Usiombe ukatolewa out na Mwanaume Mhasibu

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
12,605
2,000
Jamani wahasibu wenzangu mnafeli wapi?

Nipo na mrembo kawe Leo, mara akapita Kaka mmoja rafkiangu akasonya. Nikamwuliza shida nini, jibu nililojibiwa sikuamini

Mrembo: huyu Kaka bwana alinitoa out weekend, nikaenda nae huko Kwa hotel, tumeongea vizuri, tumekuwa, tumekunywa, tumefurahi, kanisumbua wiki 2 nikakubali kutoka nae out, alafu ananiletea mambo ya kizamani

Money Penny: mambo gan tenaaa?!

Mrembo: bili ilipokuja ananiambia tugawane malipo nusu Kwa nusu, yeye alipie nusu na Mimi nilipe nusu

Money Penny: bili ulikuja bei gan?!

Mrembo: laki 1 nanusu

Money Penny: na wewe 75 haukuwa nayo au?!

Mrembo: nilikuwa nayo, lakini yeye ndio kanisumbua, alitakiwa alipe yeye sio Mimi, Yani wanaume wengine ovyo Sana, anasema yeye NI mhasibu WA kampuni moja hapa mjini, nashangaa Leo kumkuta hapa KaweπŸ™„

Wahasibu WA skuhizi sijui wamekuwaje?!
Siwashauri wadada kutoka out na mhasibu

Money Penny: mkayamalizaje na Kaka WA watu?!

Mrembo: sikulipa, nikaondoka nikamwacha ananiangalia,

Jamani wahasibu wenzangu WA kiume mnafeli wapi?! Au ndio uchumi WA Kati?
 
Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
16,851
2,000
Inawezekana tatizo sio profession yake bali namna mwanamke ali behave alipotolewa out.

Profession ya mwanamme sio sababu ya kumchukulia tofauti na alivyo. Mfano if he is a mechanic I will treat him like shit....at the end of the day a man is still a man.
 
Akilinjema

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
7,005
2,000
Kuna mtazamo kuwa wanasibu wanakuwaga na pesa lakini kiuhalisia siyo kweli bali hutegemea na mambo kadha wa kadha.

Huyo dada alipojua huyo kaka ni mhasibu akajua anapesa nakuanza kumkomoa kwa kuagiza vyakula na vinywaji vya bei kubwa!
 
Akilinjema

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
7,005
2,000
Mimi huwa nawashauri wanaume ambao wako katika kuanzisha uhusiano wenye future .

Mwanaume jishushe usijioneshe kuwa na pesa utapata mwanamke fake asiyekupenda kwa dhati bali pesa yako!

Mwanamke akikuuliza unafanya kazi wapi mwambie kuwa wewe ni mwalimu wa primary au sekondari kwa mfano uone kama anamapenzi ya kweli atakukubali hivyo hivyo.

Mwanaume ukimwambia Mwanamke unafanyakazi TRA au BOT , Bank , Mhasibu n.k atakuganda, ata pretend kukupenda kumbe sababu ya maslahi na wala siyo Upendo wa dhati toka moyoni.

Tafakarini.

Wanaume wachache ninaowapenda kama upendo wa ndugu huwa nawashauri hivyo!
 
andjul

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
18,086
2,000
Kuna mtazamo kuwa wanasibu wanakuwaga na pesa lakini kiuhalisia siyo kweli bali hutegemea na mambo kadha wa kadha.

Huyo dada alipojua huyo kaka ni mhasibu akajua anapesa nakuanza kumkomoa kwa kuagiza vyakula na vinywaji vya bei kubwa!
Mimi kabla sijatoka home kwenda out nakuwa nimetengeneza ka "trading account" kangu na nina hakikisha hakaleti shida kwenye "daily income statememt" yangu.
Maisha ni kupanga... Hayo ya kuchagua nawaachia wasio wahasibu.
 
