mganga wa kienyeji

Mganga wa kienyeji (Mganga) ni mtu anayehudumia watu kwa njia za kienyeji ikiwemo kutibu.
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Aliyepotea Singida abainika kuuawa kwa mganga wa kienyeji

    Haya mambo yanahitaji uchunguzi, na subira, huyu naye chadema walisema katekwa na polisi ===== Jeshi la polisi mkoani Singida linawashikilia watu watatu akiwemo mganga wa kienyeji ambaye hajaweza kufahamika jina lake baada ya kutuhumiwa kumuua kijana samwaja na kumnyofoa baadhi ya viungo na...
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Niliamua kumuacha baada ya kugundua kuwa baba yake ni mganga wa kienyeji

    Kuna pisi moja niliisotea kwa muda sana. Kuna siku niliikaribisha gheto ikaja ila ikaninyima mzigo kwa kisingizio cha kuwa period, tukapanga akipona tupelekeane moto. Kabla hajapona nikagundua baba yake ni mgangaél wa kienyeji,nilifuta namba siku hiyohiyo
  3. Jana Ulirudi Usiku

    JamiiForums Tanzania Ameponea kwa mganga wa kienyeji

    Salama wakuu? Nina rafiki yangu amenipa tafakuri mno usiku huu.alikuwa anaumwa, amezunguka kwa mitume na manabii ila hakupona .... Ajabu ameponea Tanga, tena kwa mganga wa kienyeji. Hii imekaaje? Kwanini wengi waliopinga yeye kwenda upande wa pili wenyewe huenda kwa waganga pia? Kwa nn hasa...
  4. sir Matiku

    JamiiForums Tanzania Waganga wa kienyeji wanafanyeje kuwashawishi wagonjwa kutoroka hospitali?

    Wakuu hivi hawa waganga wa kienyeji Huwa Wana maneno matamu kiasi Gani yaani mtu mpaka anamtorosha mgonjwa wake hospitali ili ampeleke Kwa mtaalamu. Cha ajabu zaidi ugonjwa wenyewe unakuta unatibika hospitali kwa gharama mdogo sana lakini akienda upande wa pili mwamba anapiga Hela na anauachia...
  5. Dignah

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga konki wa kurejesha Mahusiano

    Natafuta Mtaalamu wa Kurejesha Mahusiano. Malipo ni baada ya kazi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji maarufu Dkt. Manyaunyau agundulika mbinu yake ya kutapeli watu kwa kumchezesha jini kimbunga kwa remote control

    Habari wadau, Mganga wa kienyeji maarufu kwa kunywa damu za paka. Dr manyau nyau agundulika mbinu yake ya utapeli. Akiwa anafanyiwa mahojiano na mtangazaji wa global online tv. Dr manyau nyau alitaka kuonesha mbwembwe kwa mwandishi huyo wa habari kwa kumuambia asalimie majini yake na aone...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mganga wa Kienyeji kutoka Tanzania na mgombea urais Seychelles kortini

    15 February 2024 Victoria, Seychelles Kiongozi wa United Seychelles, chama kikuu cha upinzani, Dkt Patrick Herminie na mchawi wake kutoka Tanzania Mahakama ya Ushelisheli mnamo Alhamisi ilifuta mashtaka yote ya watu watano kati ya wanane katika kesi ya uchawi iliyokuwa ikiendelea...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais wa nchi yoyote ile duniani Kurudia Nguo ni kutokana na Ukata wa nchi yake au ni Takwa la Mganga wa Kienyeji?

    Najiandaa kusoma tu Comments za Wandewa na Wajuvi wa Mambo hapa JamiiForums.
  9. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji atapeliwa Mbeya, aenda kulalamika kwa mkuu wa mkoa

    Katika hali isiyo ya kawaida Mganga wa kienyeji Edward Mwansasu mkazi wa Kijiji Cha Ndubi Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya, amefika mbele ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya kulalamika juu ya kutapeliwa na mteje wake aliye mhudumia kwa kumpa dawa za biashara. Mganga huyo amefika mbele ya mkuu wa Mkoa wakati...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Njombe: Aliyeshtakiwa kwa kuwabaka Wanawake kwa zamu na kuwaingizia matango sehemu za siri ahukumiwa miaka 180 jela

