Benki Kuu ya Tanzania yatoa Taarifa kuhusu Wizi katika Sekta ya Benki, miamala ya simu yaongoza kwa wizi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,012
9,879
Benki Kuu ya Tanzania imetoa taarifa kwa benki zote na taasisi za kifedha kuhusu matukio ya wizi katika sekta ya benki. Kupitia barua yenye kumbukumbu FA.53/359/01/25 iliyotolewa tarehe 5 Machi 2024, Benki Kuu imeeleza kuwa inahitaji kila benki na taasisi ya kifedha kutoa taarifa kuhusu matukio ya wizi.

Benki Kuu ya Tanzania imetoa muhtasari wa hasara zilizosababishwa na matukio ya wizi katika sekta ya benki kwa kipindi cha miezi minne kama ilivyooneshwa katika jedwali ambapo wizi katika simu umezidi wizi wa aina nyingine, huku kukiwa hakuna wizi wa kutumia silaha.
NATURE OF FRAUDMarch 2023
TZS
June 2023 -TZSSeptember 2023
- TZS
December 2023
- TZS
Internal staff fraud
431921442​
227317580​
1350299922​
469396225​
Mobile and Internet
Banking (including
cyber-attacks)
1669067075​
674062254​
901867410​
1654967276​
ATM Card Skimming
57466796​
424166733​
99646255​
159871259​
Forged Cheques and
TISS
34000000​
954594901​
20900000​
11300000​
Armed Robbery
0​
0​
0​
0​
Others
234666160​
274894797​
301957241​
345613601​
TOTAL
2427166459​
2555036266​
2674670828​
2641148362​

1709802696045.png

Taarifa hii inalenga kusaidia katika kuboresha udhibiti wa ndani ili kupunguza hasara za baadaye zinazotokana na wizi katika sekta ya benki.

Hii ni hatua muhimu katika kudumisha usalama na ufanisi katika mfumo wa kifedha nchini Tanzania. Benki Kuu inatoa wito kwa benki zote na taasisi za kifedha kushirikiana kikamilifu kutoa taarifa sahihi na kuchukua hatua za kuzuia matukio ya wizi katika siku zijazo.
 
Sasa mbona hamjaelezea njia walizotumia yaani process Ili tujue walifanyaje na sisi tuweze kujikinga . We unatuambia tu ATM, au internal fraud how? Usikute haya makato ya sim banking transfer ni uwizi embu fungukeni vizuri
Mkuu tufunguke ili iweje? Tuacheni tufanye kazi na tuboreshe uchumi wetu kwa maslahi mapana ya nchi yetu.
 
Sasa mbona hamjaelezea njia walizotumia yaani process Ili tujue walifanyaje na sisi tuweze kujikinga . We unatuambia tu ATM, au internal fraud how? Usikute haya makato ya sim banking transfer ni uwizi embu fungukeni vizuri
Mengine ni michezo ya wafanyakazi wa hizo benki au kampuni za simu kuwaibia wateja.....makato yamewekwa wazi , wizi unajulikana
 
Benki Kuu ya Tanzania imetoa taarifa kwa benki zote na taasisi za kifedha kuhusu matukio ya wizi katika sekta ya benki. Kupitia barua yenye kumbukumbu FA.53/359/01/25 iliyotolewa tarehe 5 Machi 2024, Benki Kuu imeeleza kuwa inahitaji kila benki na taasisi ya kifed

kutoa taarifa kuhusu matukio ya wizi.

Benki Kuu ya Tanzania imetoa muhtasari wa hasara zilizosababishwa na matukio ya wizi katika sekta ya benki kwa kipindi cha miezi minne kama ilivyooneshwa katika jedwali ambapo wizi katika simu umezidi wizi wa aina nyingine, huku kukiwa hakuna wizi wa kutumia silaha.
NATURE OF FRAUDMarch 2023
TZS
June 2023 -TZSSeptember 2023
- TZS
December 2023
- TZS
Internal staff fraud
431921442​
227317580​
1350299922​
469396225​
Mobile and Internet
Banking (including
cyber-attacks)
1669067075​
674062254​
901867410​
1654967276​
ATM Card Skimming
57466796​
424166733​
99646255​
159871259​
Forged Cheques and
TISS
34000000​
954594901​
20900000​
11300000​
Armed Robbery
0​
0​
0​
0​
Others
234666160​
274894797​
301957241​
345613601​
TOTAL
2427166459​
2555036266​
2674670828​
2641148362​

View attachment 2926969
Taarifa hii inalenga kusaidia katika kuboresha udhibiti wa ndani ili kupunguza hasara za baadaye zinazotokana na wizi katika sekta ya benki.

