miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia hana washauri? Habari ya kupata Katiba Mpya inahitaji elimu ya miaka mitatu inatoka wapi? Tume ya Jaji Kisanga na rasimu ya Jaji Warioba?

    Nimeshangaa kusikia anasema eti ili mabadiliko ya katiba mpya wananchi wanatakiwa kupata elimu kwa miaka mitatu . Wajue nini kinafaa ndani ya katiba hii ya sasa na nini hakifai. Iliundwa tume ya Jaji Kisanga mwaka 1998 ikakisanya maoni ya Wananchi kupitia White paper. Serikali ya CCM chini ya...
  2. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ina mradi wa reli uliokwama zaidi ya miaka 10 + Daraja lililoanguka | China inajenga mtandao mpya wa miundombinu kila kukicha

    Tangu 2008 serikali ya Marekani kupitia jimbo la California, iliidhinisha ujenzi wa California High Speed Rail (San Francisco–Los Angeles) mpaka leo miaka 18 mradi haujakamilika. Zimejengwa km 192 tu kwa zaidi ya USD 100 billion. USD 100 billion China wanaweza kujenga km 1600-4000 ikitegema...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Binadamu alichomwa chanjo nyingi kuliko binadamu yoyote afikisha miaka 100

    Sir David Attenborough, ambaye anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 100 leo, amesafiri karibu kila kona ya Dunia kama sehemu ya azma yake ya kuwaelimisha wengine kuhusu ulimwengu wa asili. Mtangazaji huyo, maarufu kwa sauti yake ya kipekee ya utulivu, aliweka viwango vipya vya makala za...
  4. JamiiForums Tanzania Wauza chips wahukumiwa Jela Miaka mitatu au Faini 6M kwa kutotoa risiti ya EFD

    Raia wa China Xu Fuyu mwenye umri wa miaka 39 na mfanyakazi wake wa mgahawa wa Kibonge uliopo Kariakoo Dar esSalaam, Blandina Mwalutola mwenye miaka 24 wamehukumiwa kulipa faini ya Sh milioni sita au kifungo cha miaka mitatu jela kwa kushindwa kutoa risiti ya kielektroniki, baada ya kutoa huduma...
  5. JamiiForums Tanzania Mzee akamatwa Kenya kwa kuoa mtoto, ajitetea na dini ya Kiislamu, asema ameona hata mtoto wa miaka tisa akiolewa

    Video: Lizee la hovyo la jamii ya Kisomali Kenya umri wa miaka 46 limekamatwa Kenya kwa kuoa katoto, kuhojiwa linasema dini ya kiislamu inaruhusu hata kuoa katoto ka umri wa miaka tisa. Majirani walitoa ripoti kwamba walikua wanaskia huyo mtoto akilia usiku, inasemekana mtoto alikua...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mdau wa Maendeleo ataka umri wa mkopo uongezwe hadi miaka 40 ili wengi wanufaike

    Mjadala kuhusu mikopo ya vijana inayotolewa na Wizara ya Maendeleo ya Vijana umeendelea kushika kasi, huku wadau wakitoa maoni yanayolenga kuboresha ufanisi na upatikanaji wa fursa hizo. Moja ya hoja kuu ni mapitio ya vigezo vinavyotumika kuwafikia wanufaika. Akizungumzia mjadala huo, Vian...
  7. JamiiForums Tanzania Ni Miaka sasa imepita!

    Habari kaka ,mimi mzima wa afya ni miaka mingi hatujakutana uliondika mimi nikiwa mdogo sasa mimi nimekua mtu mzima week ijayo natarajia kuoa . Nilisoma Kwa tabu sana lakini nilibahatika kumaliza chuo sasa ni Afsa mdogo mwenye nyota jeshini Baba alishafiriki nikiwa standard four,Sijajua ulipo...
  8. JamiiForums Tanzania Leo nimetimiza umri wa miaka 35, nishauri chochote

    Niliambiwa na wazazi wangu kuwa nilizaliwa April 30, 1991 Na Leo nimetimiza miaka 35 Mimi ni mme na baba, Nina watoto 2 Ni mfanyabiashara wa nafaka, mkulima na mfugaji Nitakie heri na nishauri chochote
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini serikali isi-focus miaka mitatu miji wa mkoa mmoja mmoja kama ilivyofanya kwa Dodoma

    Kwamba 2026 mpaka 2029 tunakwenda na Mtwara tunatenga trillion 5 kwa ajili ya mtwara tu viwanja vya michezo yote, vya ndege, bustani mijini kupanda miti katikati mwa miji maana HALMASHAURI zimeshindwa kuboresha miji tuwe kama ulaya, barabara zote za mjini kupigwa lami, Veta au workshop kama ile...
  10. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe amshukuru Waziri Mkuu kuadhimisha Miaka 62 ya Muungano kwa kukagua miradi, kutatua kero za wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amemshukuru Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba kwa kuadhimisha miaka 62 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kukagua ujenzi wa miradi ya maendeleo ya daraja jipya la...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaowabusu wake zao kabla ya kwenda kazini wanaishi miaka 5 zaidi kuliko wale wasiofanya hivyo

