michezo

  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kwanini matokeo ya form six yatangaziwe Zanzibar? Hata michezo ya ligi kuu isiyohusiana na Zanzibar ilichezwa Zanzibar, kwanini?

    Sijauliza Kwa Nia mbaya ila kuna katabia la kujipendekeza ka viongozi wetu kujiambatanisha na mkuu wa ithanga lothe hii sio sawa. Kuna siku gwaride la uhuru litapigwa songea ruvuma au kule kigoma. Alamsiki.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Wasabato maarufu hapa Tanzania kwenye sanaa, michezo, siasa, system, biashara, n.k

    Sijaanzisha post hii kwa lengo lolote la kidini, ni pure curiosity. Ni kawaida kwamba kundi lolote linapokuwa na idadi kubwa ya waumini au wafuasi, huanza pia kuzaa watu maarufu kwenye medani mbalimbali—iwe ni kwenye siasa, sanaa, michezo, biashara, au hata kwenye system. Lakini kwa upande wa...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hans anafaa kuondolewa katika kipindi cha michezo CrownFM, anajenga chuki isiyo na ulazima

    Nashauri uongozi wa Crown FM uchukue uamuzi mgumu hasa dhidi ya Hans ambaye anajionyesha wazi yuko kwenye payroll, na muda wote anajaribu kuonyesha anafanya retirement kwa wanaomlipa. Mwisho anaharibu kipindi kwa kujaza utoto katika kila kitu. Au laa, apangiwe segment ya jioni ya michezo na...
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Serikali kuingilia michezo sio dhambi, haya hufanyika duniani kote

    Kuna baadhi ya watu wajinga wameibuka na kusema ati fifa watatufungia kuwa serikali imeingilia michezoni Kwanza nimpongeza Rais Samia kwa hekima yake kuu ya kusuluhusha huu mgogoro Watu wasijadanganye ati serikali haiingilii michezo kimsingi hakuna sehemu ambapo serikali haiingilii hata...
  5. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Simba watoa msimamo wa Dabi, wasema mechi na Yanga ipo Juni 15 kama ilivyopangwa

    Kumekucha, mjini kumechangamka! 😂⚽ Klabu ya Simba inatoa taarifa kwa Wanachama, Wapenzi, na Umma kuwa mchezo nambari 184 dhidi ya Yanga uliopangwa kufanyika tarehe 15/6/2025 upo kama ulivyopangwa. Tunawasihi msihadaike na kelele za mitaani, Wale ambao walinunua tiketi za mechi ya tarehe...
  6. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Media za Bongo mnatakiwa kujitafakari, masaa manne media inaongelea michezo tu. Tutatoboa kweli?

    Kila media utakayoingia utaskia bodi ya ligi na dabi mara hatuchezi mara betting mara ujinga gani sijui. Hivi kipaumbele chetu kimekuwa michezo?🤔 Jamani hatuna mengine ya kiuchumi kisiasa kijamii ya kuyaongelea zaidi ya michezo? Ikiwezekana kuwe na udhibiti wa kiasi fulani aisee vinginevo...
  7. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Mara paaaaap Yanga SC inamsajili Percy Tau!

    Mara paaaaap Yanga SC inamsajili Percy Tau!😂
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: TSh. Bilioni 17.42 zakusanywa kwenye betting Tanzania

    Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili 2025, Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania imekusanya jumla ya Tsh. bilioni 17.42, sawa na asilimia 70 ya lengo la mwaka na imefanya programu tatu za kuelimisha jamii juu ya michezo ya kubahatisha, faida na hasara pamoja na...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: michezo ya watoto

  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Sanaa za Michezo Zinapewa Kipaumbele Katika UMITASHUMTA & UMISSETA

    SANAA ZA MICHEZO ZINAPEWA KIPAUMBELE KATIKA UMITASHUMTA & UMISSETA Ngoma za asili, kwaya na Muziki wa Kizazi kipya (Bongo Flavor) ni sehemu ya fani ambazo zimekuwa zikishindaniwa katika Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma Tanzania kwa shule za Msingi na Sekondari (UMITASHUMTA &...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo asisitiza dabi ya Kariakoo iko palepale

    Wakuuu Serikali inasisitiza Dabi iko palepale, ile kauli ya 'HATUCHEZI' imeishia wapi? == Serikali imethibitisha rasmi kuwa pambano kubwa la watani wa jadi Yanga dhidi ya Simba litapigwa kama ilivyopangwa, Juni 15, 2025, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Katika kipindi cha...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Simba na yanga ndio tatizo kubwa la kutumiwa kisiasa na kuzolotesha michezo.

