Mfumo wa Gridi ya Taifa Kenya wapata hitilafu, umeme wakatika maeneo mengi ya Nchi leo Mei 2, 2024

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,321
5,493
Mamlaka inayosimamia Huduma ya Umeme Nchini Kenya (The Kenya Power and Lighting Company PLC-Kenya Power) imetangaza tatizo la kukosekana kwa umeme katika maeneo mengi ya Nchi hiyo ambalo limesababishwa na hitilafu za Kiufundi.

Kenya Power imeeleza kuwa hitilafu hiyo imetokea katika Mfumo wa Gridi ya Taifa, Saa 11:40 Jioni ya leo Mei 2, 2024, hivyo kusababisha kukatika kwa umeme.

GMlawanWAAAY_-Y.png
 
Wacha wakome, huo mfumo hata ungeibiwa ni sawa tu, kupata hitlafu hakutoshi... Wakamba hawa wangese.
 
Mamlaka inayosimamia Huduma ya Umeme Nchini Kenya (The Kenya Power and Lighting Company PLC-Kenya Power) imetangaza tatizo la kukosekana kwa umeme katika maeneo mengi ya Nchi hiyo ambalo limesababishwa na hitilafu za Kiufundi.

Kenya Power imeeleza kuwa hitilafu hiyo imetokea katika Mfumo wa Gridi ya Taifa, Saa 11:40 Jioni ya leo Mei 2, 2024, hivyo kusababisha kukatika kwa umeme.

Hali ni mbaya sasa. Bado kuna Hidaya anakuja leo au kesho sijui? Tutanyooka na haya mabadiliko ya tabia nchi.
 
Mamlaka inayosimamia Huduma ya Umeme Nchini Kenya (The Kenya Power and Lighting Company PLC-Kenya Power) imetangaza tatizo la kukosekana kwa umeme katika maeneo mengi ya Nchi hiyo ambalo limesababishwa na hitilafu za Kiufundi.

Kenya Power imeeleza kuwa hitilafu hiyo imetokea katika Mfumo wa Gridi ya Taifa, Saa 11:40 Jioni ya leo Mei 2, 2024, hivyo kusababisha kukatika kwa umeme.

Wametuiga
Yaani Kenya bwana mmmh!!!😀
 
Umekatwa kwa muda gani ?

Utakuwa kwa dakika 2-3 , bongo usiku mzima mateso matupu usingizi unapaa na kukata.
 
Back
Top Bottom