mfumuko wa bei

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei

    Salama wakuu. Kwa wale tuliobahatika kusoma uchumi kwa kiasi chake,hebu tuzungumze kuhusu hili suala la mfumuko wa bei "inflation" .Nimekuwa nikiona mara kadhaa serikali ikitoa takwimu na namna ambavyo inapambana kudhibiti mfumuko wa bei nchini,lakini hii imekuwa ikinipa maswali flani flani...
  2. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mfumuko wa bei Tanzania ni wa kutisha, idara ya Takwimu wametupiga chenga ya mwili kwa takwimu za Januari, ila nimewagundua

    Kuna mabadiliko makubwa sana ya kitakwimu nimeyagundua kwenye report ya mfumuko wa bei ya mwezi January, ambayo inasema kwamba mfumuko wa bei kwa miezi 12 iliyopita mpaka mwisho wa mwezi January 2021 ni asilimia 3.5 tu!. Niliangalia hii report ilivotoka wiki iliyopita, lakini sikuelewa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Serikali tupia jicho Mfumuko wa maghala au Magodown maeneo mbalimbali nchini unapelekea mfumuko wa bei za bidhaa

    Pamoja na kwamba ukuaji na ueneaji wa Magodown ni ishara ya ukuaji wa shughuli za kiuchumi na uongezekaji wa vipato na ukusanyaji kodi kwa Serikali lakini usiporatibiwa vizuri unaweza kuleta ugumu na ukali wa maisha kwa wananchi na pia unaweza ukapunguza kwa asilimia kubwa ukusanyaji wa kodi...
  4. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei ni 3.1% Tanzania

    Yamesemwa na ritha minja ambaye ni Mkurugenzi wa Sensa za Twakimu na Jamii. Hiyo ni kwa mwezi October Source: TBC online My take Tumpongeze rais kwa juhudi maana vitu vipi chini kwa kuanzia cement hadi sukari
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei wa taifa kwa mwaka ulioishia Julai 2020 umeongezeka hadi asilimia 3.3 kutoka asilimia 3.2

    Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa kipimo cha mwaka unapima kiwango cha kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma zote zinazotumiwa na kaya binafsi. Jedwali Namba 1 hapo juu linaonesha kuwa, Mfumuko wa Bei wa Taifa kwamwaka ulioishia mwezi Juni 2020 umebaki kuwa asilimia3.2 kama ilivyokuwa kwa...
  6. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwezi Juni 2020 umeendelea kuwa asilimia 3.2 kama ilivyokuwa mwezi Mei, 2020

    Mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwezi Juni 2020 umeendelea kuwa asilimia 3.2 kama ilivyokuwa mwezi Mei, 2020. Akizungumza leo Julai 8, 2020 Jijini Dodoma, Kaimu Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Bi. Ruth Minja amesema kuwa hali hiyo...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei nchini Tanzania umeongezeka hadi asilimia 3.8 kutoka asilimia 3.6 ya mwezi Oktoba, 2019

    Imeripotiwa kuwa Mfumuko wa bei nchini Tanzania kwa mwezi Novemba 2019 umeongezeka hadi asilimia 3.8 kutoka asilimia 3.6 ya mwezi Oktoba, 2019. Kaimu Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Jamii wa ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ruth Minja ameyasema hayo leo Jumanne Desemba 10, 2019 mjini Dodoma...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei waongezeka nchini Ujerumani

    Kiwango cha Bei ya Watumiaji (CPI) kimeongezeka kwa asilimia 1.1 mnamo Novemba nchini Ujerumani. Kulingana na data ya Takwimu ya Shirikisho la Ujerumani (Destatis), mfumko wa bei nchini umeongezeka kwa asilimia 1.1 mnamo Novemba ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana mwezi Oktoba...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei wa taifa waongezeka kutoka asilimia 3.4 hadi asilimia 3.6

    Mfumuko wa bei wa Taifa kwa kipimo cha mwaka unaoishia mwezi Oktoba 2019 umeongezeka hadi asilimia 3.6 kutoka asilimia 3.4 mwaka ulioishia mwezi Septemba 2019 ikiwa ni ongezeko la asilimia 0.2. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kutangaza takwimu za bei, Kaimu Mkurugenzi wa...
Back
Top Bottom