MUGA MUGA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 417
- 376
Habari Waheshimiwa wa JF.
Samahani kama nitamkwaza mtu kwa swala ninalotamani kulifahamu. Rafiki yangu wa Shuleni O Level, hata sasa nipo nae karibu ktkharakati za kupambania tonge, alifanikiwa kwenda KUHIJI Makka, miaka kama 7/8 sasa.
Aliporudi, akawa na katabia ka kuwasomea watu Dua kwa kadiri ya mahitaji yao, kitu ambacho hakuwahi kukifanya hapo awali.
Baadaye kidogo akaanza kuagua watu kwa dawa za kisuna. Mwishowe yote yamemshinda, na anaendelea na harakati za kufanya kazi alizokuwa ameziacha baada ya kutoka Kuhiji.
Mtu wa pili ni jirani yangu hapa Arusha, alifanikiwa kwenda kuhiji Makka kwa msaada wa kiongozi mmoja aliyemuahidi kwamba akipita Ubunge atamsapoti kwenda Kuhiji. Hatimaye mambo yalikuwa mazuri na alikwenda kuhiji.
Huyu naye akafanya kama yule rafiki yangu niliyetangulia kumzungumzia, Ni kama miaka 3/4 hivi iliyopita, alikuwa mganga wa kienyeji kabisa. Ila sasa yamemshinda, amerudi kwenye udalali wa viwanja huko Murieti, Njiro B & Kwenye hekaheka za CHAMA.
Je, kuna uhusiano gani kati ya Kwenda HIJJA na HARAHATI ZA UGANGA ama TIBA ZA KISUNA?
Nini kinatoa HAMASA YA KUTOA TIBA YA NAMANA HIYO?