michepuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    Aina nne za Wanawake Michepuko

    1. 𝗠𝗖𝗛𝗘𝗣𝗨𝗞𝗢 𝗟𝗔𝗠𝗜: 𝗛𝘂𝘂 𝗻𝗶 𝘂𝗹𝗲 𝗮𝗺𝗯𝗮𝗼 𝗵𝗮𝘂𝗼𝗺𝗯𝗶 𝗽𝗲𝘀𝗮, 𝗸𝗮𝘁𝘂𝗹𝗶𝗮 𝗵𝗮𝗻𝗮 𝗺𝗮𝗽𝗲𝗽𝗲, 𝘂𝘄𝗲 𝗻𝗮𝘆𝗲 𝗮𝘂 𝘂𝘀𝗶𝘄𝗲 𝗻𝗮𝘆𝗲 𝗺𝗮𝗶𝘀𝗵𝗮 𝘆𝗮𝗸𝗲 𝘆𝗮𝗻𝗮𝗲𝗻𝗱𝗲𝗹𝗲𝗮 𝘁𝘂. 2. 𝗠𝗖𝗛𝗘𝗣𝗨𝗞𝗢 𝗩𝗨𝗠𝗕𝗜: 𝗛𝘂𝘂 𝗻𝗶 𝘂𝗹𝗲 𝘄𝗮 𝘃𝗶𝗯𝗼𝗺𝘂! 𝗺𝗮𝗿𝗮 𝗼𝗼𝗼𝗵𝗵𝗵 𝘀𝗶𝗻𝗮 𝗽𝗲𝘀𝗮, 𝗻𝗮𝗼𝗺𝗯𝗮 𝘃𝗼𝗰𝗵𝗮, 𝘀𝗶𝗷𝘂𝗶 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝗶𝗺𝗲𝗸𝘂𝗳𝗮, 𝗼𝗼𝗼𝗵 𝗺𝗮𝗿𝗮 𝗻𝗶𝗽𝗼 𝘀𝗮𝗹𝘂𝗻𝗶 𝗻𝗮𝗱𝗮𝗶𝘄𝗮 𝗲𝗹𝗳 𝘁𝗵𝗲𝗹𝗮𝘁𝗵𝗶𝗻, 𝗻𝗮𝗼𝗺𝗯𝗮 𝗻𝗮𝘂𝗹𝗶 𝗻.𝗸! 𝗡𝗮 𝗵𝗶𝗶 𝗻𝗱𝗶𝗼...
  2. Fbn

    Wanawake wa hivi wangekuwepo Tanzania michepuko sijui ingekuwaje

  3. Ben Zen Tarot

    Aina nne (4) za wanawake michepuko

    1. MCHEPUKO LAMI: Huu ni ule ambao hauombi pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu. 2. MCHEPUKO VUMBI: Huu ni ule wa vibomu!! mara ooohhh sina pesa, naomba vocha, sijui simu imekufa, oooh mara nipo saluni nadaiwa elf thelathin, naomba nauli.....n.k! Na hii...
  4. H

    Wanandoa waishio mikoa tofauti

    Salaam. My first thread kipande hiki cha mahusiano which is my favourate in this platfom. Twende kwenye topic, tupeane experience kwa wanandoa wanaoishi mikoa tofauti kutokana na sababu za kikazi n.k. Inakuwaje kuwaje hasa kwa mwanaume issues kama usafi wa ndani, kufua, mambo ya kutandika...
  5. TheGreatASA

    Kwanini wanasema simu ya mpenzi wako sumu?

    Wengi wanajutia au hata kufurahia uamuzi wao wa kujikuta wanachungulia ujumbe na mawasiliano ya wenzao katika simu zao za mkononi lakini matokeo yake ni jambo ambalo hawakulipangia. Ni kifaa kidogo cha mkononi ambacho kilifaa kurahisisha mawasiliano miongoni mwa watu. Lakini sasa hivi kama...
  6. GeoMex

    Michepuko inaokoa😂😂

    Sio michepuko stress😂😂
  7. Extrovert

    Mwana-kulitafuta, mwana-kulipata: Namna ambavyo michepuko huchipua

    Huu ndio mfano halisi wa kile ambacho kinatokea ndani ya nyumba nyingi! Natumaini wa kujifunza mtajifunza jambo 🤩🤩🤩!!! cariha Rebeca 83 Wangari Maathai Espy Karma Saint Anne financial services muite na wenzenu
  8. B

    Wanawake wengi wakiingia kwenye ndoa wanabadilika kitabia

    Habari za muda huu wadau, Nimekuja na kichwa hichi Cha habari, kutokana na juzi Kati tulikuwa na washkaji Kama wanne hivi wote tupo kwenye ndoa, kasoro mmoja wetu, single boi. Tukajikuta katika mada ya kushare changamoto za ndoa zetu kila mtu kwa muda wake, Katika kushare experience hizo...
  9. sky soldier

    Mapenzi ya umbali mrefu ni heri muijue michepuko yenu kuliko kufichana na kudanganyana

    Kuna haya mahusiano ya umbali mrefu unakuta mwanaume yupo Arusha na mwanamke yupo moro Aidha ni kwasababu ya kazi, biashara, n.k, hivyo kupelekea kutoonana kwa muda mrefu japo mawasiliano yapo. Nasikitika navyoona wengi wanavyodanganyana kama watoto, kila moja anamdanganya mwenzake yeye hana...
  10. Suley2019

    Mpango wa kando wa zamani wa Aliko Dangote waweka mambo hadharani; kimada wa sasa akanusha

    Katika mambo yaliyotrend siku ya mwisho wa mwaka 2020 ni suala la mchepuko wa Mwafrika tajiri kuliko wote, Aliko Dangote kuweka hadharani mahusiano yao akidai moyo wake kuvunjwa katika vipande 1,000. Katika ukurasa wake, mwanadada wa kimarekani Bea Lewis ambaye ni mmiliki wa mgahawa, alieleza...
  11. Miss Zomboko

    Mbeya: Mwanamke achomwa kisu shingoni baada ya ugomvi wa kutoleana siri za michepuko kwa jamii

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia SALOME BUYA [23] Mkazi wa Mnazi kwa Ndomba wilayani Mbarali kwa tuhuma za kumjeruhi vibaya sehemu ya shingoni TABIA ABDALAH [38] Mkazi wa Msesule. Tukio hili limetokea mnamo tarehe 06.10.2020 majira ya saa 18:00 jioni huko Kijiji cha Mnazi, Kata ya...
Back
Top Bottom