miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Paving za kituo cha mabasi kibaha kurekebishwa upya, hazina hata miaka 8 ya kutumika

    Baadhi ya maeno ya paving kwenyw kituo cha mabasi kibaha maili moja yanafanyiwa marekebisho, kituo hizi hakijazidi miaka nane tangu kigunguliwe rasmi. Kwa mujibu wa website ya kibaha mji, ujenzi uligharimu 3.3 bilions, na kilianza kutumika October 2018. Stendi Kuu Mpya Kibaha Kuanza Kutumika...
  2. JamiiForums Tanzania Ati ni kweli kuwa kuna kada hata wafanye Kazi miaka mia hawezi kuwa na nyumba kama ya Mwijaku?

    Habari wakuu! Baada ya kuwakandia Machawa na kuwatukana vilivyo mpaka humu ndani uzi wangu kufutwa. Moja ya viongozi wa bodi ya Machawa Tanzania alinipigia simu jana akiwa na furaha nyingi. Nikiwa najua kuna dili la kibiashara linakuja, nashangaa ananiambia unamuona Mwijaku huko. Nikamwuliza...
  3. JamiiForums Tanzania Nawashangaa Watanzania wanaoshangaa kusikia Sadio Mane kamuoa girlfriend wake wa muda mrefu mwenye umri wa miaka 18

    Age of consent in Senegal is 16 years old. Kwa maana ya kwamba mtu mwenye umri wa miaka 16 nchini Senegal anaruhusiwa kuolewa au kuoa. Hiyo hoja kusema kwamba sijui alikuwa ana tembea na minor haina mashiko. Hata hapa Tanzania sheria yetu ya ndoa msichana anaruhusiwa kuolewa akiwa na umri...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mchezaji mpira maarufu Senegal Sadio Mane afunga ndoa na mchumba wake, binti wa miaka 18

    Mchezaji mpira maarufu Sadio Mane juzi amefunga ndoa na mchumba wake, binti mdogo Mwenye umri wa miaka 18. Mwamba ameamua kuoa dogo dogo kuwahi bikira kabisa kabla wahuni hawajaitoa. Cha kushangaza wanasema ni long time girl friend wake. Nawaza tu mahusiano walianza binti akiwa na miaka mingapi?
  5. JamiiForums Tanzania EX kaniacha baada ya miaka nane nikapata kifaa kuliko yeye

    Alright okay ni wako selemani sele hilo nalo ni lile somo la kuogopa wanawake kama ukoma twende na mistari. Nilikuwa na Manzi yangu niko nae miaka 8 sasa ni dem ambae yuko tough Sana kwangu kwanza hayuko romantic, ana majibu makavu kichizi unaweza mwambia nakupenda akakujibu Asante mkuu...
  6. JamiiForums Tanzania Kadri umri unavyoenda uwezekano wa kupata MKE/Mume sahihi unapungua

    Vijana oeni mapema Kadri umri unavoenda probability ya kuangukia kwa MTU broken ndio inaongezeka. Umri WA wadada single broken unaanzia 28yrs Umri WA wanaume single broken ni 35+ Ukijichanganya ukachelewa kuoa au kuolewa utakutana n'a mwenza aliyekata kamba. Manake kashaumizwa sana hadi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Polisi watatu wafungwa miaka 20 jela kwa Rushwa

    Askari hawa walikuwa wakifanya mambo aliyokuwa anayependa Magufuli kipindi chake . ================================================= Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewahukumu Askari Polisi watatu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Jenerali David Musuguri kafikisha miaka 104, hongera kwake

  9. M

    JamiiForums Tanzania Uchawi: Aliyefariki kwa ajali miaka 3 iliyopita aonekena hai mkoani Geita

  10. JamiiForums Tanzania Babu wa miaka 103 amenibariki

    Habari za muda huu wanajamvi Leo nikiwa katika majukumu yangu yakazi amekuja babu wamika 103 kupata huduma ya afya katika hospital ya wilaya. Babu akanikuta nikiwa kwenye majukumu ya kutoa huduma kwa wateja waliokuja kupata huduma ya afya. Baada ya kumhudumia babu na kumpatia matibabu yake...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Utabiri kwa miaka hii miwili 2024 na 2025

