miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Casemiro aweka wazi jinsi ambavyo jina lake limekosewa kuandikwa na kutamkwa kwa miaka mingi

    Jina la kiungo wa Man United, Casemiro limekosewa kuandikwa na kutamkwa kwa muda mrefu, lakini mchezaji mwenyewe ameacha iwe hivyo akiamini kukosewa kwa jina kunamfanya acheze vizuri uwanjani. Anasema “Nilipoanza kucheza soka Sao Paulo, kuna mechi walikosea kuandika jina langu kwenye jezi...
  2. Matetemeko ya Ardhi yaliyoua watu wengi Zaidi Duniani ndani ya Miaka 10

    Taasisi ya National Earthquake Information Center (NEIC) inayochunguza Taarifa kuhusu Tetemeko la Ardhi, inakadiria kuwa Matetemeko 20,000 ya ukubwa tofauti yanatokea duniani kote kila mwaka sawa na wastani wa Matetemeko 55 kila siku. Mwaka 2021, Dunia ilipigwa na Matetemeko 2,200 yenye ukubwa...
  3. Bobby Brown amefikisha miaka 54. Kheri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Bobby

    Moja ya nyimbo zake zilizokonga wahenga ni ‘Two can play that game’. Enzi hizo Janet Jackson alimpenda kweli Bobby na ni Whitney aliyebahatika kufunga ndoa na Bobby na walibarikiwa mtoto wa kike ambae sasa ni marehemu.
  4. Juliana Shonza (Mb) na miaka 46 ya CCM mkoa wa Songwe

    MHE. JULIANA DANIEL SHONZA (MB) NA MIAKA 46 YA CCM MKOA WA SONGWE "Katika kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 46 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) nimekabidhi bando tatu za bati zenye thamani ya Milion moja laki mbili kwa mlezi wa CCM Mkoa wa Songwe Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo pinda kwa ajili ya...
  5. Zitto: Kama hatuwezi kujenga ofisi yetu wenyewe tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma?

    Hii ni kupigana midongo ya nguvu "Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?" 👇
  6. Mwisho wa Dunia ndio mwisho wa Jua litakapofikia tamati. Je, kuna mtu anaweza fika miaka bilioni 5,000,000,000 nusu umri wa Jua uliobakia?

    Sayansi na dini zinapishana kidogo kwenye maono na mitazamo. Siwezi kukataa dini zinavosema wala sayansi inavosema,vitu ambavyo vinaweza kunipa ukweli ni huu msemo kuwa "chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho". Tuje kisayansi maana hapa ndio upande wangu: Fahamu katika nyota unazoziona angani...
  7. S

    Nashangaa sana kuona dada wa miaka 25 anaolewa. Unawahi wapi? Ndiyo maana ndoa zinawashinda!

    Kwa maisha ya Sasa 25 bado ni umri mdogo Sana kuanza kufikiria ndoa. Unahitaji muda wa kula ujana peke yako kwanza ndipo uingie kwenye ndoa. Ikiwezekana jipange kwanza kimaisha mpk ukifika 35 ndipo uingie kwenye ndoa. Mm nina 26 lkn wanaojitokeza nawaasmbia "bado sijamaliza mambo yangu".
  8. B

    Wembe uliosahaulika tumboni kwa miaka 11 waondolewa

    Ama kweli Duniani kuna mambo. Wembe uliosahaulika tumboni kwa miaka 11 watolewa. Madaktari nchini Kenya wamemfanyia upasuaji Bi. Felister Namfua (36) na kutoa wembe wa upasuaji uliosahaulika ndani ya tumbo kwa muda wa miaka 11. Bi Felister amekua akiishi na maumivu makali ya tumbo kwa miaka 11...
  9. CCM miaka 46 (1977-2023) mafanikio ni mengi

    Tukiwa katika kusherehekea kutimiza miaka 46 ya chama chetu CCM, tunayo mengi ya kujivunia na changamoto kidogo; 1. Umeme hadi vijijini. 2. Makao Makuu - Chama na Serikali kuhamia Dodoma (tumetimiza Ndoto ya Muasisi Mwl Julius Nyerere) 3. Ujenzi wa Bwawa la Nyerere (tumetimiza Ndoto ya Muasisi...
  10. Iran kucheza dance hadharani ni jela miaka 10

    Maisha ya nchi nyingine magumu sana!!!!!Hii sijui imekaaje? ========= Iran jails couple for 10 years over viral dancing video: activists Iran has handed jail sentences for over 10 years to a couple who danced in a viral video, convicting them of 'encouraging corruption and public...
  11. M

    Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu, Udhamini wa m.bet uliosemwa na simba kuwa ni b.26 kwa miaka 5 inakuwaje wanapewa b.2.5 kwa mwaka?

