miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Ukiwaelewa Walimwengu.... hawakupishida

    Kwa jinsi tulivyoumbwa hakuna Binadamu aliyekamilika chini ya Jua, kila dereva anamuona mwenzake hajui kuendesha chombo cha moto.
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Zahanati ya Mashati (Rombo) kuwa hatarini kutokana na nyufa ni dalili za kukosekana uwajibikaji Serikalini

    Nimeona hili habari, isome kisha nami nitatoa maoni yangu... Zahanati ya Mashati, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro, iliyotajwa kujengwa zaidi ya miaka tisini iliyopita ipo hatarini kuanguka baada ya zahanati hiyo kuwa na nyufa hali ambayo inatishia usalama wa wagonjwa pamoja na watoa huduma...
  3. JamiiForums Tanzania Jela miaka 30 kwa kumbaka Bibi wa miaka 66

    Mahakama ya Wilaya ya Kigoma mkoani Kigoma, imemuhukumu Baraka Michael (25) mkazi wa Rutale wilayani Kigoma kwenda jela miaka 30 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka bibi mwenye umri wa miaka 66. Akitoa hukumu hiyo Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Kigoma, Eva Mushi, amesema kuwa Mahakama...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kutengeneza Dola mtandaoni: Ni kweli kuna Watanzania wanapiga kazi zenye mkwanja online na wamefanya ziwe ajira rasmi?

    Hapa sizungumzi kazi za kijanja janja unaotea kwa muda mchache unapiga dola kadhaa alafu baada ya hapo mchongo unakuwa ushachuja unaanza upya kujitafuta kwengine, nazungumzia kazi iwe ya uhakika kiasi kwamba kuna watu wamezigeuza ziwe ajira rasmi wanazifanya hata kwa miaka mitatu +. kazi ziwe...
  5. JamiiForums Tanzania Dunia na Afrika Mashariki waiangalie Rwanda kama nchi ya miaka 25-30 ijayo, isihangaike na mtu mmoja tu anayeiongoza kwa sasa

    Nadhani hii ndio strateji sahihi. Dunia na Afrika Mashariki wawe na mtazamo mpana zaidi. Wasimuangalie mtu, waangalie nchi. Huyu mtu anapita tu, na ndani ya miaka 30 ijayo hatakuwa alipo. Sasa ana miaka sabini, hakika hawezi kuongoza Rwanda akiwa na umri wa miaka 100. Tunamuona anafoka foka na...
  6. JamiiForums Tanzania Mzee wa miaka 70 ashikiliwa na Polisi akituhumiwa kufanya utapeli na Maafisa wa NSSF

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Maafisa wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii [NSSF] linamshikilia mtuhumiwa Pius Komba [70] mkazi wa Itigi Jijini Mbeya kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya utapeli na kughushi nyaraka mbalimbali. Mtuhumiwa alikamatwa Januari 25, 2024 eneo...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi watoto wa miaka ya 2000 kuja juu wanaonekana kuzeeka na kuchoka mapema tofauti na umri wao?

    Ukiangalia trend ilivyo kwa sasa hivi utashangaa kuona watoto wadogo tu ila wana maumbo makubwa sana tofauti na uhalisia wa umri wao. Wanakua kwa kasi ya ajabu kama wanalishwa booster!!. Wengi wao wanaonekana kuzeeka haraka na bila mpangilio tofauti na wale waliozaliwa miaka ya 1996 kurudi...
  8. JamiiForums Tanzania Kongamano la UVCCM Kuelekea Miaka 3 ya Uongozi wa Rais Samia na Miaka 47 ya Kuzaliwa kwa CCM

    KONGAMANO LA UVCCM KUELEKEA MIAKA 3 YA UONGOZI WA RAIS DOKTA SAMIA NA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wamefanya Kongamano kubwa kuelekea Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan madarakani na Miaka 47 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi lililofanyika...
  9. JamiiForums Tanzania Huna Wajibu wa kumtunza au kumhudumia Mzazi wako akiwa chini ya miaka 60 kama haumwi

    HUNA WAJIBU WA KUMTUNZA AU KUMHUDUMIA MZAZI WAKO AKIWA CHINI YA MIAKA 60 KAMA HAUMWI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Mada hii inaweza kuwa ngumu kwa baadhi ya Watu. Lakini nitakachojadili hapa ni Haki, kweli, akili na upendo kama ilivyo kwa Watibeli wote. Kama ilivyo kwa mzazi hana wajibu...
  10. JamiiForums Tanzania Vitu unavyopaswa kujua baada ya kuwa na umri wa miaka 35

    1. Kudhibiti ulimi. Siyo kila hali unaongea kuna wakati unapaswa kukaa kimya 2. Jifunze kutulia ni bora kuliko kufanya drama / kuishi maisha ya mtandaoni. 3.Kubali kuna vitu haujui na umezidiwa epuka wivu Jifunze Kwa waliokuzidi. 4.familia unayotengeneza ni Jambo muhimu haijalishi ulitoka...
  11. JamiiForums Tanzania Unahitaji kiasi gani cha pesa kuweza kuishi miaka 10 bila kufanya kazi ya kuingiza kipato?

