Ture story! A very beautiful kid Wawa alinusurika kuuawa na ndugu zake akiwa na miaka 6 tu; sasa hivi ana kiama 22

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
10,343
6,864
Sikiliza hiyo documentary hapo chini kutoka 7 NEWS Spotlight TV; kupitia kipindi chao kimoja ambacho huwa wanarusha Jumapili usiku kinachoitwa SUNDAY NIGHT TRUE STORIES

A very beautiful child was about to be exterminated for reasons that no one can fathom
 
Sijaisikiliza ila nimeumia sana hasa hapo aliposema alikuwa anakaa wiki nne bila kula chochote.
 
Sijaisikiliza ila nimeumia sana hasa hapo aliposema alikuwa anakaa wiki nne bila kula chochote.
Hiyo sehemu mimi sikuisikia, possibly mawazo yangu yalikuwa yamegawanyika wakati nasikiliza. Kuna ndugu zake walisafiri kwa boti na kutembea kwa miguu kwa siku nne wakiwa wanakuja kuonana naye baada ya kuwa amerudi mstuni; The Chamboggai; nadhani ukoo wao unatwa hivyo kama sikosei
 
Hata mm nimesikia hvy, inauma mno 😁😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom