miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Miaka 13 Bila Albert Mangweah: Bongo Flavour Artists wamejipangaje kumuenzi 2026

    28 Mei 2013 Msanii Maarufu enzi hizo wa Bongo Flavour alitutoka Duniani akiwa kwenye Matibabu huko nchini Afrika Kusini. Wasanii wa Bongo Flavour wamejipangaje kumuenzi? Naona kimya sisikii watu wakimzungumzia namna ya kumuenzi mwaka huu wa 2026. Kwangu Binafsi nitamkumbuka kwa nyimbo ya ni...
  2. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Afghanistan kuruhusu watoto wa miaka 9 kuolewa ni jambo linalozua maswali makubwa katika dunia ya leo

    “Afghanistan kuruhusu watoto wa miaka 9 kuolewa ni jambo linalozua maswali makubwa katika dunia ya leo. Wengi wanaona kuwa katika karne ya 21 mtoto wa umri huo bado ni mdogo sana na anapaswa kuwa shule, si kuingia kwenye ndoa. Soma Pia: Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania RC Dkt. Batilda Burian aipongeza NEMC kupanda miti 2000 Tanga kuelekea maadhimisho ya miaka 40

    BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kanda ya Bagamoyo, limepanga kupanda jumla ya miti 2000 mkoani Tanga, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 40 ya taasisi hiyo yatakayofanyika Mei 29, mwaka huu. Kati ya miti itakayopandwa kwenye maadhimisho hayo yenye ujumbe...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ulega: Nimepokea simu kutoka kwa Bibi wa Miaka 70, anapongeza Serikali kwa kukamilisha Daraja la JP Magufuli

    Bibi Hellen Bugoye (70) kutoka Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maboresho makubwa ya usafiri yaliyotokana na ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (zamani Kigongo-Busisi) linalounganisha Kigongo na Busisi. Shuhuda za...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Serikali imejenga zaidi ya Kilometa 1,495.45 za Barabara kiwango cha lami na madaraja makubwa 18 ndani ya Miaka 5

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanikiwa kujenga kilometa 1,495.45 za barabara kwa kiwango cha lami pamoja na madaraja makubwa 18 ndani ya kipindi cha miaka mitano, hatua iliyoelezwa kuwa mafanikio makubwa katika sekta ya miundombinu nchini...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa Sisi Watibeli mtoto chini ya miaka sita anafundishiwa Nyumbani

    KWA SISI WATIBELI MTOTO CHINI YA MIAKA SITA ANAFUNDISHIWA NYUMBANI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Iko hivi Sisi watibeli foundation ya mtoto ni miaka 0(akiwa tumboni) mpaka akifikisha miaka 6/7. 2. Foundation hii mtoto wa Kitibeli atajengewa msingi wa a) kiafya ya mwili kuanzia Lishe...
  7. Stroke

    JamiiForums Tanzania Rais Samia piga marufuku watoto chini ya miaka 5 kuwa nje kuanzia saa 11 asubuhi kwa ajili ya masomo

    Wakuu nipo barabarani muda huu, Ama kwa hakika maisha yamebadilika. School buses zipo busy kuchukua wanafunzi. Wazazi wanakwena makazini na watoto wao. This is pure madness, there is no control. Rais wangu, weka miongozo kupitia wizara ya elimu, No child at this hour , wanahitaji kupata...
  8. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Hongera ARSENAL kwa kutwaa Ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya kupita Miaka 22

    Arsenal imetwaa ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya Manchester City kulazimishwa sare ya Goli 1-1 kutoka kwa Bournemouth, matokeo hayo yanamaanisha hakuna timu itakayoweza kufikia alama za Arsenal na zote zikiwa zimesaliwa na mchezo mmoja. Hadi sasa Arsenal ina pointi 82, Man City ni ya...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ishara zinazoonyesha Umekua na kukomaa kiakili na ndani ya miaka 10 maisha yako yatabadilika na kuwa mazuri

    ISHARA ZINAZOONYESHA UMEKUA NA KUKOMAA KIAKILI NA NDANI YA MIAKA 10 MAISHA YAKO YATABADILIKA KUWA MAZURI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Maisha ni kuishi. Kusudi la kuishi ni Kufurahi. Furaha inatokana na Kukua, kuendelea na kustawi. 2. Kwenye Biology kuna Growth and Development. Hiyo...
  10. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano wa kuishi miaka mingi zaidi kama utaboresha afya yako?

