Kilimanjaro: Mhasibu wa KCBL Bank aliyekuwa anatafutwa, Ombeni Masaidi adakwa na TAKUKURU

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,805
11,965
1623417796779.png

1623417870126.png
 
Mungu mkubwa, alikuwa ni jambazi sugu ambalo lilikuwa limeajiriwa na bank ya KCBL.Mh. Rais ,Takukuru huko Kilimanjaro imefanya kazi ya ziada,kumshika huyu mtuhumiwa, tunashauri wapatiwa Zawadi ili kuwapongeza au wapandishwe vyeo . Hongereni sana Takukuru huko Kilimanjaro.
Alikuibia mkuu au ndio mambo ya majungu camp kama kawaida
 
Bora huko kwenye Takukuru hai, Tanga hakuna kesi zinazoripotiwa na kufanyiwa kazi labda mtuhumiwa asiwe bosi au mtu wa karibu na bosi.
Wakichukua maelezo ya watu wanazuga ni kuchafuatu karatasi za serikali
Wezi wanalindwa walalamikaji wanadhibitiwa
Takukuru Tanga ofisi yao ifungwe
 
Hizi kesi zilikua za kubambikiwa wakati wa magufuli. Hawana hatia hao ndio maana jamaa kaamu kujitokeza anajuwa hamna kesi hapo
 
Mkuu wa Takukuru Tanga alipisha uchunguzi kwa tuhuma za kula rushwa mpaka sasa haijulikani iliishia wapi.

Tanga kunani wagosi hadi bosi wa Takukuru anakula rushwa
Tanga rushwa imestawi
 
Huyu Mtu alishiriki kuiba na Mayor wa huo Mji, Tunasubiria Haki itendeke
 
Back
Top Bottom