miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama biashara zilikufa na kufungwa miaka 5 iliyopita, hizi faida za mabenki zilitoka wapi?

    Ukikaa na kusikiliza watu unaweza kufikiri Tanzania ilisimama kwa miaka 5 na hakuna kilichofanyika lakini uchumi unaongea tofauti. Bank ya crdb imetoa taarifa ya faida kwa miaka 5 iliyopita, faida imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 300. 2018 Bilioni 64 2019 Bilioni 120 2020 Bilioni 165 2021...
  2. JamiiForums Tanzania Wanasiasa Vijana ambao Miaka yote Sikuwahi Wanaona kama Wapo Smart Upstairs

    Na huu ni mtizamo Wadau msijenge chuki pale ambapo nitakuwa nimewagusa watu wenu wa moyoni. 1. Mwigulu Nchemba 2. January Makamba 3. Nape Nnauye 4. Godbless Lema 5. Kigwangalla 6. Paul Makonda 7. Na wengineo. Hawa jamaa kunakowabeba sana ni mifumo yetu mibovu na uwepo wa wajinga wengi kuliko...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Miaka mitano yote iliisha kwa vitisho na kufokafoka tu hakuna la maana liliofanyika.

    Namshukuru mungu kwamba Samia anaoonesha Nini maana ya uongozi. Uongozi siyo kuniona wewe ndo Bora zaidi kuliko wenzako, kujisifu na kujigamba kila unapopata jukwa na kuwaponda wenzako kila dakika. Uongozi ni hekima hasa nafasi ya juu Kama hii ya urais. Nchi iligeuka kuwa uwanja wa mauaji na...
  4. JamiiForums Tanzania Tarime:Mwalimu jela miaka sita kwa kutafuna pesa shule Tsh mil tatu.

    Mahakama ya Wilaya ya Tarime imemuhukumu kwenda jela miaka mitatu aliyekuwa mwalimu mkuu shule ya msingi Mwege iliyopo wilayani Rorya mkoani Mara,Issaya Gwidana kwa makosa 6 ikiwemo la kughushi hundi za shule na kuchukua Sh. milioni 4.965 ambazo ni kwa ajili ya ujenzi wa madarasa...
  5. JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Bara: Kocha Afungiwa Miaka Mitano Kwa Kushawishi Wachezaji Kugomea Mchezo

    Mbwana Makata Kocha Mbwana Makata na Meneja David Naftali wa Mbeya Kwanza wamefungiwa kwa kipindi cha miaka mitano kila mmoja kwa kosa la kushawishi/kuamuru wachezaji wasiingie uwanjani kuanza mchezo tukio lililosababisha mchezo wa timu yao dhidi ya Namungo FC kutofanyika. Kamati ya Saa 72 ya...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Burudani: Freshley Mwamburi asherekea miaka 30 ya Stellah kurudi Kenya akiwa na mchumba Mjapani mfupi futi 4

    Rhumba icon Freshly Mwamburi, is celebrating 30 years after his girlfriend returned home from Japan with a new man. The veteran musician expressed his disappointment in his song 'Stella Wangu'. The record is a love/hate story wonderfully put together. And every year on May 17, Kenyans...
  7. JamiiForums Tanzania Utabiri wa wazi kama hujui kulima na kupanda utaishi kwa tabu sana miaka ya huko mbele

  8. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni kiboko, Rufaa inachukua miaka miwili kusikilizwa!

    Ni lazima Msajili wa vyama vya siasa nchini aingilie Kati suala hili. Hawa akina Halima Mdee na wenzake wamesubiri takribani miaka miwili Rufaa zao kusikilizwa hii si sawa kabisa. Mambo kama haya huwezi kuyaona CCM
  9. JamiiForums Tanzania Kibwana Shomari ana miaka 21

    Beki hodari wa klabu ya Yanga, Kibwana Shomari ana miaka 21 kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari. Kwa mtindo huu atalitumikia Taifa kwa muda mrefu sana kama ilivyokuwa kwa Nsajigwa. Hakika Kibwana ni hazina kwa Taifa.
  10. JamiiForums Tanzania Special Thread: Batle la picha miaka ya 90 na sasa

    Salaam wakuu, Nimeleta uzi huu uwe maalumu kwa ajili ya kujikumbushia kwa picha hali ya mambo mbalimbali yalivyokuwa miaka ya 90 na yalivyobadilika kwa sasa. Wale wazee wenzangu tutiririke watoto wajue tulikotoka
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia mgeni rasmi miaka 10 ya Haki za Binadamu, mabalozi 15 kuhudhuria

