Ulee mke
Ulee familia
Utunze akiba
Watoto wasome medium
Etc
Bado tena mchepuko unaubeba kama mayai. Yani unaweza kuta kiatu ulichomnunulia malaya ni mara tatu ya bei ulichomnunulia mama yako mara ya mwisho na anakishona kila siku.
Alafu mkija JF mnatafuta mganga mnahisi mmerogwa maana pesa...
Lengo la ushauri huu ni kuvuka mwaka bila kua na UTI sugu, gono, kaswende au UKIMWI ambao umenusurika nao kwa sehemu kubwa sana ya mwaka huu2024, na mwaka wenyewe unaelekea kuisha hivi karibuni.
Huna haja ya kunishukuru, ni muhimu sana kumshukuru Mungu kwa kila jambo kwa mwaka mzima2024.
Aidha...
Alisafiri na mke wake kwenda sokoni walipofika wakapaki akakaa kwenye gari akimngojea mkewe anunue vitu sokoni mrembo mmoja akapita karibu na gari lake alipomuona akashuka akamfuata huyo mrembo ghafla ajali hii ikatokea...
Nilichowaza mimi kumbe michepuko nayo inaokoa maisha🤭😂🤣🙌
Wakuu salama?
Kuna chimbo jipya(mchepuko) nimelipata hapa Dodoma.so katika story za hapa na hapa akanitumia huu ujumbe hapa chini.
Nijuavyo mimi michepuko huwa 8na lengo la kuvuruga tu ndoa za watu.
Ila huu mchepuko umenishangaza kidogo kwa jinsi ulivyo positive.
Kutokana na umri kusogea sana imenibidi nipunguze mambo ya starehe kama; kwenda sehemu za starehe, kunywa pombe, kucheza na warembo pamoja na kuchepuka.
Nimeamua kujituliza ili niwaachie na wengine waweze kujiburudisha kwenye hayo mazingira ya kujimwambafai.
Sasa changamoto iko hivi, wale...
Unakuta mume si wako ila unakiherehere wewe ndio unashadadia vitu kama mume wako.
Mtu akipiga unapokea unamuliza wewe nani, kwani wewe nani.
Kila mahali unamganda mume wa mwenzako unajitoa kama mume wako hii ni KERO akifa mbona huji ila akiwa hai unahangaika. Hatunywi maji wewe kama wewe ngoja...
Mhadhara - 41:
Una moyo mwepesi na mlaini kama karatasi la kufungia maandazi, lakini huachi tabia yako ya kumfuatilia mpenzi/mume/mke wako. Shauri yako, one day tutakuzika kwasababu ya kufumania.
1. Ukikata kitunguu huachi kutoa machozi, lakini kutwa unapekua simu ya mwenzako. Shauri yako.
2...
Wamekuja mabinti wawil kupanga. Nikawapangisha chumba baada ya muda Wakaanza kutembea na Wanaume za watu wa vile vyumba vingine.
Wake zao nao wakaanza back2sender wakaanza kutembea na vijana wa mtaaani. Juzi wamepigana sana kisa simu na message wale Wanandoa.
Wale Vijana wa mtaani baadhi ni...
Hivi wanaume mliooa na bado na michepuko nje mmeoa kwa ajili gani sasa? Au mihemko na mkumbo wa ndoa ndio uliowasukuma kufanya hivyo?
Huwa nashangaa sana mwanaume anasema ameoa na bado yupo busy na michepuko, sasa nini maana ya ndoa?
Ndoa ni fashion?
MKEO AU MCHUMBAAKO AKITAKA KUWASILIANA NA MICHEPUKO YAKE HUTUMIA ZAIDI SIMU YA RAFIKI YAKE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuna wale wanaume wenye tabia ya kuzikagua simu za Wake au wachumba zao. Mbaya zaidi huzikagua waziwazi. Hilo ni kosa. Unapoishi na mwenza iwe mumeo au mkeo usifanye...
Mimi ni kijana mdogo, na ndio nimemaliza chuo last year october so nipo katika kujitafuta. Nina mpenzi niseme, au kwa ujana tunaita dem nimekuwa na mahusiano nae for almost 7 months. Tulikuwa wote chuo kimoja ila yeye kaunganisha masters. Kuna kitu ambacho kinaniwazisha sana.
Demu huwa hataki...
KUPENDA KUTEMBEA NA MIPIRA YA KINGA
Ukiona mpenzi wako ana tabia ya kubeba kondomu kwenye pochi yake au mfukoni kwa kisingizio kuwa anajali, elewa kwamba yuko katika mahusiano na mtu mwingine.
UTATANISHI KATIKA MATUMIZI YA SIMU
Ukiona simu zinamiminika mpaka usiku wa manane naye anapokea kwa...
Inakuaje waheshimiwa?
Thread hii ipo kwa lengo la kuhadithiana visa mbali mbali tulivyokumbana navyo kati yetu, wazazi wetu na michepuko yetu.
Hapa juu naomba nianze na kisa cha kwanza 👇
Nikiwa na umri wa miaka 20, kuna kabinti fulani nilitokea kupendana nako. Kabinti hako kalikuwa kakali...
Ni siku ya leo nimekumbuka nikiwa kwenye mahusiano hapo miaka ya 2015 na binti moja mrembo, mapenzi yalinoga sana lakini baada yakuanza kuishi nae niliona mapungufu mengi sana, la kwanza kabisa alikuwa hajui kupika yani ugali sometimes unakuwa mbichi halafu hata hajishughulishi kuongeza mboga za...
Yaani mwenzenu leo kuna kadada kamenikera sana kanajiona kuharibu ndoa ya mwenzake . Sijui yeye ninani kamfuata mwenzake kazini nakumtafuta uchokozi.
Na akahakikisha atamchukua mume na watoto na hana chakumfanya hata iweje, na kamwambia either uiche ndoa yako mwenyewe au nikuue jamani.
Hivi...
Huyu ndiye mke wa ndoa wa Akon aliezaa nae watoto watano. Walifahamiana tangu wakiwa na miaka 20. Watoto wengine wanne amezaa nje ya ndoa
Hawa ni baadhi ya michepuko wa Akon
Mawakala wa kampeni ya kuoa na ndoa ni raha, tafadhari jiheshimuni sana, endapo kuoa ni raha na ndoa pia ni raha basi tunawaonya iwe ni marufuku tusiwaone kwenye sehemu zetu za bata na kwenye Magest mkiwa na michepuko.
Hio mizunguko tuwaone mkiwacna wake zenu wa ndoa.
Sauti iwafikie popote...
Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.
Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.