miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kagame: Nipo tayari kuendelea kuongoza Rwanda kwa miaka 20 zaidi

    Rais wa Rwanda Paul Kagame, amesema haoni shida yoyote akiendelea kuongoza Rwanda kwa miaka 20 ijayo licha ya kuwa huko nyuma aliwahi kunukuliwa akisema hana mpango wa kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2024. Kagame, 64, ambaye anajiandaa kutete nafasi yake ya Urais, amekuwa Rais kwa miaka...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini ardhi hai collapse baada ya miaka mingi ya kuchimba mafuta?

    Mafuta yanapotoka huko chini yanaacha nafasi. Ardhi iliyopo juu yake haiwezi kuzama chini? Kwanini miaka mingi hili halijawahi kutokea?
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 30 kilio cha walioambukizwa virusi vya UKIMWI na homa ya Figo chasikika

    Hiki ni kisa cha kusikiktisha sana. Mtoto Jason alimuona baba yake akiumwa na hadi kifo. Baba yake alikuwa mmoja wa wahanga wengi wa jumuia iliyokuwa na ugonjwa wa :Haemophilia, muathirirka wa janga hili huwa na uwezo hafifu wa damu kuganda. Kufuatia hali hii, wahanga walikuwa wakiongezewa damu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara agombana na Rais wa TFF, Wallace Karia jukwaani

    Clip inasambaa semaji la yanga likizozana na Rais wa TFF kwenye mchezo wa fainali baina ya yanga vs coastal Union, kwa kweli sasa jamaa amefika mwisho, Manara ameingia choo cha kike, adhabu za Karia zinaanzia kifungo cha maisha na kuendelea. Lakini, hivi huyu jamaa ana matatizo gani, kwanini...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

    Huu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za kuoa mwanamke msomi na asiye msomi tujue tunaelezea hizo sifa tukiwa katika era ipi. mfano: 1...
  6. JamiiForums Tanzania Sir Cliff Richard mwenye umri wa miaka 82 akiwa Wimbledon

    Sir Cliff Richard ni mwimbaji na ana uraia wa nchi mbili, Uingereza na Barbados. Alizaliwa mwaka 1940. Amedumu katika Ulimwengu wa muziki kwa miaka 60. Richard hajawahi kuoa au kuwa na familia ingawa alishapitia kwenye mahusiano na wanawake tofauti. Katika umri wa 82 anaonekana bado yuko vizuri.
  7. JamiiForums Tanzania Msaada au ushauri wa haraka kwa mtoto wa miaka 8 unaitajika kwa haraka

    Naenda moja kwa moja ktk hili jambo kuna mtoto wajirani yangu huyu mtoto ana miaka 8 sasa nahisi ana tatizo la kiafya au kimaumbile . Kuna matukio anayoyafanya hata wazazi wake wanashindwa kuelewa kadharika kwa majirani . 1 dogo ana tuhuma za kusimamisha uume pale anapoona hata paja la...
  8. JamiiForums Tanzania Tumenasa saini ya Paul Godfrey kutoka Yanga, atakuwa nasi kwa miaka miwili

    Watu wa Soka, Tunaendelea na taarifa kuhusu usajili tulioufanya na maboresho yanayoendelea kwenye benchi la ufundi na kikosi chetu kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu. Baada ya mshambuliaji Habib Kyombo na kiungo Aziz Andabwile, sasa tumefanikiwa kuinasa saini ya beki wa klabu ya Yanga Paul...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Stergomena alivyoshiriki Maadhimisho ya Miaka 41 ya Suma JKT

    Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 41 ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT) yaliyofanyika katika Viwanja vya Maonyesho ya Sabasaba Temeke, Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho ya Miaka 41 ya SUMAJKT yanaenda...
  10. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Shule yawavalisha wanafunzi sketi bila kuzingatia jinsia

    Shule ya Sekondari Nyakasura iliyoko Magharibi mwa Uganda imekuwa gumzo baada ya wanafunzi wa kiume wa nchi hiyo kuvaa sketi ikiwa ni sare ya shule hiyo ambayo imeanzisha tangu Mwaka 1926. Mkuu wa shule hiyo amesema mavazi yanayoonekana sio sketi bali ni mavazi ya heshima yaliyokuwa yanavaliwa...
  11. JamiiForums Tanzania JF na makala za Mohamed Said miaka 10 iliyopita