    Takwimu zinaonyesha kwamba waume wanaowabusu wake zao kabla ya kwenda kazini huishi miaka mitano zaidi. Na pia hupata hadi asilimia 35 zaidi ya kipato kuliko wale wasiokuwa na tabia hiyo. Utafiti ulioongozwa na Arthur Szabo kutoka University of Kiel unaonyesha kwamba kitendo rahisi cha asubuhi...
  12. JamiiForums Tanzania Live From Tunguu Zanzibar: Kongamano Kuadhimisha Miaka 62 ya Muungano Wetu Huu Adimu na Adhimu, Tutaulinda kwa Gharama Yoyote ili Udumu Milele!

    Wanabodi, Kupitia TBC, matangazo ya moja kwa moja, live Mubashara kutoke Tunguu Zanzibar: Nawaletea Kongamano la Vijana la kuadhimisha miaka 62 ya Muungano wa Tanzania lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM katika Viwanja vya Tunguu - Zanzibar ambapo mgeni rasmi ni Mwenyekiti wa CCM na Rais...
  13. JamiiForums Tanzania Sheria ya kunyongwa mpaka kifo na kifungo zaidi ya miaka 20 visiwepo

    Habari Tanzania !. Nawaomba watanzania wenzangu tuamue kwa pamoja kuwa katika Sheria zetu hasa upande wa Jinai; tuondoe vifungo vya zaidi ya miaka 20 pamoja na kufuta kifungo cha maisha jela au kunyongwa mpaka kufa. Uhalisia ni kuwa; hakuna aliyemkamilifu isipokuwa ni Mungu pekee. Ikumbukwe...
  14. JamiiForums Tanzania Hii ni raha jamani miaka hii

    Zamani hr wengi ni wanaume basi unakuta ukitaka kazi unatoa rushwa ya ngono unapewa kazi huyo ni mwanamke , sasa mwanaume anatoa hongo ya pesa anapewa kazi . Kwa miaka hii haki sawa wanaume na wanawake hr ni mwanaume na kazi wanataka mwanaume na mwanamke na wote wanatoa rushwa ya ngonoo dah...
  15. JamiiForums Tanzania Usije mjini. Wimbo wa mnanda unaoishi miaka na mikaka

    Salam, Huu mnanda marehemu Lupozi bwana katuachia moja kati ya sanaa/ngoma isiyochuja sababu inazungumzia hali halisi ya miaka yote katika nchi hii kutoka kwa watu wenye vipato duni. "Maharage yapo juu kama NYAMA, 🪘 SUKARI nayo imepanda, KODI za NYUMBA kila kukicha, umeme LUKU wa kuchangisha...
  16. JamiiForums Tanzania Sherehe za miaka 78 ya Uhuru wa Israel Rais Isaac Herzog atoa salamu!!

    Salamu kutoka kwa Rais wa Israeli Isaac Herzog kwa jamii za Wayahudi duniani kote katika Siku ya Uhuru wa Israeli ya miaka 78.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa CHADEMA Kushindwa Kuwa Na Vitega Uchumi Kwa Miaka 34 Na Kuishia Kuombaomba Tu Michango Inayoishia Kutafunwa hovyo

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA ni Lichama La Hovyo sana kuwahi kutokea katika Taifa letu. Ni lichama lisilo na mbele wala nyuma. Ni lichama ambalo halinaga Dira wala Muelekeo. Limejaa na kusheheni Viongozi wasio na Maono wala Dira wala Muelekeo wala mipango wala mikakati ya mbele. Ni Lichama...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mwimbaji D4vd akamatwa kwa Mauaji ya binti wa Miaka 14

    Mwimbaji wa Marekani, D4vd, amekamatwa kwa tuhuma za kumuua binti mwenye umri wa miaka 14 ambaye alitoweka mwaka jana. Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 21 alikuwa chini ya uchunguzi na jury kuu baada ya mabaki ya Celeste Rivas Hernandez kupatikana kwenye gari lililosajiliwa kwa jina lake...
  19. JamiiForums Tanzania Akamatwa kwa tuhuma za kujaribu kumbaka bibi mwenye umri wa miaka 80 mkazi wa Sinoni - Arusha

    Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine Masejo amesema wanamtafuta mtu mmoja anayedaiwa kujaribu kumbaka bibi mwenye umri wa miaka 80 mkazi wa Sinoni Jijini Arusha kufuatia picha mjongeo inayoonekana katika mitandao ya kijamii ikimuonesha...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Kiongozi wa Upinzani Julius Malema ahukumiwa miaka 5 jela na kulipa faini

    Hukumu imetoka sasa hivi. Jela miaka 5 kwa kukutwa na silaha bila vibali, kuitumia bila vibali, kuhatarisha maisha ya wengine ..etc etc Naona wana mitigate rufaa asiwekwe ndani mpaka rufaa yake itoke. Mahakama imekubali sentence appeal but not conviction -------------- Kiongozi wa Chama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…