    Wachezaji wazawa wengi chipukizi wanawaza kujulikana kupitia simba na yanga. Ndoto za vipaji vya watu vikikosa kucheza simba na yanga ndio basi. Siasa nayo imekuwa kwenye simba na yanga mpaka bungeni na raisi. Hakuna la maana kwa wachezaji simba na yanga ni bora wazeeke simba na yanga wala...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lucy Sabu Aibana Serikali Kuhusu Kukamilika kwa Akademia ya Michezo Malya

    Naibu waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amesema kuwa, Mfumo wa Artist Information Management System (AMIS) ambao umeunganishwa na TAUSI kutoka TAMISEMI umerahisisha usajili wa wasanii ambapo kati ya Julai 2024 hadi Aprili 2025 wasanii binafsi 844, vikundi 158...
  14. Msolo

    JamiiForums Tanzania Apps nzuri na bure kwa Michezo, Movies, News

    Kusambaa kwa internet kunabadilisha namna tunavyoishi na kufanya mambo, kwangu mimi imeondoa matumizi ya ving'amuzi(tv decoders) sasa natumia apps kuwatch kila kitu Tv channels, movies, michezo mbalimbali kwa gharama nafuu. Hizi ni list ya Apps ninazotumia kwenye Android TV na Android phone...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania CRDB Tanga..mafunzo ya michezo ya vijana tanga, timu ya taifa mazoezi Tanga..hivi Arusha hamuioni ama???

    Karia Kwanza nikupe pole BAADA ya makando kando ya UWANJA WA TAIFA sasa naona CAF wameona ULE UWANJA sio salama Tena kama mlivyosema sasa twende znz mkapate usalama zaidi MH Karia uliwahi kusema hii LIGI ya crdb mtajitahidi kuwapelekea wananchi hasa AMBAYO hawana timu ktk LIGI kuu waweze...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Michezo, Utamaduni na Sanaa 2025/26 yapaa kwa 82.2% hadi TSh Bilioni 519.66 kwa maandalizi ya CHAN na AFCON

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeidhinishiwa bajeti ya TSh bilioni 519.66 kwa mwaka wa fedha 2025/26, ongezeko la takriban asilimia 82.2 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2024/25 ya Shilingi bilioni 285.3. Pia, Soma: Waziri Kabudi aomba Bunge kupitisha Bajeti ya TSh 519.66...
  17. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kutakua na budget ya kati ya shilingi billion 20 na 50 kwa ajili ya kuhudumia academy za watoto kwa michezo mbalimbali

    Moja ya mambo yanayorudisha michezo nyuma ni academy za michezo mbalimbali kukabiliwa na ukata wa fedha za kujiendesha Lengo kuhakikisha Tanzania inakuwa dominant kwenye michezo karibia yote
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Kununua magori au kudhamini michezo kwa mamilioni, wengi ni kusafisha matendo yao machafu.

    Ukiangalia hisoria ya wanasiasa na wasio wanasiasa, Wanajiingiza ktk kufurahisha umma kupitia michezo, ili kuwasahaulisha juu ya matendo yao machafu. Historia inao watu wengi wa aina hii na wengine huenda wamejulikana kuliko wengine. Pablo Escobar, muuza cocain mashuhuri wa dunia, alijihusisha...
  19. Hot27

    JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie viatu mbalimbali vya michezo, mipira, jeans, t-shirt, kofia na mabegi mbalimbali

    Habari wanajukwaa, wafanyabiashara, na wote. Naomba niwakaribishe kwaajiri ya kujipatia viatu mbalimbali vya michezo, viatu vya kawaida, jeans, t-shirt kali na jezi OG kabisa. Tupo Karume kwa viatu vya michezo, mipira, guard pia kuna discount kwa anayechukua full yaani viatu, soksi na guard...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Karia, Hersi wakiwa bungeni kushuhudia uwasilishaji bajeti ya michezo

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia akiwa na Rais wa Yanga, Mhandisi Hersi Said na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo Mei 7, 2025 kwa ajili ya kushuhudia uwasilishaji wa makadirio ya mapato na...
Back
Top Bottom