    Watu wengi wanajiuliza kama kweli inawezekana kuongeza muda wa kuishi kwa kutumia lishe bora, mazoezi, usingizi mzuri, na teknolojia za kisasa za afya. Dunia ya sasa imeanza kuzungumzia sana “Biohacking” — mbinu zinazotumia sayansi, technology, na lifestyle optimization kuboresha mwili na akili...
  11. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Wale wote tuliopitia vyuo vya Ualimu TTC miaka hiyo tukumbushane tamu na chungu za vyuo vya TTC

    TAMU: Mimi binafsi chuo cha ualimu kilinijengea maadili ambayo mpaka sasa yananifanya niaminike na jamii inayonizunguka. Asante sana wakufunzi wangu. Chungu; vishawishi vya kimapenzi aisee! ingawa ni strictly prohibited vyuoni, hii ilitufanya tumalize chuo bila UTI na UKIMWI. KARIBUNI
  12. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Unaitazama na kuitathimini vipi Tanzania ya baada ya miaka 50 kutoka leo?

    Karibuni🇹🇿
  13. Sakwe

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 30 na mshahara wangu ni 250k je nitaweza kutoboa?

    Wakuu na wasilimu sana ! Bila ya kupoteza muda mimi ni mwalimu wa shule moja ya private huku kijijini ndani ndani na muhitimu wa shahada ya ualimu masomo ya arts(Sanaa). Lengo la uzi huu kwa wanajamvi ni kuwa uliza hivi kweli kwa kipato hiki cha laki 250,000 ntaweza kutoboa kimaisha kweli...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mzee wa miaka 75 auwa kwa mapanga kwenye kikao cha familia

    Mzee Thomas Filipi Silayo (75), mkazi wa Kijiji cha Mbomai Juu, Tarakea wilayani Rombo, amefariki dunia baada ya kushambuliwa kwa mapanga wakati wa kikao cha kifamilia kilichokuwa kikijadili mgogoro wa ardhi kati yake na ndugu zake. Tukio hilo lilitokea Mei 8, 2026 katika Kijiji cha Wama, Kata...
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti wa Miaka 14 'Aliyeuzwa' na Mjomba Wake saved from a 46-Year-Old Man A Dramatic Midnight Rescue

    Wadau, kuna story inasikitisha sana imetokea kule Kasarani, Nairobi. On May 7, 2026, Geoffrey Mosiria, ambaye ni Nairobi County Chief Officer for Citizen Engagement, aliongoza a dramatic late-night rescue operation. Walifanikiwa kumuokoa binti mdogo wa miaka 14, an Ethiopian national, aliyekuwa...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Bunge lifanye jambo pale kwenye katiba ili Mama atuongoze angalau kwa miaka mingine 7 baada ya 2030, ndo hitaji la wananchi wengi kwa sasa

    Kwa sheria ya mabadiliko ya katiba, bunge lina nafasi kubwa ya kurekebisha katiba. Wananchi tulio wengi tumeona MAMA ANATOSHA AONGEZEWE MUDA. Bunge lifanya kitu kabla ya 2030 ili mama aendelee kuongoza kwa miaka mingine 7. Wazalendo tunataka mama amalize kabisa malengo yake mema kwa nchi hii...
  17. Stability

    JamiiForums Tanzania Ulishajiuliza miaka kadhaa iliyopita kulikuwa hakuna ishu za vibamia?

    Nini haswa kimeabadirika? Matongo yanazidi kuwa mafupi au mashimo ndio yanazidi kuwa marefu
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hana washauri? Habari ya kupata Katiba Mpya inahitaji elimu ya miaka mitatu inatoka wapi? Tume ya Jaji Kisanga na rasimu ya Jaji Warioba?

    Nimeshangaa kusikia anasema eti ili mabadiliko ya katiba mpya wananchi wanatakiwa kupata elimu kwa miaka mitatu . Wajue nini kinafaa ndani ya katiba hii ya sasa na nini hakifai. Iliundwa tume ya Jaji Kisanga mwaka 1998 ikakisanya maoni ya Wananchi kupitia White paper. Serikali ya CCM chini ya...
  19. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ina mradi wa reli uliokwama zaidi ya miaka 10 + Daraja lililoanguka | China inajenga mtandao mpya wa miundombinu kila kukicha

    Tangu 2008 serikali ya Marekani kupitia jimbo la California, iliidhinisha ujenzi wa California High Speed Rail (San Francisco–Los Angeles) mpaka leo miaka 18 mradi haujakamilika. Zimejengwa km 192 tu kwa zaidi ya USD 100 billion. USD 100 billion China wanaweza kujenga km 1600-4000 ikitegema...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Binadamu alichomwa chanjo nyingi kuliko binadamu yoyote afikisha miaka 100

    Sir David Attenborough, ambaye anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 100 leo, amesafiri karibu kila kona ya Dunia kama sehemu ya azma yake ya kuwaelimisha wengine kuhusu ulimwengu wa asili. Mtangazaji huyo, maarufu kwa sauti yake ya kipekee ya utulivu, aliweka viwango vipya vya makala za...
Back
Top Bottom