    Labda mimi mwenyewe ndio sijaelewa vizuri leo wakati mapato na matumizi yakisomwa wanasema udhamini wa m.bet ni b.2.5 kwa mwaka ndiyo wanayopewa wakati thamani ya mkataba waliyowatangazia wanachama wao ni b.26, Sasa inakuwaje wanapewa b.2.5 kwa mwaka wakati walitakiwa wapewe b.5.2 kwa mwaka kwa...
  12. Kwa miaka yetu ilikuwa ngumu sana kuwa shoga. Unaanzaje kwa mazingira yale?

    Umesoma shule za kibabe hasa kama Kantalambo, Mazwi, Urambo, Lutengano, Ndembela, Iyunga, Tabora Boys, Majengo, Ruvu, Kibiti n.k Unaanzaje kuwa shoga? Lazima matako yatakaza tu nakwambia. Kazi za mbilingembilinge za huko. Darasa likipiga kelele wanakuja walimu pale mlangoni wamejipanga na kila...
  13. Mbeya: Mahakama yavunja ndoa baada ya mke kutopewa unyumba kwa miaka 7

    Mahakama ya Mwanzo Mkoani Mbeya imevunja ndoa ya Upendo Charles (40) na Nelson Sospeter (54) baada ya mke kudai kutopatiwa unyumba na mume wake kwa muda wa miaka saba. Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Asha Njovu, amesema baada ya kusikiliza kwa kipa pande zote mbili Mahakama iligundua kuwa...
  14. Miaka 46 ya tukitawaliwa na CCM huku watanzania wakiwa na umasikini wa hali ya juu. Rais Samia akikata keki ikulu na kuchekelea.

    Kila kona kuna shida ya maji. Wanafunzi bado wanatembae umbali mrefu kuta kutafuta elimu Kodi kandamizi na tozo za kibabe Leo hii mkuu wa nchi anakula keki bila huruma kwa wananchi.
  15. Mtanzania afungwa Jela Miaka 30 Kenya kwa Usafirishaji Haramu wa Watoto

    James Sengo Nestroy alikamatwa baada ya kubainika anajihusisha na Usafirishaji Haramu wa Watoto na Watu wenye Ulemavu ambapo aliamriwa na Mahakama, alipe faini ya Tsh. Milioni 563.8 au atumikie kifungo jela. Baadhi ya Waathirika wa Biashara hiyo wengi wakiwa ni Wenye Ulemavu (Raia wa #Tanzania)...
  16. Siku Nilipoiona Simu Kwa Mara ya Kwanza Odeon Cinema 1955 au 1956 au Nyuma ya Hapo Kidogo Sijavuka Miaka 4

    SIKU NILIYOIONA SIMU KWA MARA YA KWANZA ODEON CINEMA 1955 AU 56 AU NYUMA YA HAPO KIDOGO SIJAVUKA UMRI WA MIAKA MINNE Nakumbuka kama jana vile. Nilikuwa mgonjwa na baba yangu mdogo Mzee Issa akanichukua kunipeleka hospitali. Ilikuwa usiku lakini si usiku mkubwa kiasi cha saa moja hivi. Nina...
  17. Pamoja na kuitafuta miaka yangu hii ya 60 bado nikipanda Dala Dala nawapisha Wazee, ila Vijana 'mnauchuna' tu Vitini

    Ndiyo maana mnaishia tu Kuvuta Bangi, Kupewa hovyo Mimba, mnafeli hovyo Mashuleni, Akili hamna huku wengine mkipenda kuwa kama Dada zenu wakati ni Watoto wa Kiume. Nidhamu ni Ufunguo wa kila Jambo na chanzo cha Baraka Maishani hasa ikionyeshwa na Mtoto / Kijana mbele ya Wakubwa zake hata kama...
  18. T

    Miaka 62 baada ya kupata uhuru: Ni faida gani tuliyoipata kwa kuwa huru?

    Ni miaka 62 imepita baada ya Tanzania kupata uhuru kamili. Lakini ukiniuliza ni faida gani tumepata kwa kuwa huru, sina jibu. 1.Hatuna uhuru wa kisiasa. Siasa yetu bado inasimamiwa na mabeberu e.g. swala la vyama vingi, demokrasia, etc 2. Hatuna uhuru wa uchumi. Uchumi wetu bado upo mikononi...
  19. Kijana wa miaka 15 aishi miezi 10 bila kula wala kunywa chochote

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firaoni. Kijana wa miaka 15 amekaa akifanya tahajudi kwa zaidi ya miezi kumi bila kula wala kunywa chochote. Kijana huyo ameendelea kuwa hai licha ya kutokula chochote kwa muda wote huo, na ameonekana mara kadhaa akitokwa na jasho jingi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…