa risasi.
Leo mwili wake umepumzishwa katika “nyumba yake ya milele”.
Aliwahi kufanya kazi Radio One na ITV
Pumzika salama ndugu yetu...
Siku ya jana pamoja na siku zingine nyuma, Tanzania imeshuhudia mashindano ya ngumi yanayojulikana kama “Knockout Ya Mama”, yakitajwa kuwa ni sehemu ya kukuza michezo nchini. Mashindano haya yamekuwa kivutio kikubwa kwa wananchi, hasa kutokana na zawadi nono zinazotolewa — ikiwemo shilingi...
Mfumo wa TAUSI ambao unanunua viwanja moja kwa moja serikalini una uzuri na ubaya wake. Ni mara ya pili sasa najaribu kununua viwanja ambavyo vimeandikwa viko manispaa ya Kinondoni na navikosa. Mara ya kwanza ilikuwa mwezi wa tano kama sio wa nne mwaka huu ambako vilitangazwa viwanja Mabwepande...
Nauliza tu kwa nia njema , je inawezekana? Maana sisi ni nchi rafiki since 1960s kama inavyosemekana. 😎😎. Maana kuna mmoja anaitwa steven mchina. Anakusanya hizo 200 kama mchanga huko vijijini ndani ndani sana alipoyatega.. nauliza tu wadau sio kwa nia mbaya.
Hakika michezo ni kiungo muhimu sana katika jamii zetu,michezo imeua nguvu za gachagua katika kusababisha maandamano yasiyo na msingi na sapoti,
Wakenya wapo njiani kuja kuwashabikia Morocco!
Jana wananchi wamefurahi,ubaya -ubwela wamefurahi na watanzania kwa ujumla wamefurahi -kazi iendelee...........
Hakika MAMA unalitendea haki soka la Tanzania.
HONGERA SANA MAMA.Tupo pamoja sana !
Kupitia "goli la mama" tumeona Simba na Yanga zikifika fainali za kombe la shirikisho barani...
Wako kisiasa zaidi huku wakicheza na mfumo bila ya kua professional. Kwa mtindo huu, wakienda kwenye chemba za kimataifa ambako watu wako serious na hawapendi kupoteza muda basi hawawezi kutoboa kamwe.
Kama lengo lilikua ni kumpotezea lisu muda, ni bora wangetumia njia nyingine ila si hii...
Mwanaume wa miaka 36, huko mjini Melbourne nchini Australia amekamatwa na polisi baada ya kuruka katika gari ambayo inasadikika iliibiwa.
Mtuhumiwa huyo alianza kukimbizwa na polisi baada ya kushindwa kusimama kwenye trafiki.
Mapema ijumaa polisi walipewa taarifa ya kuibiwa kwa gari katika...
Sijauliza Kwa Nia mbaya ila kuna katabia la kujipendekeza ka viongozi wetu kujiambatanisha na mkuu wa ithanga lothe hii sio sawa. Kuna siku gwaride la uhuru litapigwa songea ruvuma au kule kigoma. Alamsiki.
Sijaanzisha post hii kwa lengo lolote la kidini, ni pure curiosity. Ni kawaida kwamba kundi lolote linapokuwa na idadi kubwa ya waumini au wafuasi, huanza pia kuzaa watu maarufu kwenye medani mbalimbali—iwe ni kwenye siasa, sanaa, michezo, biashara, au hata kwenye system. Lakini kwa upande wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.