Tanzania hivi sasa tunakabiliwa kwa kiwango kikubwa sana cha vijana tunaowaita Elimu Ndogo Pesa Nyingi (Tuwaite EP kwa kifupi - Elimu Pesa), ambao utawatambua katika namna ya maongezi yao, kutamba kwao na kujionyesha kwao. Hata humu JF wapo wengi tu. Utaongea nae dakika tatu tu na kujua kwamba...
Taarifa za kifedha barani Afrika.
Mfumuko wa Bei Washuka, Lakini Hatari Mpya Zaongezeka
🎯Ongezeko la mzozo wa Mashariki ya Kati limesababisha bei ya mafuta duniani kufikia $90 kwa pipa, kiwango cha juu zaidi katika kipindi cha miaka miwili.
Hali hii inatishia kudhoofisha kasi ya kushuka kwa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Kristalina Georgieva, amesema mfumuko wa bei duniani unatarajiwa kushuka hadi asilimia 3.8 mwaka huu na kufikia asilimia 3.4 ifikapo mwaka 2027. Amesema hali hiyo inachangiwa na kupungua kwa mahitaji ya bidhaa pamoja na kushuka kwa bei...
Serikali ni kama imetoa greenlight kwa wafanyabiashara kupandisha bei ya bidhaa mbalimbali kuanzia wiki ijayo. Hata maduka kwa sasa order yoyote hawatoi, wanakuam subiri bei mpya kuanzia Jumatatu.
Watanzania tunalo chizi letu na tumeamua kuishi nalo, nahisi
Kiwango cha mfumuko wa bei nchini Tanzania kwa mwezi wa Agosti kiliongezeka, kikiwa kimesukumwa na kupanda kidogo kwa bei za vyakula na bidhaa zisizo za chakula, na kuakisi mabadiliko ya haraka ya bei kwa bidhaa muhimu katika masoko ya ndani.
Kiwango cha mfumuko wa bei cha jumla kiliongezeka...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) kwa mwaka 2024 umefikia asilimia 5.5, ukilinganishwa na asilimia 5.1 kwa mwaka 2023 na asilimia 5.4 kwa mwaka 2022.
Akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha mwaka 2025/26 Bungeni leo...
Sina mengi ya kusema ila kiukweli Utawala huu watu hawana furaha hawana amani, maisha magumu pesa na maisha mazuri viko kwa wachache na hakuna anaejali.
Mfumuko wa bei uko juu, usafi kwenye mitaa na barabarani, kwenye mitaro , harufu hovyo hovyo kwenye miji mingi nchi haina Serikali za mitaa...
Kadiri tunavyokabidhi nafsi zetu kwa Mungu, ndivyo tunavyojifungua kutoka kwa vifungo vya ubinafsi na kuanza kuona ulimwengu kwa macho ya huruma na upendo. Wakati roho zetu zinapojisalimisha kwa neema ya Mungu, mioyo yetu inajawa na uchungu wa kweli, uchungu unaotokana na kuona mateso na...
Pesa Ndiyo Chanzo cha Mema Yote!
Unadhani pesa ni chanzo cha uovu? SIVYO. Kutana na Pesa—kabla hajaharibiwa na tamaa na wivu. Aliwasaidia watu kubadilishana thamani kwa thamani, akichochea ustawi, fursa, na uhuru.
Pesa kwanza ni kipimo cha thamani kama vile mizani inapima uzito, rula inapima...
Baada ya kupita miji na majiji kadha hapa nchini kila nilipojaribu kununua vifaa vya ujenzi nimeshikwa na butwa kuona kalibu kila bidha bei imeongezeka kwa aslimia 30 hadi 50 kwa bei za awali.
Baada ya kuuliza wafanyabiashara wawili watatu nimeambiwa hali hiyo wanajua serikali. Sasa niombe...
utanguizi.
Mmomonyoko wa maadili si neno geni hata kwa sikio jipya. Ki falsafa mmomonyoko wa maadili ni ukiukwaji wa utamaduni mama uliokuwa sahihi ki msingi; ni kinyume na kila utaratibu wa utu.
Nachelea kusema, Mmomonyoko huu kuna namna tumekwisha kuuhalalisha kama jamii kwa kisingizio cha...
Tatizo la bei ya mafuta kupanda kila siku ukiliangalia kwa undani lina michezo mingi sana ambayo inachochewa na siasa na ukiritimba wa mifumo biashara iliyoko ndani ya koti la mgongano wa kimasilahi kati ya wafanya biashara na wanasiasa
Picha (chanzo ) google
Hapo nyuma wafanya...
Mambo matano ya kuyafanya
1. Kuweka mkazo katika sera zake za uendeshaji wa mashirika binafsi kuzalisha malighafi za viwandani kama alizeti, miwa pamoja na mazao ya chakula.
2. Kupunguza ushuru katika vifaa vya kilimo kama uagizaji wa trekta za kulimia ili kuweka usawa na watu binafsi waweze...
Katika hatua muhimu ya kukabiliana na shinikizo la mfumuko wa bei linalotokana na mwenendo wa uchumi duniani, Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) imetangaza ongezeko la Kiwango cha Riba ya Benki Kuu (CBR) kutoka asilimia 5.5 hadi asilimia 6.
Uamuzi huu, umefikiwa wakati wa kikao cha MPC...
Mwaka Mpya wa China umewakutanisha Wachina na kufanya tathmini juu ya mfumuko wa bei Tanzania.
Wachina wauza mashuka, mataulo, mapazia, chupa za maji, vyombo vya Udongo, maua, chupi, chupa za chai na vyandarua wamesema bei wanazouza sasa zinawapa hasara kubwa sababu dola imepanda thamani...
Tangu vikosi vya Israel viondoke kaskazini ya Gaza mamia kwa maelfu ya wananchi wamekuwa wakimiminiko kutoka walikojificha na wengine kurudi kutoka kusini na kujaza mitaa iliyojaa magofu na kifusi.
Shida kubwa waliyokutana nayo ni ukosefu wa chakula na kwa vile vichache vinavyopatikana masokoni...
Ndugu zangu,
Bidhaa ghafi kama sukari inakimbilia TZS 5,000+ halafu Waziri wa Kilimo anatuambia mashamba ya miwa yamejaa maji... ina maana mipango na mikakati ya serikali ni namna wanavyosurvive leo na hawana 10+ years plan.
Serikali haina akiba ya chakula ndiyo maana soon watakimbilia...
Utangulizi:
Wabobezi wengi wa uchumi Duniani wanakubaliana adui namba Moja kwenye Uchumi ni Inflation & Unemployment,hakuna uchumi wowote Duniani unaokoa bila kuzalisha ajira Kwa wananchi wake,
Tanzania ni nchi yenye watu Estd.63 Million sensa ya mwaka 2022 kati ya hao 70% wako chini ya Umri...
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba leo Bungeni Dodoma amewasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi wa Kitaifa kwa Mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa Mwaka 2023/2024 ambapo moja ya mambo aliyoyasema ni kwamba mfumuko wa bei nchini umeendelea kuwa ndani ya lengo la wigo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.