    Kwanza nipende kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kufikia siku hii ya mwisho ya mwaka 2023. Kutokana na maisha yetu wanadamu kuwa na vipindi tofauti tofauti, nimeona niwaletee utabiri mfupi juu ya mwaka mpya inayokuja ya 2024 na 2025. Mwaka 2024 Huu mwaka unaonesha utakuwa na utulivu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa miba ya nungunungu itamgharimu miaka 22 jela. Ila muua mamba shwari tu

  13. JamiiForums Tanzania Hivi Wazee wetu wa kuanzia Miaka ya 70 hawa Mabinti wa 20's na 30's Mnaowaoa na Kuzaa nao huwa hampigiwi na hambambikiwi Watoto kweli?

    Hivi kweli jamani kwa haya Maisha yetu ya Kiafrika ( hasa Kitanzania ) huku Wazee wetu nao wakiwa na Changamoto mbalimbali za Kiafya kutoka na Umri wao huo kwenda wanaweza kuwa na Uwezo wa Kumbebesha Mimba Mabinti wa miaka kati ya 25 hadi 35 na Kuzaa? Je, hapa siyo kwamba hawa Wazee wetu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kwanini kwenye ukuaji wa tasnia ya mziki wa kizazi kipya mchango wa shule za sekondari miaka ya 90 haupewi uzito wake?

    Mimi ni mkereketwa mkubwa wa mziki wa kizazi kipya hasa Hip Hop, Soul and R&B toka miaka ya tisini, nimeshuhudia mabadiliko makubwa ya mziki huu kuanzia matumizi ya vinyl, tapes, disc, mp3, mp4 mpaka leo hii. From turntables, radio cassette, walkman cassette, disc player to all blessed...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nafikiri miaka 100 ijayo taasisi ya ndoa haitakuwepo kabisa

    Hi, Kwasababu ya huu utandawazi wa internet, redpill movement, mgtow, mambo ya LGBTQ, udangaji, atheism, umaskini na unemployment wanaume wengi watachelewa kuoa, wanawake watazidi kuona suluhisho ni kudanga, wanaume wataona wanawake wote ni wadangaji, hata wakioana, muunganiko wa moyoni...
  16. JamiiForums Tanzania Urusi yafungua ubalozi nchini Burkina Faso baada ya miaka 30

    Burkina Faso imeegemea Urusi tangu Jeshi lilipochukua Madaraka kwa njia ya Mapinduzi Mwaka 2022 kisha kuwafukuza Wanadiplomasia wa Ufaransa na kufunga kambi ya Kijeshi ya Ufaransa Nchini humo. Ufaransa ililaani mapinduzi ya Burkina Faso pamoja na katika Nchi jirani za Mali na Niger. Hatua hiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Wekeni akiba ya maneno. Miaka 100 ijayo mawazo yenu yatachekwa sana

    Wanajamii, Leo nafanya kuwakumbusha tu, siku hazigandi huku mbeleni miaka mia ijao kizazi cha wakati huo kitakuwa na fikra tofauti sana na zetu. Hivyo basi nyie watu ambao akili zenu mmezifanya mgando, hazishauriki na kubadilika ili kwenda na wakati. mtachekwa sana. Maana kwa wakati huo history...
  18. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe kama miaka 30 upo madarakani hatujafanikiwa, hiyo dola tutaikamatia wapi ili tupimwe?

  19. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe kama miaka 30 upo madarakani hatujafanikiwa, hiyo dola tutaikamatia wapi ili tupimwe?

  20. JamiiForums Tanzania Tuangalie muelekeo wa dunia kwa miaka mitano ijayo

    Mimi sio muumini wa nyota wala uchawi napenda kuona zaidi ya kusikia. Mwaka 1914 dunia ilipigwa vita kubwa ya kwanza yenye ufadhili wa familia au kikundi fulani miaka mitano baadae dunia ikapewa dude linaitwa versail peace treaty na hatimae league of nation miaka ya baadae ikazuka vita ya pili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…