ILE MICHANGO YA JOIN.....THE CHAIN IKO WAPI..??NDIOS MJIUZULU(CHADEMA)

ILE MICHANGO YA JOIN.....THE CHAIN IKO WAPI..??NDIOS MJIUZULU(CHADEMA)

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,671
Reaction score
37,844
Naona maoicha picha yanaendelea

Wale.waliokuwa wanangalia star TV juzi walimhoji Tondu Lissu

Moja ya maswali alibanwa michango ya join the chain iko sh ngapi

Akaruka akasema hii anawezajibu katibu na mweka hazina hawa ndio wahusika wakuu

Leo naona anajiuzulu

Asemeeee wazi michango I.efika sh ngapi??na huo wizi umepigwa wapi??

Ama karukwa ndio anapiga kelele

Kituo kinachofwata
 
Unajua maana ya chain of command? Si kila kitu unweza kujibu hata kama unajua . utajibu kile tu kilicho katika area yako ya kiutendaji.
 
Back
Top Bottom