Kagame: Nipo tayari kuendelea kuongoza Rwanda kwa miaka 20 zaidi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,302
5,441
Rais wa Rwanda Paul Kagame, amesema haoni shida yoyote akiendelea kuongoza Rwanda kwa miaka 20 ijayo licha ya kuwa huko nyuma aliwahi kunukuliwa akisema hana mpango wa kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2024.

Kagame, 64, ambaye anajiandaa kutete nafasi yake ya Urais, amekuwa Rais kwa miaka 22 amesema hana shida na hilo kwa kuw auchaguzi upo kwa ajili ya watu kuchagua wanayemtaka

Baada ya kushinda kwa 99% katika uchaguzi wa 2017 ambapo alibadili katika kwa kuondoa kipengele cha ukomo wa kugombea Urais

Kauli za kusema kuwa hatagombea tena alizitoa 2017 aliponukuliwa na vyombo vya habari vya Rwanda, Mwaka 2012 alipozungumza na Jarida la World Policy na pia Desemba 2019 alipokuwa katika Kongamano Doha, Qatar


Source: BBC




Paul Kagame to seek fourth term as president of Rwanda

Rwanda's leader, who has been in power for two decades, has said he would consider remaining in office for another 20 years.

Paul Kagame told a French TV channel he would stand for president again at the next election in 2024.

In 2015 he changed the constitution, allowing him to stay until 2034.

In the last presidential election five years ago, official figures showed he won 99% of the vote, which many outside the country dismissed as a sham.

Asked if he would seek re-election, Mr Kagame, who is 64, said: "I would consider running for another 20 years. I have no problem with that. Elections are about people choosing."

Human Rights Watch's Central Africa Director Lewis Mudge told the BBC "what comes as a surprise is that some people are indeed surprised."

"Rwanda is a country where it's very, very dangerous to oppose the government, let alone to be a political opponent... and this authoritarian system is going to be the system for the foreseeable future," he said.

One prominent Rwandan critic has even stronger words.

"If he continues for another 20 years Rwanda will be real hell," Charles Kambanda, a lawyer and university lecturer now based in the US, tells the BBC.

Mr Kambanda says Rwandans already live in a climate of fear, and alleges that more than one minister has told him that they remain in government because they fear being assassinated if they leave.

President Kagame however has fiercely defended Rwanda's record on human rights, most recently at a Commonwealth summit in the capital Kigali in June.

Months earlier, in April, the UK announced controversial plans to send some asylum seekers who reach its shores to Rwanda for processing and potential asylum there instead.

That was condemned by the UN who likened it to "trading commodities", but the British prime minister's office has vowed to press ahead with the policy despite Boris Johnson's departure.

Mr Kagame himself came to power in 1994 after his rebel forces helped end the genocide.

Since then he has positioned himself as a champion of development, but his critics say he maintains a tight grip over what is an authoritarian regime.
 
Haya ndiyo mambo yaliyomponza Gadhafi kujiona ana akili sana Libya. Kuongoza nchi kuliko wengine.
Hawa viongozi wa namna hii wanachoshindwa ni kitu kimoja tu ni kuacha mfumo ambao hata yeye asipokuwepo duniani taifa litaendelea hapa ndipo China na Urusi wanashinda hata ikitokea leo Xi Jinping ama Putin wakafa kamwe China au Urusi hazitayumba kwa sababu zinaongozwa na watu wengi Sana nyuma yao ambao hawaonekani kwa kideo
 
Ukiona hivyo ujue anakaribia kufa.. Hizo huwa ni dalili za kifo... Akiishi sana ni miaka miwili toka sasa..!
Sijui kwann binadamu hatupendi kupumzika. Kwa kazi aliyoifanya pale huu ndo ulikuwa wakati wa kuachia madaraka na kuangalia namna mfumo alioutengeneza utakavyofanya kazi lakini usishangae ukakuta mfumo wote umemzunguka yeye ndo maana wenzake wanaona asitoke.
 
Haya ndiyo mambo yaliyomponza Gadhafi kujiona ana akili sana Libya. Kuongoza nchi kuliko wengine.
Ghadafi hakuponzwa na hilo. Bali ni maono yake kuwa tofauti na maslahi ya Magharibi.

Ila ukiwa na kiongozi mmoja mzalendo na mwenye maono sahihi na utekelezaji mzuri nchi inapiga hatua kubwa sana kuliko kubadilibadili maraisi kila baada ya miaka kumi maana kila Rais anaingia na mtazamo wake mpya.

Kunakuwa hakuna muendelezo.

Ncho zote zilizofanikiwa kufanya mapinduzi ya viwanda na kupiga hatua za maendeleo zimefanya hayo nje ya demokrasia.

Demokrasia hii ya Magharibi na mapinduzi ya kiuchumi ni mafuta na maji. Demokrasia ya kiMagharibi ni anasa ya waliokwishatajirika.
 
Back
Top Bottom