    Mahakama ya Wilaya ya Njombe imemhukumu Juma Msemwa (27) na Mkazi wa Njombe, kutumikia kifungo cha miaka 180 jela kwa Makosa 6 ya ulawiti na ubakaji, ambapo kila kosa anatakiwa kwa miaka 30. Akisoma hukumu ya kesi hiyo namba 53 ya Mwaka 2023, Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Njombe Matilda Kayombo...
  11. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Tufanye wewe ni mganga wa kienyeji 😂

    Nipe masharti yako ili nitajirike, tuone mwenye masharti magumu 😂
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji akamatwa akidaiwa kusababisha kifo cha Mtoto

    Jeshi la Polisi mkoani Lindi linamshikilia mganga wa kienyeji, Jalina Juma (45) kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mtoto, Yusufu Salumu (9), mkazi wa mtaa wa Rutamba Manispaa ya Lindi. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Pilly Mande alidai Julai Mosi, 2023...
  13. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Mnaishije bila kwenda kwa mganga wa kienyeji? Una mnatake risk tu mnaumwa na kufa imetoka hiyo?

    Delete this post Nimepost kimakosa
  14. beatboi

    JamiiForums Tanzania Mwenye Nyumba ameleta mganga wa kienyeji anatulazimisha tulambe unga anahisi kuna mchawi kwenye nyumba yake

    Habarini ndugu wanaJF, Baba mwenye nyumba amemleta mganga kutoka kusini huko anadai kwenye nyumba yake kuna mtu anamchezea (mambo ya kichawi), sasa anatulazimisha tulambe ungaunga mweupe nimesikia wanauita 'usembe' ili kumbaini mchawi kwenye nyumba yake. Binafsi nilikataa kulamba vitu...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Mganga wa Kienyeji aliyemfanyia Kazi Tukuka Musiba akawa ndiyo huyu huyu wa Yanga SC inayoenda kuwa Bingwa wa CAFCC 2023

    Tafadhali Poti wangu Musiba kuna Demu Mmoja wa Kihaya na Kinyiramba si tu ananisumbua bali ananikondesha pia kwa Kunikatalia kunipa 'Tamu Baioloji' yake. GENTAMYCINE nipo chini ya Fito zako naomba unipe Namba yake / zake za Simu ili nimpigie anifanyie Kazi yangu ifanikiwe ning'oe Mzigo kama...
  16. ngeti

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa connection za wataalam (waganga) wa kutoa UTAJIRI, ukimuona tajiri mpe heshima yake

    Ndugu zangu maisha sio kutafutana, maisha ni kutafuta, mwanaume kama huna pesa, basi niseme maisha yako yatakua ya hovyo na utakufa ukiwa na uchungu sana.. Safari ni ndefu sana iliyojaa tabu shida na changamoto kubwa sana, nasema ukimuona tajiri ana pesa zake tafadhali mpe heshima yake bila...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji Mbaroni akidaiwa kubaka mgonjwa wake

    JF SUMMARY Jeshi la Polisi linamshikilia Sabihi Mpando, Mkazi wa Chipuputa kwa tuhuma za kumfanyia Ukatili wa Kingono Mgonjwa mwenye mwenye miaka 17 aliyekuwa akimtibu wakiwa Makaburini. Kaimu Kamanda wa Polisi, Hamis Ramadhani, amesema, Mganga alimlaghai mwathirika na kwenda naye eneo la...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nilipoteza fahamu kuzinduka nikajikuta nipo kwa mganga wa Kienyeji

    NILIPOTEZA FAHAMU, KUZINDUKA NIKAJIKUTA KWA MGANGA WAKIENYEJI Anaandika, Robert Heriel Loveboy Muhimu: Asome mwenye kuanzia miaka 18! Kipanga hukwapua vifaranga lakini Mimi kazi yangu ilikuwa kukwapua Pisikali, vitoto nyolinyoli vitamu kama Asali. Ilikuwa Kama dozi ya ARV kila siku kubwia...
  19. ommytk

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

    Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kwenda kwa mganga wa kienyeji ili upate mpenzi?

    Naomba kuuliza, hivi hiki kitendo cha kwenda kwa mtaalam wa kienyeji akusaidie kupata mpenzi ni kweli hua inafanikiwa? Aliewahi kufanya hivi anijibu
Back
Top Bottom