    JAMII FORUMS NA MAKALA ZA MOHAMED SAID:UKIPENDA KUSOMA HISTORIA YA TANGANYIKA/TANZANIA ''HISTORIA YA UHURU ISIMULIWAVYO NA MOHAMMED SAID YAKOSOLEWA'' Mjadala huo hapo juu katika Jamii Forums ulivunja rekodi kwa kuwa ulidumu kwa miezi sita mfulululizo na ulichangiwa na watu zaidi ya 900,000...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi wa G7 washerekea miaka 50 ya USHOGA

    Pro NATO mambo yenu ya usagaji na kufirana haya
  13. JamiiForums Tanzania Ili kutatua suala la ajira, kuwe na ukomo wa muda wa miaka kumi kwa watu wanaoajiriwa serikalini

    Salaam wakuu, natumai nyote mpo salama. Ni wazi kwamba miaka ya hivi karibuni kumekuwa na shida kubwa sana kwa watu mbalimbali kupata ajira serikalini licha ya kuwa na vigezo ya kuajiriwa. Viongozi na wadau mbalimbali wamekuwa wakitoa wito kwa vijana na watu kujiajiri lakini kiuhalisia jambo...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Hong Kong yaandaa mapambo maalumu ya mji kukaribisha miaka 25 tangu irudi China

    Hivi karibuni mitaa na majengo mengi maarufu huko Hong Kong yamepambwa na bendera ya taifa la China na bendera ya mkoa huo huku shughuli mbalimbali za kusherehekea miaka 25 tangu Hong Kong irudi China, ikiwemo maonyesho ya taa za LED.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Robert Kelly (R. Kelly) afungwa kifungo cha miaka 30 jela

    Mwanamuziki wa Marekani, R. Kelly leo amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la Sex Trafficking --- Mwanamuziki wa Marekani wa miondoko ya R&B Robert Kelly amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa unyanyasaji wa kingono kwa wanawake na mabinti wadogo. R. Kelly amepatikana na hatia za...
  16. JamiiForums Tanzania Maendeleo yasiyoweza kumgusa mwananchi moja kwa moja ni ubatili. Kwa miaka 60 tumepata uhuru lakini CCM haijamsaidia mwananchi wa Kawaida

    Unajenga mabarabara lakini mwananchi hana uwezo wa kulipa nauli na kupanda basi hata kama barabara ni nzuri. Hii haisaidii kitu. Mwananchi lazima awe na kipato cha ziada ili kuwa na uwezo mkubwa kumudu. Unajenga hospital lakini huduma za kulipia na wananchi hawawezi kumudu inasaidia nini...
  17. JamiiForums Tanzania R. Kelly kesi imemkalia vibaya, jela miaka 25 au maisha

    Mwimbaji R. Kelly anaweza kukabiliwa na miongo kadhaa jela atakapohukumiwa siku ya Jumatano, miezi tisa baada ya kupatikana na hatia ya kuendesha mpango wa kuwanyanyasa kingono wanawake na watoto. Mnamo Septemba, jopo la New York lilimtia hatiani mwanamuziki huyo aliyefedheheshwa kwa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Hong Kong yaendelea kuwa tulivu, imara na yenye neema miaka 25 baada ya kurudi China

    Ni miaka 25 sasa imepita tangu China irudishe mamlaka yake kwenye mkoa wa Hong Kong baada ya kuwa chini ya utawala wa Uingereza wa miaka 100. Ilikuwa ni Julai Mosi mwaka 1997, wakati wakosoaji walikuwa wakijenga picha mbaya kuhusu mustakbali wa Hong Kong, na kuitaja hatua hiyo kuwa ni mwanzo wa...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanamke wa miaka 27, kuendelea anakuja kuwa mwanamke wa kuaminika zaidi kuolewa kuliko chini ya umri huo

    za mda huu wadau, Niende kwenye mada moja kwamoja, tofauti na zamani ilivyokuwa, yaani mwanaume akitaka kuoa anatatafuta dogo dogo amkuze mwenyewe.. na wengi ilikuwa dogodogo wa kipindi hicho walikuwa wanakutwa bado bikra kabisa na unamtengeneza unavyotaka wewe. Kwa sababu zana ya kupata...
  20. JamiiForums Tanzania Amini husiamini Bongo kuna dogo ana mafanikio kuliko. Maguire, ana miaka 8

    Huu sio uzi wa michezo. Ukifuatilia soka letu unaweza dhani Boko, Kagere, Wawa, Nyoni ndio watu wenye mafanikio makubwa katika umri mdogo. Dogo akiwa na miaka name tayari amegonga kopi Genk, Valencia, Barca na Ajax. Dogo anasema katika maisha yake ndoto yake kubwa Ni kuwatumikia Jangwani. Na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…