CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,729
- 5,923
Kama tujuavyo enzi za Simba wa Yuda nyongeza ya mishahara, kupanda madaraja na marupu rupu mengine ya wafanyakazi yalisimama,
Na hata mshahara huu wanaopata watumishi ni ule alioacha Jakaya Mrisho Kikwete..
Kumekua na Hekaya nyingi na ahadi nyingi!
Lakini kwa ujasiri MAMA katika mei Mosi ya mwaka 2021 aliahidi kuwa Mei mosi hii 2022 Kuna "PEKEJI" nzuri kwa wafanyakazi !!
Pamoja na Mambo ya vita n.k lakini Kuna dalili njema!!
Na safari hii naona wafanyakazi wakitoka uwanjani wakikenua!!