mhasibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mhasibu wa Benki atekwa, achomwa petroli porini

    Gazeti la kila siku la Nipashe la leo limekuja na habari nzito inayoelezea namna ya mhasibu mkuu wa bank moja hapa nchini alivyotekwa na watu wasiojulikana kupigwa ,kuteswa kisha kuchomwa moto kwa petrol porini. ========= JESHI la Polisi mkoani Pwani limesema mhasibu wa benki ya BOA tawi la...
  2. MakinikiA

    Huyu mhasibu hakuangalia vizuri zile movie zinazofundisha

    MHASIBU wa Kampuni ya Your Home Choice ya Keko, Dar es Salaam, Deodatus Luhela (35), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa na kujeruhiwa na majambazi kisha kuporwa Sh. milioni 60 za mwajiri wake. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam...
  3. BARD AI

    Mhasibu afungwa miaka 76 kwa kufoji risiti na kujipatia tsh. mil. 97

    Bernald Mnyilenda aliyekuwa Mhasibu wa Shule ya Southern Highlands amehukumiwa kifungo hicho baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa kumkuta na hatia ya kutumia kitabu ghushi cha Risiti na kupokea ada kiasi cha Tsh. milioni 97. Mahakama hiyo imemkuta na makosa 22 baada ya kusikiliza...
  4. marandu2010

    natafuta mhasibu kutoka inland container depot(ICD)

    Habari ndugu zangu,naomba nipate kuunganishwa na mhasibu wa bandari kavu (inland container depot)kwa kifupi ICD,nina hitaji msaada wa mawazo na uzoefu,mm nimesoma uhasibu ngazi ya bachelor degree,namba yangu 0712705389 nipo dsm,nitashukuru sana.
  5. Lady Whistledown

    Mhasibu wa Zamani wa Wizara ya Mambo ya Ndani ahukumiwa kwa Ubadhirifu

    Mhasibu wa zamani Wizara ya Mambo ya Ndani Christina Kaale, amehukumiwa kulipa faini ya sh. Milioni nane ama kutumikia kifungo cha miaka miwili gerezani baada ya kupatikana na hatia katika mashtaka manne yaliyokuwa yakiwakabili likiwemo la ubadhirifu wa sh milioni 15.2. Hukumu hiyo imesomwa...
  6. kabila01

    Nimemtongoza Mhasibu hapa Ofisini bila kujua, tumekuja kukutana Lodge

    Habari wana JF Niliingia katika mtandao wa Badoo kwa kutumia jina na picha fake. Nika search girls between the age of 20 to 35 nearby. Akatokea dada mmoja mzuri kumbe ni mhasibu wa hapa hapa ofisini naye katumia Jina na picha fake. Tukachati tukatongozana akaingia line. Siku nikiwa ofisin saa...
  7. B

    Natafuta Mhasibu wa kuniandalia Zero Return

    Kampuni haijawahi kufanya kazi. Imefunguliwa mwaka 2019. 0712464478
  8. Analogia Malenga

    TAKUKURU Mwanza yamtia mbaroni aliyekuwa mhasibu wa bandari Kigoma Madaraka Robert, anayetuhumiwa kwa makosa ya rushwa

    Ndugu Waandishi wa Habari, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza mnamo tarehe 19/04/2021 imemkamata aliyekuwa Mhasibu wa Mamlaka ya Bandari Kigoma Bw. Madaraka Robert Madaraka ambaye anatuhumiwa kwa makosa ya Rushwa, Uhujumu Uchumi na Ukwepaji Kodi wa kiasi cha Sh...
  9. M

    TANZIA Mfanyabiashara Subhash Patel (mmiliki wa Hoteli za Sea Cliff na White Sands) afariki Dunia

    Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa Mabilionea wachache nchini Tanzania na mfanyabiashara, Subhash Patel inadaiwa amefariki leo. UPDATES: MFANYABIASHARA maarufu wa Tanzania ambae ni Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group, Subhash Patel...
  10. Money Penny

    Usiombe ukatolewa out na Mwanaume Mhasibu

    Jamani wahasibu wenzangu mnafeli wapi? Nipo na mrembo kawe Leo, mara akapita Kaka mmoja rafkiangu akasonya. Nikamwuliza shida nini, jibu nililojibiwa sikuamini Mrembo: huyu Kaka bwana alinitoa out weekend, nikaenda nae huko Kwa hotel, tumeongea vizuri, tumekuwa, tumekunywa, tumefurahi...
  11. Nyendo

    Mhasibu wa zahanati ya Tambukareli mbaroni kwa kuisababishia serikali hasara ya Tsh. Milioni 14

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Temeke Jijini Dar es salaam imefanya uchunguzi dhidi ya mhasibu wa zahanati ya Tambukareli iliyopo katika kata ya Azimio, kwa makosa yafuatayo: (1) Kuisababishia hasara serikali kinyume na kifungu namba 284 cha sheria ya kanuni ya adhabu sura...
  12. dubu

    Kisutu: Mhasibu wa Ubalozi wa Tanzania nje ya Nchi, kupandishwa Kizimbani

    Wakuu, TAKUKURU kwa kushirikiana na DPP mchana huu wanatarajia kumfungulia kesi mhasibu wa moja ya ubalozi wa Tanzania nje ya nchi. Bado jina la Mtuhumiwa na Ubalozi anaofanyia kazi haujawekwa wazi. Stay tuned.
  13. Jimz Group

    Finance Assistant at Jimz Technologies Co. Ltd

    Job Title: Finance Assistant Company overview: Jimz Technologies Co. Ltd is a Technology Company, delivering technology-driven solutions and hardware that meet the strategic objectives of our clients. We deliver unmatched business value to our customers through a combination of processes that...
Back
Top Bottom