    Wadau wa haki Nchini Tanzania wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuungana na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 10 ya Haki za Binadamu mnamo Mei 13, 2022, yakitarajiwa pia kuhudhuriwa na mabalozi kutoka nchi 15 wadau wa maendeleo Akitoa...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kwanini wazee waliozaliwa miaka ya 1950-1960 bado wana mambo ya kikoloni hadi leo

    Yaani hawa wazee hadi leo hii bado wana mambo yale ya 1. Kuchaguliana wachumba 2. Mpaka leo hii bado zile itikadi za vyama vingi wanaona vitaleta vita 3. Wagumu kubadilika kulingana na nyakati mpaka leo hii bado wanafata sera za Nyerere 4. Mtoto kama amemsomesha amekosa kazi wanaona ni...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali itoe fursa ya watumishi waliotumikia kwa zaidi ya miaka 15 kustaafu kwa hiyari

    Sijuwi leo nililalia ubavu gani! Nimeamka na wazo hilo hapo juu. Ni baada ya wiki iliyoishia jana kupokea simu nyingi mno za ndugu na rafiki zangu kuomba ushauri na misaada mbalimbali. Elimu yetu Bado haijabadili mitizamo yetu kuwa kusoma ni kuajiliwa haswa Serikalini na si vinginevyo. Ufike...
  14. JamiiForums Tanzania Maelfu ya 'Jobless Graduates' wanaishije mtaani miaka yote?

    Habarini ndugu zangu. Ukiwa Chuo unawezeshwa na wazazi au Bodi ya Mikopo kwa ajili ya malazi, chakula, mavazi na mengineyo mengi, na hivyo kupata hadhi/status ya kuonekana kweli kijana wa Kitanzania.Kuna vijana hujibana na kununua mpaka simu, vitu vidogo vya ndani na mwishowe wengine hupata...
  15. JamiiForums Tanzania Miaka 20 ijayo, majina ya Asili Tanzania yatakuwa yamefutika kabisa

    Miaka 20 ijayo majina ya Asili Tanzania ya makabila kama Ngonyani, Mkude, Kimaro, Haule, Maduhu, Mwita, Wambura, Mabada, Sumari, Kiondo nk yatakua ni ya kuhesabu ana ni ya kutafuta ama yatakua yameisha kabisa. Leo 95% ya watoto wanaozaliwa majini ni James, John, Abdalah, Mohamed, Abdrazak...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 97 ya Mzee Mwinyi na amani ya moyoni pasipo nongwa na visasi

    Rais Mstaafu wa awamu ya pili leo anatimiza miaka 97, ni mingi kwa kuiandika na kuihisi kichwani ukifanya tafakari ya kina. Ni miongo tisa na miaka saba. Amekula magunia kwa magunia ya chumvi. Ni umri mkubwa sana kuendelea kuwepo hai, akiwaona wajukuu na watoto zao. Mzee Mwinyi kwa sisi...
  17. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Leo ni miaka 10 tangu Simba amfunge Yanga 5-0

    Tarehe kama ya leo miaka 10 iliyopita, Timu kubwa kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Simba Sports a.k.a Lunyasi walimnyoa Yanga jumla ya magoli 5-0. Unakumbuka nini kuhusu mechi hii? Karibu sana mwanasimba utukumbushe miaka 10 ya mechi hii...
  18. JamiiForums Tanzania Marekani yafungua ubalozi wake Cuba baada ya miaka minne

    Ubalozi wa Marekani Nchini Cuba umeanza kutoa visa wiki hii kwa mara ya kwanza baada ya kupita miaka minne tangu madai ya mashambulizi ya mfumo wa sauti (Sonic Attacks) dhidi ya wafanyakazi wa kidiplomasia. Marekani ilifunga huduma za kibalozi Cuba mwaka 2017 baada ya wafanyakazi wa Marekani na...
  19. JamiiForums Tanzania Apple kufuta app ambazo hazitokuwa updated kwa miaka 3

    Apple imetoa tangazo kwa madevelopers kuwa itakuwa ikiondoa app ambazo zitakuwa zinamaliza miaka 3 pasipo kuwa updated. Hii ni kwa macOs na iOS. Pia hata app ambazo hazitofikisha kiwango cha download kilichowekwa ndani ya miezi 12 nazo zitakuwa kwenye hatari ya kuondolewa kwenye duka la app. Kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka minne aiba gari la mama yake aingia nalo mtaani

    Mtoto mwenye umri wa miaka minne amenusurika kuumia baada ya kupata ajali ya gari alilokuwa akiendesha mtaani bila ruhusa kutoka kwa wazazi wake Nchini Uholanzi. Polisi wa Kituo cha Utrecht wamesema mtoto huyo akikwangua gari hilo katika maeneo mawili ya kuegesha magari baada ya hapo akaondoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…