mgogoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa KKKT Konde: Tatizo ni hela iliyoliwa na kundi la Askofu

    Imebidi niingie chimbo kuchunguza mgogoro huu wa Dayosisi ya Konde. Wazungu wanasema penye mgogoro usiotaka kuisha- FOLLOW THE MONEY! Kiti cha Askofu kimeshindwa kurudishwa Tukuyu maana ofisi ya Tukuyu ilimokuwa Dayosisi imeuzwa au kupangishwa kwa milioni 200. Ofisi wameuziwa au kupangishwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mgogoro na Mgongano ndani ya CCM. Team Samia Vs Team Magufuli

    CHANZO SAHIHI Kuna Mgongano Mkubwa sana ambao unaitesa Serikali Na CCM. Juzi maeneo ya Area C Ndani ya Kihoteli kidogo Double K Dodoma haya yamebainika, Hakuna jambo liliwashtua watu kama Magufuli kuondoka Hasa Wale walikuwa wanamsujudu, Wale akina Kesi, Mlinga, Ndugai na Msukuma Bungeni...
  3. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Ethiopia unadhihirisha umadhubuti wa mfumo wetu wa mikoa dhidi ya ule mfumo wa majimbo

    Habari wanajamvi, Kama ilivyo kawaida, kufanya tafakuri ya mambo yale mtu anayoyasikia maredioni na magazetini kuhusu yanayoendelea kwenye siasa za nchi mbalimbali. basi nami nimejikuta nikiyatafakari sana yale yanayoendelea huko Ethiopia na vita vyao vya serikali ya kitaifa na wanamgambo wa...
  4. JamiiForums Tanzania National Interest: Marekani itashindwa na China katika vita juu ya mgogoro wa Taiwan

    National Interest: Marekani itashindwa na China katika vita juu ya mgogoro wa Taiwan Jarida la National Interest limewanukuu maafisa wa zamani na wa sasa wa masuala ya ulinzi nchini Marekani wakitahadharisha kwamba, Washington itashindwa na Beijing iwapo kutatokea vita juu ya eneo la Taiwan...
  5. JamiiForums Tanzania Somo gani tunajifunza Watanzania kutokana na mgogoro wa mpaka wa baharini baina ya Kenya na Somalia

    Watanzania tuna jambo la kujifunza na kuchukua hatua sahihi hivi sasa kutokana na mgogoro wa mpaka wa baharini baina ya Kenya na Somalia. Tusijifanye vipofu hatuoni ukweli uliopo. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliopo hivi sasa ni wa muda tu kama katiba ya Serikali ya Muungano haitafanyiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Askofu Isaya Mengele na Askofu Mwaikali, mgogoro wa KKKT Dayosisi ya Konde unawapaka matope!

    Askofu Mengele -katikati na Askofu Mwikali aliyesimama walipoita waandishi wa habari wakijieleza. Askofu Mengele amefunga safari kwenda Mbeya kumpa tafu Askofu mwenziwe Askofu Mwaikali ambaye ana tuhuma zinazo muweka katika sintofahamu na kondoo wake. Kitendo cha kupeana tafu kati ya hawa...
  7. JamiiForums Tanzania CCM yatoa maelekezo kumaliza sintofahamu ununuzi wa mahindi Songea

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka wakala wa chakula NFRA kuweka utaratibu mzuri ili kumaliza sintofahamu iliyopo juu ya ununuzi wa mahindi Manispaa ya Songea kwa kuhakikisha wananchi wote waliokwisha kuorodheshwa Mahindi yao yananunuliwa pamoja na kuongezwa kwa kituo kimoja cha ununuzi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Is there any political instability in Tanzania? Kuna mgogoro wa kisiasa au hakuna?

    Straightly forward, kuna mgogoro wa kisiasa nchini au hakuna? Kama kuna migogoro ya kisiasa tinajengaje uchumi wa nchi? Umewahi kuona wapi inawezekana hiyo? Kama hakuna mgogoro wa kisiasa ni kwanini kiongozi wa Chama kikuu cha upinzani nchini yupo ndani hadi sasa? Ni kwanini wanachama wake...
  9. JamiiForums Tanzania Afghanstani viongozi wengi wana uraia pacha na wanaiharibu nchi hiyo. Diaspora wengi wenye pasi mbili hawana upendo wa dhati/ uzalendo na nchi zao

    Marekani na Uingereza na nchi zingine washiriki wametuma vikosi vya jeshi kurudi tena nchini Afghanistan ili kufanya operesheni ya kuwaokoa raia wa nchi hizo pamoja na raia wa Afghanistan wenye pasi mbili za kisafiria. Marekani inatuma vikosi vya wanajeshi wapatao 3000 huku Uingereza ikituma...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mgogoro iliozusha Marekani si kati yake na China, bali ni kati ya ubinadamu na umwamba

    Hivi karibuni, maandamano ya kupinga serikali yalitokea nchini Cuba. Wakati jamii ya kimataifa ilipotia wasiwasi na kuwa tayari kutoa msaada, Marekani nayo ilitumia maandamano hayo kama ni fursa. Rais Joe Biden alisema, “Marekani iko pamoja na watu wa Cuba”, na kutangaza vikwazo vipya dhidi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Haji Manara amtuhumu Barbara kuwa na chuki dhidi yake. Amuahidi ataondoka Simba kwani amemkuta

