mganga wa kienyeji

Mganga wa kienyeji (Mganga) ni mtu anayehudumia watu kwa njia za kienyeji ikiwemo kutibu.
  1. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Katavi: Mganga alawiti watoto sita akiwapa matibabu

    Mganga wa kienyeji mkazi wa Majengo ya Mpanda mkoani Katavi, Akili Abakuki maarufu kama Jimmy (38) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwalawiti watoto sita wakati akiwapatia matibabu nyumbani kwake. Kaimu wa Jeshi la Polisi Mkoani hapo, Sylivester Ibrahim amesema mtuhumiwa...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Mganga wa kienyeji ajenga madarasa ya shule, achimba kisima, aweka solar

    Mganga mmoja wa tiba za kienyeji katika Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu amejitolea kwa gharama zake kujenga vyumba viwili vya madarasa ya kisasa, kuchimba kisima cha maji na kuweka umeme wa Sola kwenye shule mbalimbali wilayani humo. Mganga huyo Ndabagija Katani amesema ameamua kufanya hivyo...
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Siku mtu mwenye mali zake mkazi wa Dar aliyeugua maradhi yasiyojulikana alivyoletwa kutibiwa kwa mganga wa kienyeji huko Lindi

    Mnakumbuka miaka kadhaa iliyo pita niliwahi kuanzisha Uzi kwamba nataka kufanya utafiti kuhusu uganga na uchawi? Basi moja Kati ya sehemu nilizo kwenda ni Kwa mganga mmoja babu wa miaka themanini na ushee huko mkoani Lindi vijijini Alie sifika Kwa kuwa Na uwezo mkubwa WA kushindana Na wachawi...
  4. emmarki

    JamiiForums Tanzania Napata ndoto za kutisha baada ya kwenda kwa mganga wa kienyeji

    Nilijenga msingi mzuri wa imani yangu kwa Mungu, kuwa ndio anayeweza kunitoa kwenye hili dimbwi la kukosa kipato licha ya kugraduate since 2014 hizi digrii yeboyebo. Japokuwa Mungu alinisaidia kupata kazi za mikataba ya muda mfupi lakini mishahara ni ile ikizidi sana ni laki nne, sehemu nyingi...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Pakistan: Mjamzito agongelewa Msumari kichwani na Mganga wa Kienyeji ili ajifungue Mtoto wa Kiume

    Msako unaendelea nchini Pakistani kumtafuta mganga wa kienyeji anayedaiwa kushindilia msumari kwenye kichwa cha mwanamke mjamzito. Mwanamke huyo alifika katika hospitali ya Peshawar baada ya kujaribu kuchomoa msumari wa 5cm (inchi mbili) kichwani kwake. Awali, aliwaambia madaktari kuwa...
  6. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Njombe: Wawili wauawa na mganga wa kienyeji na kutupwa msituni

    Watu wawili, Suzana Mtitu (38) na Kassim Kitamkanga (35) wakazi Makambako Mkoani Njombe wamekutwa wamefariki katika msitu wa Tanwat uliopo Njombe huku uchunguzi ukibainisha kuwa wameuawa na Mganga wa Jadi baada ya Watu hao waliokuwa Wateja wake kugundua dawa za kuwa Matajiri walizopewa...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tabora: Nyoka Koboko amekunywa uji wa Moto, amkimbiza Mganga wa Kienyeji

    Nyoka aina ya koboko anadaiwa kuweka kambi katika eneo la Mlimani City kata ya Ng'ambo manispaa ya Tabora ambapo amegeuka kuwa tishio la maisha kwa wananchi wa mtaa huo. Katika jitihada za kumuondoa nyoka huyo wananchi walimleta mganga wa kienyeji ambaye alitamba kumuondoa nyoka huyo. Mganga...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji aua watoto wawili wa kambo na kuwazika ndani

    Habari za kusikitisha kutokea Kaliua Tabora Baba wa Kambo amewaua watoto wake wawili kwa kuwaziba pumzi na kisha kuwazika ndani ya nyumba kabla ya kutoroka kusikojulikana Tukio Hilo limetokea Novemba 17, 2021 Wilayani Kaliua na kuthibitishwa na RPC wa Tabora Richard Abwao Chanzo cha mauaji...
  9. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji Pemba ahukumiwa Miaka 30 kwa kumbaka mteja wake

    Mahakama ya Mkoa Chake Chake imemuhukumu Mshitakiwa Issa Abdalla Haji mwenye umri wa miaka 41 mkaazi wa shehia ya Wawi Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba kutumikia chuo cha mafunzo kwa muda wa miaka 30 pamoja na kulipa fidia ya shillingi millioni moja za Kitanzania baada ya kutiwa...
  10. exalioth

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji katembea na mke wa rafiki yangu akimdanganya ni jini

    Inaskitisha na inahuzunisha, Wakuu mko poa? Naenda kwenye maada,: hapa jirani imezuka kelele ya kufa mtu ambapo naishi kuna mke wa rafikiangu ambae ni mke wa mwalim, mkewake katobw,,,, na mganga wa kienyeji bila kinga imeleta vurugu sana, Iko hivi, ni mke wa rafikiangu ambae wameoana...
Back
Top Bottom