miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 97 ya Mzee Mwinyi na amani ya moyoni pasipo nongwa na visasi

    Rais Mstaafu wa awamu ya pili leo anatimiza miaka 97, ni mingi kwa kuiandika na kuihisi kichwani ukifanya tafakari ya kina. Ni miongo tisa na miaka saba. Amekula magunia kwa magunia ya chumvi. Ni umri mkubwa sana kuendelea kuwepo hai, akiwaona wajukuu na watoto zao. Mzee Mwinyi kwa sisi...
  2. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Leo ni miaka 10 tangu Simba amfunge Yanga 5-0

    Tarehe kama ya leo miaka 10 iliyopita, Timu kubwa kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Simba Sports a.k.a Lunyasi walimnyoa Yanga jumla ya magoli 5-0. Unakumbuka nini kuhusu mechi hii? Karibu sana mwanasimba utukumbushe miaka 10 ya mechi hii...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani yafungua ubalozi wake Cuba baada ya miaka minne

    Ubalozi wa Marekani Nchini Cuba umeanza kutoa visa wiki hii kwa mara ya kwanza baada ya kupita miaka minne tangu madai ya mashambulizi ya mfumo wa sauti (Sonic Attacks) dhidi ya wafanyakazi wa kidiplomasia. Marekani ilifunga huduma za kibalozi Cuba mwaka 2017 baada ya wafanyakazi wa Marekani na...
  4. JamiiForums Tanzania Apple kufuta app ambazo hazitokuwa updated kwa miaka 3

    Apple imetoa tangazo kwa madevelopers kuwa itakuwa ikiondoa app ambazo zitakuwa zinamaliza miaka 3 pasipo kuwa updated. Hii ni kwa macOs na iOS. Pia hata app ambazo hazitofikisha kiwango cha download kilichowekwa ndani ya miezi 12 nazo zitakuwa kwenye hatari ya kuondolewa kwenye duka la app. Kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka minne aiba gari la mama yake aingia nalo mtaani

    Mtoto mwenye umri wa miaka minne amenusurika kuumia baada ya kupata ajali ya gari alilokuwa akiendesha mtaani bila ruhusa kutoka kwa wazazi wake Nchini Uholanzi. Polisi wa Kituo cha Utrecht wamesema mtoto huyo akikwangua gari hilo katika maeneo mawili ya kuegesha magari baada ya hapo akaondoka...
  6. JamiiForums Tanzania Pale mke anapofungwa miaka 30 jela na hurusiwi kuongeza mke, hii hali inatatuliwa vipi?

    Katika sheria za dini za kikiristo ni kwamba hurusiwi kuongeza mke na kifo pekee ndicho cha kuwatenganisha, kinyume na hapo ni nje ya sheria za ukristo. Sasa inapotokea mfano mke wako anafungwa jela miak 30 ama hata kifungo cha maisha na bado hamna hata mtoto, ndoa bado ilikuwa mbichi, hapo hii...
  7. JamiiForums Tanzania Pata Websites pamoja na Email 5 kwa gharama 199,000/= kwa miaka 2

    Je, biashara yako IPO Mtandaoni? Tunatengeneza SIMPLE websites maalum kwa ajili ya Biashara ndogo ndogo. Kwa mwezi huu wa wafanyakazi unapata website pamoja na EMAIL 5 kwa gharama ya shilingi 199,000.Tovuti yako itakuwa hewani kwa muda wa miaka 2 na baada ya hapo utakuwa na unafanya malipo ya...
  8. JamiiForums Tanzania Sheikh apigwa miaka 5 baada ya kuua nguruwe

    Bila shaka sheikh alidhani yuko Riyadh Saudi Arabia. Tiririka nayo. Mtu mmoja nchini .Rwanda amehukumiwa kifungo cha miaka 5 baada ya kuua nguruwe Mashahidi watatu wamedai kumuona imam sadate Musengiana akimpiga nguruwe na kumuua hapohapo. Wakili amedai mteja wake alimuua kwa bahati mbaya...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume wa Dar! Mitaa mitatu Mnatekwa na Panya Road?

    Mitaa mitatu yote kutekwa kwa wakati mmoja huko chanika,bila hata Panya mmoja kukamatwa au kujeruhiwa. Hili jambo nashindwa kulielewa kabisa! Nafikiria ingekuwa vipi kama hao Panya road wangejaribu huo ujinga huku mikoani. Sijui kama wangekuwa hai mpaka saa hii! Wanaume wa Dar es salaam...
  10. JamiiForums Tanzania Je, wafanyakazi kucheka baada ya Hekaya za miaka 7??