    Miaka kumi ina miezi 120! Say: 3,000,000×120? = 360,000,000
  12. JamiiForums Tanzania Video: Ustadhi wa madrasa adaiwa kumbaka na kumpa ujauzito binti wa miaka 16

    Hili tukio limetokea huko Zanzibar, ambapo Ustadhi wa Madrasa anatuhumiwa kumbaka Binti mwenye umri wa miaka 16 na kumpa ujauzito. Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 📹 The Chanzo
  13. JamiiForums Tanzania Historia na miaka ya hizi dini na waasisi wake

    Kwa mnaopenda kulipuka mabomu kisa dini, hebu jitafuteni humu, wapi mlikoanzia na mliowakuta....
  14. JamiiForums Tanzania Mkenda kuharibu Elimu Kama Waziri wa Zamani au Kuboresha? Kubadili miaka ya darasani inabadili quality ya elimu?

    Tanganyika tangu mkoloni wa kijerumani mpaka Mkoloni wa Kiingereza elimu yetu ilikuwa bora sana, watu wengi ikiwamo wazungu walikuja kusoma Tanganyika kwenye shule za St.John, St Thomas, St Jude, [Ilboru,Old Moshi, Moshi Technical, Pugu, Minaki, Ifunda] hizi zote ni shule za Wakristo kwakuwa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atatimiza na kusherehekea Umri wa miaka 64 Jumamosi ya wiki hii, huku Taifa likiwa na imani kubwa kwake

    Ndugu zangu Watanzania, Jumamosi ya wiki hii ya Tarehe 27 januari 2024 Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan, mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nuru ya wanyonge na nyota ya matumaini atakuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Arusha: Baba anayetuhumiwa kumuua mwanaye wa miaka 3 atiwa mbaroni na Polisi

    Mwenyekiti wa mtaa anasema alipotoka kwenye mkutano wa Makonda ndio amezipata hizo habari. Jamaa alikuwa dereva wa bodaboda ambaye pikipiki yake iliibiwa baada ya hapo akawa kama chizi. Kata ya Mulyeti Arusha,mtaa wa Field Force. Mtoto mvulana wa miaka mitatu, Amani Amideus. --- Jeshi la...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Kerai, Mbezi Jogoo ni korofi miaka na mikaka. TARURA kwanini hamuiboreshi?

    Barabara hii inayoanzia Mbezi Jogoo karibu na kituo cha daladala na kwenda kuungana na ya Mbezi Makonde ina umuhimu sana kwa sasa kwa sababu inapita maeneo yenye huduma za kijamii kama Zahanati ya Ndumbwi ambapo sasa imepanda hadhi hadi kutoa huduma ya kujifungua kwa wajawazito. Pia kuna shule...
  18. JamiiForums Tanzania R.I.P rafiki yangu (Class mate) leo umetimiza miaka kadhaa

    Ni class mate wangu Allah ampungizie adhabu ya kaburi Baada ya miaka kadhaa kuachana toka shule tukakutana nae aport akisafiri kwenda Kigoma m nakwenda Arusha Kaka akaniambia nw n mheshimiwa anaenda kuwa hakimu huko Kigoma Kiutani nkakuta namtania mkuu uwe makini yale maeneo sio elekezi...
  19. JamiiForums Tanzania Mama yangu ana miaka 70. Je, anaweza kupata cheti cha kuzaliwa?

    Mama hajawahi kuwa na cheti Cha kuzaliwa kutokana na utamaduni wa kabila letu kutozingatia masuala ya documents. Sasa naomba kuuliza, je anaweza kukipata sasa? Nilikuwa nafuatilia passport nikapeleka affidavit baala ya cheti chake cha kuzaliwa lakini afisa uhamiaji wakaikataa. Msaada wa mawazo...
  20. JamiiForums Tanzania KWELI Rais Daniel Arap Moi alihudumu nafasi ya Urais bila kuwa na First Lady

    Kuna kijiwe huku Bonyokwa tunapiga stori za kawaida kuhusu nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Sasa kuna jamaa kasema kuwa Rais wa awamu ya pili nchini Kenya, Hayati Daniel Arap Moi wakati anaingia madarakani hakuwa na mahusiano kabisa na hakutaka kujihusisha nayo kabisa. Nguvu kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…