Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 566
- 533
Minara 758 iliyojengwa katika kipindi cha miaka miwili iliyopita imeongeza upatikanaji wa mawasiliano kwa wananchi milioni 8.5 katika vijiji 1,400, hatua iliyochangia kuongezeka kwa laini zinazotoa huduma za miamala ya simu kutoka milioni 80.98 Machi hadi milioni 87.05 Juni 2026.