    Kama tujuavyo enzi za Simba wa Yuda nyongeza ya mishahara, kupanda madaraja na marupu rupu mengine ya wafanyakazi yalisimama, Na hata mshahara huu wanaopata watumishi ni ule alioacha Jakaya Mrisho Kikwete.. Kumekua na Hekaya nyingi na ahadi nyingi! Lakini kwa ujasiri MAMA katika mei Mosi ya...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mrusi kusafiri kwa miaka 40 kama wana wa Israel

    Kuna msemo maarufu wa waingireza usemao "history repeats itself" kwa ninavyoona majeshi ya Urusi huko Ukraine huenda yakatumia miaka 40 kwenda Kyiv kama wana wa Israel walivyotumia miaka 40 kusafiri kutoka misri kwenda Palestine
  12. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo na Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    TAARIFA YA MIAKA 58 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR. 1. UTANGULIZI Ni historia ya kupigiwa mfano kwa Taifa letu kwamba tunaadhimisha miaka 58 ya Muungano wetu. ambapo nchi mbili huru, Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, ziliungana rasmi siku ya tarehe 26-04-1964...
  13. JamiiForums Tanzania Miaka 58 ya Muungano; Maoni mbalimbali yaliyopata kuzungumzwa juu ya Muungano

    MIAKA 58 YA MUUNGANO;MAONI MBALIMBALI YALIYOPATA KUZUNGUMZWA JUU YA MUUNGANO. Leo 12:15pm 26/04/2022 Muungano wetu ni muungano wa pekee na wa aina yake duniani,hakuna Muungano mwingine wowote kama huu Muungano wetu wa Tanganyika na Zanzibar kuzaa Tanzania,bado najiuliza jina la Tanganyika...
  14. JamiiForums Tanzania Sharti gani ushakutana nalo pindi umeenda kuangalia TV kwa jirani miaka hiyo ukiachana na mkae chini

    Hii kwa waenga tu enzi hizo miaka hiyo TV zipo chache unakuta mtaa mzima ipo moja au hakuna kabisa na hapo mnaangalia ni mikanda tu na wenye nyumba wakali maana watoto kwa kuchafua nyumba na miguu michafu basi mnasema kesho usiwafungulie hahahaaha
  15. JamiiForums Tanzania Haya maneno yana ukweli kiasi gani?

    Kwema Wakuu! Mzee mmoja akasema; Ingechukua miaka 100 Magufuli kukomboa watu wengi katika nchi hii; sasa Itachukua miaka 1000 kukomboa taifa hili. Akaendelea kusema, ingawaje alikuwa akiumiza wachache Kwa maumivu makali Kwa ajili ya wengi; Sasa Wengi wataumia maumivu ya POLEPOLE Kwa ajili ya...
  16. JamiiForums Tanzania Ture story! A very beautiful kid Wawa alinusurika kuuawa na ndugu zake akiwa na miaka 6 tu; sasa hivi ana kiama 22

    Sikiliza hiyo documentary hapo chini kutoka 7 NEWS Spotlight TV; kupitia kipindi chao kimoja ambacho huwa wanarusha Jumapili usiku kinachoitwa SUNDAY NIGHT TRUE STORIES
  17. L

    JamiiForums Tanzania Heshima kwa bibi Tu Youyou aliyefanikiwa kuvumbua dawa ya kutibu malaria ya Artemisinin miaka 50 iliyopita

    Leo tarehe 25 Aprili ni Siku ya Malaria Duniani. Kwa maelfu ya miaka, vita vya binadamu dhidi ya malaria havijawahi kukoma. Katika miaka ya 1960, Bibi Tu Youyou na timu yake hatimaye walivumbua artemisinin yenye ufanisi wa kutibu malaria baada ya kuchunguza mamia ya dawa za jadi za Kichina...
  18. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Afrika Mashariki inakua kadri Miaka inavyosonga. Je, Tanzania na Watanzania wananufaika?

    Wakuu salaam, Kadri siku zinavyozidi kwenda Jumuiya ya Aftika Mashiriki inazidi kukua kwa kuongezeka nchi Mwananchama. Kihistoria Jumuiya ya Afrika Mashariki ilizaliwa mnamo mwaka 1967 ikiwa na nchi tatu. Soma: kama inavyooneshwa katika ramani hapa chini. Picha: Ramani ikionesha nchi tatu...
  19. JamiiForums Tanzania Picha: Huu ni mziki na outing za miaka hiyoo. Wazee wa zamani hii ni miaka ya 60s au 70s. 80s nilikuwa na ufahamu hazikuwepo hizi swagga.

    Ni habari picha
  20. JamiiForums Tanzania CAG: Ndege yenye miaka 47 ilikarabatiwa kwa 278.42m ikatumika masaa 18

    CAG: NGORONGORO ILITUMIA TSH. MILIONI 278.42 KUKARABATI NDEGE YENYE MIAKA 47 Kupitia Daftari la Mali za Kudumu za Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro, CAG alibaini kuwa Mamlaka inamiliki ndege aina ya CESSNA 182P yenye Namba za Usajili 5H-MPZ Ndege hii kufikia Juni 30, 2021 ilikuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…