    Leo nimesikia audio ikitembea mitandaoni inayodaiwa kuwa imerekodiwa na Manara akimtuhumu kwa mambo mengi Barbara.Inaonekana hawa watu wana mgogoro wa mda mrefu na hawawezi kufanya kazi tena pamoja. Wewe kama mwanasoka unadhani nini kifanyike? Au ni madhara ya Mo kujimilikisha timu...
  12. JamiiForums Tanzania Taifa letu lina mgogoro gani mkubwa mpaka mnataka maridhiano? Au mazoea ya siasa za kubebwa ndio inawasumbua

    Naona juice za ceres na sambusa za ikulu ni tamu sana ndio maana ndugu zetu wnaChadema wanakomaa waitwe ikulu wakaonane na rais Samia. Maana hata kama kutinga ikulu ni dili sio hivi sasa. Mnakomaa kuwa eti kuna muafaka mnataka upatikane sasa mnataka upatikane ili kutatua mgogoro upi? Zuio la...
  13. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mgogoro wa ardhi baina ya kanisa la Christ Synagogue Ministries na mjane yaunguruma Arusha

    Kesi ya Mgogoro wa Ardhi baina ya Kanisa la Christ Synagogue Ministries lililopo Sakina jijini Arusha na wasimamizi wa mirathi Bernadette Changuru na Samweli Changuru imeahirishwa hadi Agosti 11 mwaka huu. Shauri hilo namba 57/2021 linasikikizwa na Baraza la Ardhi na Nyumba la wilaya ya...
  14. JamiiForums Tanzania Mgogoro kati ya wamiliki Viwanja na maafisa ardhi Manispaa Sumbawanga

    Maafisa ardhi wanataka kuiingiza serikali kwenye mgogoro mkubwa na wamiliki wa viwanja wanaovimiliki kwa title deed za miaka 66 huko kizwite. Maafisa ardhi wanashirikiana na matapeli wa ardhi wakiwadanganya kuwa mashamba ya marehemu wazazi wao hawakulipwa fidia wakati wa upimaji viwanja hivyo...
  15. JamiiForums Tanzania EAC inatatuaje mgogoro wa viongozi kung’ang'ania madarakani?

    Jumuiya ya Afrika Mashariki hauhusiki kutatua mgogoro wa nchi viongoz wanao ng’ang’ania madaraka? Hapa tunazo kama Uganda, Rwanda na Burundi.
  16. JamiiForums Tanzania Umejifunza nini Mgogoro wa Jackline Ntulyabaliwe vs Familia ya Reginald Mengi?

    Wakuu Natumai mmeamka vema kabisa. Mgogoro Kati Bi. Jackline Ntulyabaliwe ( msanii k-lyn) na Familia ya marehem Biliionea mfanyabiashara Bw. Reginald Mengi (Mzee Mengi) umechukua sura mpya katika jamii yetu. Yote hii inachangiwa zaidi na umaarufu waliokua nao Wote wawili. Hapa tunaongelea...
  17. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Israel na Palestina ndio utakaohitimisha dunia

    MGOGORO WA ISRAEL NA PALESTINA NDIO UTAKAOHITIMISHA DUNIA. Leo 11:15hrs 22/05/2021 Nianze kwa angalizo,ugomvi wa Palestina na Israel ni wa mapacha wawili toka wakiwa tumboni mwa Mama yao kabla ya kuzaliwa,Mapacha hao ni Esau na Jacob,sababu ya njaa Esau aliuza haki ya mzaliwa wa kwanza kwa...
  18. JamiiForums Tanzania RC Amos Makalla amaliza mgogoro wa Meya na Mkurugenzi Kinondoni

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amemaliza sintofahamu ya uongozi wa manispaa ilijitokeza Kati ya meya manispaa ya kinondoni Ndg Songoro Mnyonge na mkurugenzi wa manispaa Spora Liana. Utatuzi wa mgogoro huo umefanyika leo katika kikao Cha pamoja kilichoitishwa leo na mkuu wa...
  19. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Israel na Palestine - Safari ya Tera

    Na, Robert Heriel Tz PART 1: SAFARI YA TERA Huwezi zungumzia Taifa la Israel bila kumzungumzia Tera. Wazo la Israel kwenda Kanaani (Palestine) ya leo liliasisiwa Tera. Tera ndiye Baba wa Abraham, Nahori na Harani. Tera alikuwa akiishi Uru ya Ukaldayo (Kati ya nchi ya Shinari na bara Aram)...
  20. JamiiForums Tanzania Iran kaingiwa na nini Israel? Anataka ipigwe kura kutoka kwa Wayahudi, Wakrito na Waislam Israel kumaliza Mgogoro

    Vyanzo kutoka Iran, Vinasema kutatua mgogoro wa wa Karne nyingi kati ya Israel na Palestina ni kupiga kura miongoni mwa wakazi wote waishio katika maeno ya mgogoro wa kiuraia, utamaduni au udini. 'Lengo letu 'Wairani' wa utatuzi kwa Wapalestina ni kuitisha kura ya Maoni kwa kuwajumuisha jamii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…