Hii ni hatua muhimu katika kudumisha usalama na ufanisi katika mfumo wa kifedha nchini Tanzania. Benki Kuu inatoa wito kwa benki zote na taasisi za kifedha kushirikiana kikamilifu kutoa taarifa sahihi na kuchukua hatua za kuzuia matukio ya wizi katika siku zijazo.
Mwigulu anasema kila akipita anaona magari mengi yenye namba za “E” , kwake hiyo ni ishara ya maendeleo ya nchi!! Hajui kuwa fedha hizo wanazonunulia magari zinatokana na wizi kwenye mabenki na sio kutokana na kuongezeka kwa uzalishaji!
 
Benki Kuu ya Tanzania imetoa taarifa kwa benki zote na taasisi za kifedha kuhusu matukio ya wizi katika sekta ya benki. Kupitia barua yenye kumbukumbu FA.53/359/01/25 iliyotolewa tarehe 5 Machi 2024, Benki Kuu imeeleza kuwa inahitaji kila benki na taasisi ya kifedha kutoa taarifa kuhusu matukio ya wizi.

Benki Kuu ya Tanzania imetoa muhtasari wa hasara zilizosababishwa na matukio ya wizi katika sekta ya benki kwa kipindi cha miezi minne kama ilivyooneshwa katika jedwali ambapo wizi katika simu umezidi wizi wa aina nyingine, huku kukiwa hakuna wizi wa kutumia silaha.
NATURE OF FRAUDMarch 2023
TZS
June 2023 -TZSSeptember 2023
- TZS
December 2023
- TZS
Internal staff fraud
431921442​
227317580​
1350299922​
469396225​
Mobile and Internet
Banking (including
cyber-attacks)
1669067075​
674062254​
901867410​
1654967276​
ATM Card Skimming
57466796​
424166733​
99646255​
159871259​
Forged Cheques and
TISS
34000000​
954594901​
20900000​
11300000​
Armed Robbery
0​
0​
0​
0​
Others
234666160​
274894797​
301957241​
345613601​
TOTAL
2427166459​
2555036266​
2674670828​
2641148362​

View attachment 2926969
Taarifa hii inalenga kusaidia katika kuboresha udhibiti wa ndani ili kupunguza hasara za baadaye zinazotokana na wizi katika sekta ya benki.

Hii ni hatua muhimu katika kudumisha usalama na ufanisi katika mfumo wa kifedha nchini Tanzania. Benki Kuu inatoa wito kwa benki zote na taasisi za kifedha kushirikiana kikamilifu kutoa taarifa sahihi na kuchukua hatua za kuzuia matukio ya wizi katika siku zijazo.
Wanaimarisha vipi shilingi yetu pamoja na mfumuko wa bei? Bot ni urembo tu!
 
Sasa mbona hamjaelezea njia walizotumia yaani process Ili tujue walifanyaje na sisi tuweze kujikinga . We unatuambia tu ATM, au internal fraud how? Usikute haya makato ya sim banking transfer ni uwizi embu fungukeni vizuri
Wezi wakubwa ni staff wa Bank
...yaani kila mfanyakazi wa Bank ni mwizi.
 
Wanaimarisha vipi shilingi yetu pamoja na mfumuko wa bei? Bot ni urembo tu!
Lazima BOT iwe urembo kwani wanachaguana kupeana kazi kwa kujuana na sio kwa weledi!
Hiyo nafasi ya Gavana inapwaya kwani Mpango alishinikiza apewe mtu wa kwao na kuwaacha wachumi wabobezi wenye uzoefu kama Dr. Enos Bukuku!!
 
Mobile and Internet
Banking (including
cyber-attacks) ::

Cyber-attacks inaingiaje wakat bank zote zina request otp code ? au tuseme wanaclone sim card
Staff wakishirikiana na systems administrators wanapiga jangusho kila kukicha....Kuna jamaa siku hiyo kalewa anaropoka kwamba ka program system kwa kila transaction inayofanyika sh...3 inaingia kwenye line yake ya simu....Sasa tukikatwa sh. 3 hatuoni maumivu.....lakini kwa mamilioni ya watu wanaotumia huduma hiyo......?
 
Na wewe ukaamini bila kuchuja! Kwa akili ya kawaida tu kuna transactions ngapi zinafanyika kwa siku moja na kama alivyokuambia katika kila transaction anachukua shilingi 3 zinaingia kwenye line yake!! Huoni kuwa hizo ni hela nyingi sana kiasi kwamba lazima atakamatwa? Kwanza atazitoaje hizo fedha kwani zitakuwa nyingi sana.
Usiamini kila unachoambiwa au kusoma lazima ujitahidi kuchuja!
 
Nitachuja....halafu tuone kama itasaidia kupunguza wizi.
 
Mwigulu anasema kila akipita anaona magari mengi yenye namba za “E” , kwake hiyo ni ishara ya maendeleo ya nchi!! Hajui kuwa fedha hizo wanazonunulia magari zinatokana na wizi kwenye mabenki na sio kutokana na kuongezeka kwa uzalishaji!
Na kwamba hao wenye hayo magari ni sehemu ndogo sana ya population ya nchi
 
Back
Top Bottom