Emily VanCamp

Senior Member
Aug 24, 2020
189
1,000
2588648_FB_IMG_16025949977453602.jpg
 
Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
12,605
2,000
Inawezekana tatizo sio profession yake bali namna mwanamke ali behave alipotolewa out.

Profession ya mwanamme sio sababu ya kumchukulia tofauti na alivyo. Mfano if he is a mechanic I will treat him like shit....at the end of the day a man is still a man.
Kwahiyo shemela unasema kwakuwa huyu NI mhasibu basi atritiwe kama mfalme
Na fundi atritiwe kama mavi?!
Kweli kama wewe NI MGombeA Kura yangu sikupi
 
Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
12,605
2,000
Kuna mtazamo kuwa wanasibu wanakuwaga na pesa lakini kiuhalisia siyo kweli bali hutegemea na mambo kadha wa kadha.

Huyo dada alipojua huyo kaka ni mhasibu akajua anapesa nakuanza kumkomoa kwa kuagiza vyakula na vinywaji vya bei kubwa!
Wahasibu jamaan mtuacheee Sisi tunapesa
Angelika hata laki 5 bado mhasibu kama mhasibu angelipa, tunajua wap pa kufidia
 
Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
12,605
2,000
Mimi huwa nawashauri wanaume ambao wako katika kuanzisha uhusiano wenye future .

Mwanaume jishushe usijioneshe kuwa na pesa utapata mwanamke fake asiyekupenda kwa dhati bali pesa yako!

Mwanamke akikuuliza unafanya kazi wapi mwambie kuwa wewe ni mwalimu wa primary au sekondari kwa mfano uone kama anamapenzi ya kweli atakukubali hivyo hivyo.

Mwanaume ukimwambia Mwanamke unafanyakazi TRA au BOT , Bank , Mhasibu n.k atakuganda, ata pretend kukupenda kumbe sababu ya maslahi na wala siyo Upendo wa dhati toka moyoni.

Tafakarini.

Wanaume wachache ninaowapenda kama upendo wa ndugu huwa nawashauri hivyo!
Kwani we haujui kuwa matajiri mjini skuhizi NI walimu?! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nitaleta Uzi WA penzi la Mwalimu utashangaa
 
supercharger GT

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
976
1,000
Jamani wahasibu wenzangu mnafeli wapi??

Nipo na mrembo kawe Leo, mara akapita Kaka mmoja rafkiangu akasonya
Nikamwuliza shida nini, jibu nililojibiwa sikuamini

Mrembo: huyu Kaka bwana alinitoa out weekend, nikaenda nae huko Kwa hotel, tumeongea vizuri, tumekuwa, tumekunywa, tumefurahi, kanisumbua wiki 2 nikakubali kutoka nae out, alafu ananiletea mambo ya kizamani

Money Penny: mambo gan tenaaa?!

Mrembo: bili ilipokuja ananiambia tugawane malipo nusu Kwa nusu, yeye alipie nusu na Mimi nilipe nusu

Money Penny: bili ulikuja bei gan?!

Mrembo: laki 1 nanusu

Money Penny: na wewe 75 haukuwa nayo au?!

Mrembo: nilikuwa nayo, lakini yeye ndio kanisumbua, alitakiwa alipe yeye sio Mimi, Yani wanaume wengine ovyo Sana, anasema yeye NI mhasibu WA kampuni moja hapa mjini, nashangaa Leo kumkuta hapa Kawe

Wahasibu WA skuhizi sijui wamekuwaje?!
Siwashauri wadada kutoka out na mhasibu

Money Penny: mkayamalizaje na Kaka WA watu?!

Mrembo: sikulipa, nikaondoka nikamwacha ananiangalia,

Jamani wahasibu wenzangu WA kiume mnafeli wapi?! Au ndio uchumi WA Kati?!
Huyo sio Accountant kabisa....! Alimdanganya dada wa watu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom