mfumuko wa bei

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Waziri Nchemba umeshindwa kumsaidia Rais kwenye mfumko wa bei

    Kama alivyoshindwa waziri Makamba kumsaidia rais kwenye suala la umeme na Nchemba umeshindwa vibaya sana kila kukicha vitu vinapanda bei kwa kasi ya ajabu bila wafanyabiashara kukemewa na mtu yoyote. Kama una mshahara wa chini ya millioni 1 kujenga utakusikia kwenye bomba tu.
  2. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Mfumuko huu wa bei nchini, Watanzania tumekuwa wapole mno. Tunahitaji maandamano ya amani

    Hali mtaani inatisha sana, karibu kila kitu kimepanda bei, kuanzia maduka ya ujenzi hadi maduka ya vyakula, hadi pipi zimepanda bei. Kipato cha Mtanzania kiko palepale na asilimia kubwa ya vijana hawana ajira wala kipato chochote. Sahivi ukininunua mafuta ya elfu moja ya kupikia hayatoshi...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Kukopa sana na mfumuko wa bei vina uhusiano gani?

    Haya maisha kadri mtu mmoja anavyozidi kukopa huko nje na kuleta pesa hizo humu ndani kumekuwa na mfumuko wa bei katika bidhaa nyingi sana. Yaani kila bidhaa masokoni madukani na popote bei imezidi kupanda kila wakati hadi kusababisha wananchi kuwa na maisha magumu kila kukicha. Hadi najiuliza...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei kwa sasa imefikia asilimia ngapi

    Kwa siku za karibuni kila kitu kimepanda ukianzia vyakula, vifaa vya ujenzi, mafuta n.k. Nawauliza Ofisi ya Takwimu kwa sasa mfumuko wa bei bado ni single digit au double digit?
  5. chuki

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei kila kitu bei juu, mahindi, mchele na mafuta havishikiki mtaani

    Habari mbaya sana Mtaani kila Kona Rais anasemwa vibaya na mambo yanaenda Kombo, Bei ya Vyakula kama Mahindi na Mchele vimepanda maradufu Ndani ya Awamu ya Samia. Mafuta ya Kula Bei imeongezeka karibia nusu, Diesel imepanda na kusababisha Nauli kuongezeka Vijijini, Nguo na vitu vya kawaida...
  6. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa Bei Marekani na Ulaya: Nako Rais Samia alaumiwe Magufuli akumbukwe?

    Hapa Tanzania bwana siku hizi, kiila kitu utasikia lawama zinaenda kwa mama wa watu Rais Samia. Yani hata mahali hahusiki kabisa utasikia analaumiwa Mama wa watu kiasi kwamba tunajiuliza mnabebesha mizigo asiyostahili kiwa sababu yeye ni mwanamke na ninyi mmezoea viongozi wanaume au ndio hizo...
  7. 2019

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa wanaharakati na wapinzani kwenye mfumuko wa bei ni dalili Rais Samia amekubalika au?

    Tumeshuhudia kila kitu kupanda bei, ndio kila kitu kasoro vinywaji tu. Tulizoea kelele na ukosoaji mkubwa enzi za JPM na muhanga mkubwa kabisa akiwa ni JK. Sioni hayo yakiwa kama zamani hii ina maana gani?
  8. wazagamba nkoko

    JamiiForums Tanzania Kwa huu mfumuko wa bei ya bidhaa karibu zote nchini Serikali inapaswa kujiuzulu haraka sana

    Kila kitu holela, bidhaa aina zote bei juu na ni ndani ya muda mchache sana, serikali imeshindwa kazi, ijiuzulu. Mwaka jana pamoja na kovidi kutisha kwa kiwango cha hali ya juu hatukuwa na mfumuko wa bei kiwango cha sasa. Inaonekana Serikali tayari mikononi mwa walanguzi
  9. chase amante

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei ni tishio kwa maisha ya Watanzania

    Habarini ndugu, Hivi sasa bei za bidhaa kuanzia bidhaa za majumbani kama sabuni, mafuta na vinginevyo mpaka mbolea ,vifaa vya ujenzi n.k vimepanda bei. Bei zimekua kubwa sana kiasi mtu wa kawaida kuzimudu inakua shida. Vifaa vya ujenzi ambavyo vingi tunatengeneza hapa hapa nchini navyo...
  10. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kumbe mfumuko wa bei siyo kitu kibaya

    Siku zote nimekuwa naamini kuwa mfumuko wa bei ni kitu kibaya hadi juzi kati nilipoona kinyume chake kwenye kitabu kimoja. Kabrasha hilo linasema kuwa mfumuko wa bei hadi wa 20 percent unasaidia kukuza uchumi. Huu unasaidia kutengeneza ajira na kuchangamsha shughuli za kiuchumi. Linaendelea...
  11. KENZY

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Uchumi, tuelezeni kwanini kuna mfumuko wa bei

    Forum kama hii ilitakiwa sahivi kuwe na mjadala mkali wa kuelezea kwanini kuna mfumuko wa bei na kutoa mapendekezo ya nini cha kufanya ili kutatua,badala yake naona kimya tu na mijadala myengine tu ndo imeshika hatamu. Tusisahau historia ya Forum hii imekuwa ni chachu ya kuleta mabadiliko...
  12. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Huu mfumuko wa bei unaoendelea nchini utaliangamiza Taifa kiuchumi na kiusalama

    Kwa sasa kila kitu kimepanda sana. Hali ya maisha inazidi kuwa mbaya. Baada ya mwaka mmoja, kama hali itaendelea kuwa hivi, uchumi wetu utaanguka. Hali mbaya ya kiusalama inayochochewa na uchumi ulioanguka kutokana na mfumuko wa bei itakuwa dhahiri. Serikali na Taasisi zake, kwa bahati mbaya...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei waongezeka kutokana na Bei ya Nyama, Gesi, Ngano na Maziwa ya unga

    Bidhaa za nyama, gesi ya kupikia, mkaa na viazi mviringo zimetajwa kuongeza mfumuko wa bei kutoka asilimia 3.8 Agosti hadi asilimia 4.0 kwa Septemba mwaka huu. Taarifa ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Oktoba 8 jijini Dodoma, imetaja bidhaa nyingine zilizoongeza mfumuko wa bei ni ngano na...
  14. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei huku mtaani unashamiri, kuna nini kinaendelea?

    Salaamu watoto wa Jamhuri ya Muungano! Kiukweli huku MTAANI vitu vinazidi kupanda bei siku Hadi siku.Nyama saizi 8000 Toka 7000. Juzi nimeenda dukani kununua Colgate naambiwa Sasa ni 5000/= ikiwa hapo awali nilikuwa nanuna 3500/. Kwa ujumla vitu vingi bei vimepanda na sijaona tamko lolote...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Mama samia Rais wetu mpendwa jaribu kuangali bei za vitu Arusha

    Kwa sasa anaye jua hizi bei na uhaba wa baadhi ya bidhaa atuambie tunaelekea wapi gesi Arusha ni pasua kichwa mtungi mdogo 25000, cement haipo na ukipata ni 18000, chumvi imepanda, mafuta ya kula lita 5 ni 30k, petrol na dieasel uko hatusemi, nondo nazo zimepanda bati ndio kasheshe kabisa...
  16. USSR

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa Bei: Bei ya nyama imepanda Tsh 8,500 kwa kilo 1

    Mida hii natoka job of course ni weekend so nikajipitisha mitaa ya tegeta nakuta Bei ya nyama ya ng'ombe imepanda kutoka 7000-8500 nikakakausha nikajua mbezi Bei itakuwa pungufu. Nafika mbezi jirani kabisa na home ambapo huwa nanunua nikakuta Bei imepanda na wao wanauza8500 nilivyouliza...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Serikali idhibiti mfumuko wa bei

    Hali ya bei za bidhaa inadhidi kuwa tete. Bei ya petrol, dizel imeongezeka kwa kiasi kikubwa. Zaidi ya sh 40 kwa lita. Bei ya mafuta ya kula lita 5 kwa 50,000. Yaa 10,000 kwa lita. Kama inawezekana hata jeshi la polisi litumike kama ambavyo imewezekana sehemu tofauti. Nakumbuka msako wa...
  18. msigazi

    JamiiForums Tanzania Jinsi Serikali inavyotakiwa kudhibiti mfumuko wa bei

    JF nawasalimia kupitia jina la jamhuri, Nachukua nafasi hii kuleta nasaha zangu kwenu ikiwezekana serikali izipate. Kuna jambo ambalo nimewaza ni kwanini vitu huwa vinapanda bei bila mpangilio nikagundua kuwa kuna shida kwenye wasimamizi wa bishara. Kwenye wizara ya viwanda inatakiwa ipitie...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tanzania imeendelea kufanya vizuri katika kudhibiti mfumuko wa bei wa Taifa ikilinganishwa na nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Tanzania imeendelea kufanya vizuri katika kudhibiti mfumuko wa bei wa Taifa ikilinganishwa na nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kipindi cha mwezi June, 2021. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii, Ruth Minja, Jijini Dodoma ambapo amesema kuwa mfumuko huo kwa...
  20. OLS

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta na Mfumuko wa bei, tumejipangaje?

    Bei za mafuta zinahusika moja kwa moja na mfumuko wa bei(Headline inflation) hii ni kwa kuambiwa lakini nimefanya pia analysis ya haraka haraka na kuona uhusiano mkubwa kati ya hivyo vitu, tafadhali angalia matokeo haya kutoka kwenye STATA nimetumia data ya mwezi kuanzia 2010 hadi 2020...
Back
Top Bottom