miamala ya simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR Mambo Jambo

    SoC01 Kupanda kwa Bei za Miamala ya Mitandao ya Simu ni "BANK ECONOMIC STRATEGIES"

    Nawasalimia kwa Jina La JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Kabla ya yote mimi si Mjuzi sana wa mambo ya Uchumi au siasa ya uchumi ila kwa kuwa nimepata ushauri kwa wasomi wa uchumi na mambo haya ya siasa ya uchumi ningependa niwamegee kidogo kuhusu mambo nikiyoelekezwa kuhusu Trending marks...
  2. Jokajeusi

    Mgomo Baridi kuhusu kutumia miamala ya simu. Huko mtaani kwenu hali ikoje?

    Wakuu Kwema! Hapa mtaani kwetu kumekuwa na kamgomo baridi kuhusu utumiaji wa mihamala ya simu. Watu wamegoma kutuma wala kutoa pesa kupitia mihamala kwenye simu. Madai makuu ni kusema makato ni makubwa Sana. Je, huko mtaani kwenu Hali ikoje?
  3. T

    Ujio wa pesa za kwenye simu uliambatana na habari ya "financial inclusion"

    Falsafa haswa ya kodi ni kwamba mwenye pato achangie gharama za uendeshaji wa serikali. Asiye na pato hatakiwi kuchangia. Kwa hiyo kodi sahihi haswa ni ile inayotozwa kwenye kipato. Mfano PAYE kwenye pato la mshahara. Kodi ya mapato - kwenye pato la biashara. VAT kwenye mauzo ya bidhaa na...
  4. B

    Tozo za miamala ya simu ni kikwazo kwa biashara ndogo

    Kama kuna mahali serikali hii imekosea ni kuhusu hii tozo ya miamala ya simu, madhara yake yatakuwa makubwa sana kwa biashara za watu wa chini. Wafanyabiashara wadogo wengi hawatumii bank kufanya manunuzi na malipo mbalimbali. Tozo iliyowekwa ni kubwa kuliko faida tarajiwa katika muamala...
  5. msovero

    Kwa kipekee kabisa naipongeza Serikali kwa kuanzisha kodi ya kizalendo kwenye miamala ya simu. Naomba Watanzania tuiunge mkono

    Hulka yetu watanzania tuliowengi hatupendi kulipa kodi kwa hiari ila ni wa kwanza kuilamu serikali pale inaposhindwa kuleta huduma za maendeleo. Yaani tunafikiri pengine maendeleo yanakuja tu kama mvua ishukavyo kutoka mawinguni au labda kwamba nchi inaweza kujiendesha yenyewe pasipo watu...
  6. Logikos

    SoC01 Kupata Kidogo kwenye Kingi ni bora kuliko kupata Kingi kwenye Kidogo

    Ni bora kupata 1% kutoka kwenye elfu moja kuliko kupata 50% kutoka kwenye 10 (hapo utaona kwenye 1% utapata 10 na kwenye percent 50% utapata 5. Serikali imeamua kuongeza mapato kupitia miamala ya simu; unless otherwise sababu ni kuziua hizi kampuni za simu ili ushindani urudi kwenye mabenki...
  7. Doctor Ngariba

    Kodi ya miamala ya simu ifutwe ama ipunguzwe; itaongeza umaskini na kupunguza ajira

    Habari JF members, Naomba turejee kauli ya Rais wetu Samia alipokuwa anazungumza na wahariri wa vyombo vya habari alipoulizwa kuhusu katiba mpya na siasa za majukwaa. Simple tu alijibu dhamira yake kubwa ni kuifungua nchi kiuchumi japo katiba ni muhimu pia. Lakini kwa hali ilivyo inaonekana...
  8. P

    Kinachokwenda kufanyika kwenye miamala ya simu, ni Serikali kuuchukua tena uchumi sadifu wa kati kwa walala hoi kwamba hawastahili kuwa nao

    Sijui ni kivipi mtu anapofika kwenye level fulani ya maisha hutaka kuilazimisha akili yake kuwa na wengine wote wako kama yeye Badala ya kurudisha akili zake kule alikotoka ili ayapime maisha aliyopitia na hatimaye aone pia wale ambao bado wako huko wanapitia ugumu uleule aliowahi kuupitia yeye...
  9. Kingsmann

    Hili la makato mapya ya miamala ya simu ni "jipu lililo ndani ya ubongo"

    Sifa kubwa ya hili jipu ni kwamba lazima liende kuwa kansa, na sifa ya kansa sote tunaijua huwa inaua kidogokidogo tena kwa maumivu makali. Lakini mbali na hili jipu kuwa kansa, likifanikiwa kupasukia humo ndani basi muhusika lazima apate kiharusi/stroke. Hivyo kumuweka muhusika katika hatari...
Back
Top Bottom