mfumuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali: Mfumuko wa Bei za Vyakula na Vinywaji bado ni Himilivu

    OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS), imetabiri kwamba mfumuko wa bei za bidhaa za vyakula na vinywaji baridi unatarajiwa kupungua kwa asilimia moja katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka huu. Pia imesema mfumuko wa bei kwa ujumla unahimilika kwa kuwa bado uko kwenye tarakimu moja. Mtakwimu...
  2. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Chuwa: Hali ya mfumuko wa bei ipo vizuri

    Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala ya Uchumi na Mfumuko wa Bei wa Taifa amesema hali ya mfumuko wa bei ipo vizuri na ni himilivu ukilinganisha na nchi zingine za Afrika Mashariki na zilizopo chini ya Jangwa la Sahara.
  3. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Katika historia Italy hawajawahi kukutana na mfumuko wa bei kama huu kutokana vikwazo vya Russia

    Inflation in Italy highest since 1984 Consumer price growth was led by soaring energy and food costs, official data shows © Getty Images / Karl Weatherly Italy’s domestic price index jumped 11.8% in October from a year earlier, the highest since March 1984, official statistics agency ISTAT...
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei ni utekelezaji wa ilani ya CCM?

    Shaka anazungumza kwa uwazi kwamba Mwenyekiti wa CCM Taifa ameifungua nchi. Anazunguka duniani kuipaisha Tanzania. Ziara za Rais zimetuzawadia deni la Taifa kufikia Trillion 71+ mpaka sasa. Shaka anataja mafanikio mengi yatokanayo na utekelezwaji wa ilani ya CCM. Sasa hivi bidhaa muhimu...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei nchini Marekani waathiri vibaya uchumi wa Afrika

    Ili kutatua changamoto ya mfumuko wa bei nchini Marekani, Benki Kuu ya nchi hiyo inayofahamika kama “Federal Reserve” imeongeza viwango vya riba mara sita tangu mwanzoni mwa mwaka huu, ambapo madhara yake kwa nje yameathiri vibaya uchumi wa nchi zinazoendelea hasa za Afrika, na gharama za maisha...
  6. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei EU umepanda sasa double digit

    Double-digit inflation hits another EU member Economists label surging prices in Denmark a “true nightmare for Danish wallets” Double-digit inflation hits another EU member Annual inflation in Denmark reached 11.1% in September, the Danish news agency Ritzaus Bureau reported on Monday, citing...
  7. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Raia wa nchi za NATO waanza kukerwa na mfumuko wa bei

    MWAMBA The demonstrations were sparked by what protesters called economic “disruption” and “energy and health restrictions” Mass protests against NATO and EU hit Paris streets (VIDEOS) FILE PHOTO: Protesters march behind a banner 'Resistance' in Paris, France, on September 3, 2022. © AFP /...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Mfumuko wa bei utashuka na bidhaa zitashuka. Asema mafuta yalipandisha bei

    Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba amesema tunakoelekea bidhaa zinaenda kushuka bei kwasababu zilipanda kuitikia kupanda kwa bei ya mafuta. Mwigulu amesema mafuta yamepungua kwa zaidi ya Tshs 400. Mwigulu anaamini kwa jitihada za Rais Samia kuweka bilioni 100 kila mwezi itazidi kupunguza bei ya...
  9. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Serikali yataja hatua nane kudhibiti mfumuko wa bei

    Serikali imetaja hatua nane zilizochukuliwa katika kudhibii mfumuko wa bei ili kuhakikisha unaendelea kubaki ndani ya wigo wa tarakimu moja. 1. Imeimarisha sekta za uzalishaji ili kuongeza upatikanaji wa bidhaa unaoendana na mahitaji. 2. Kutoa ruzuku kwa ajili ya kupunguza bei ya nishati ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali iharakishe matumizi ya gesi asilia kama nishati mbadala kwenye mafuta ili kupunguza mfumuko wa bei

    Ukweli ni kwamba, japo bei ya mafuta mwezi huu imetangwaza kushuka, bado wananchi hawataona tofauti ya maana katika bidhaa na wala hakuna uhakika kuwa huko mbeleni mafuta yataendelea kushuka kwani yanaweza kupanda pia. Hivyo, kwakuwa bei ya bidhaa na huduma kwa kiasi kikubwa inachangiwa na bei...
  11. Isaya J Elisha

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tozonia, unyongofu wa mfumuko wa bei na dira ya Tanzania

    DENI LA TAIFA NA UNYONGOFU WA MFUMUKO WA BEI Mikopo inatoa uwezo wa kununua baada ya ahadi ya kurejesha, ambapo deni linazaliwa. Uzuri wa deni au ubaya unaamuliwa kwa uzalishaji uliosimamiwa na mkopo huo pamoja na jinsi deni linavyo lipwa. Mfano: Kukopa fedha kwa ajili ya elimu ambayo...
  12. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tupunguze Mfumuko wa Bei kwa Kuwawezesha Wamachinga kuuza Nje ya Nchi

    Kwa mujibu wa “Wikipedia ya Wamachinga”, Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi; lugha yao ni Kimachinga. Kwa mujibu wa “Wikipedia” hii, kwa kipindi cha karne ya 20 na 21, Wamachinga wamekuwa maarufu katika miji mbalimbali kwa kuuza...
  13. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Hatua zilizochukuliwa na Serikali kudhibiti mfumuko wa bei nchini

    Tathmini zinaonyesha kwamba kuna uhimilivu mkubwa wa bei kwa bidhaa zinazozalishwa hapa nchini, huku hatua kadhaa zikichukuliwa na serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia Suluhu kupunguza athari zitokanazo na kupanda kwake kwa wananchi. Serikali ya awamu ya sita imefanya jitihada...
  14. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Taratiiiiibu Serikali zote za Afrika zitaondolewa madarakani na mfumuko wa bei

    Sierra Leone protest: Wetin dey happen for Sierra Leone? WIA DIS FOTO COME FROM,REUTERS At least two police officers and one civilian don die after one day of anti-government protests for Sierra Leone's capital, Freetown, staff at the city's main mortuary tell Reuters on Wednesday. Sierra...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe sababu kuu 3 za mfumuko wa Bei ili tuweze kuishauri Serikali

    Kwa sasa ni Nchi Nyingi sana kuna Mfumuko wa Bei, Lakini kufikiri kwamba sababu Marekani kuna Mfumuko wa bei basi na Tanzania lazima uwepo hayo ni Mawazo ya Walioshindwa . Hivyo ni Bora tujikumbushe sababu kuu 3 za mfumuko wa Bei ili kila mtu aweze kuishauri serikali kwa nafasi yake kama...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei ya mafuta utatuua

    Hakuna kipindi kigumu kama hiki, watu wanateseka ila wanaumia kimyakimya Bahati mbaya sana hata JF ya sasa lumumba wamejaa sana wanakazi moja tu kusifia na kucrash kashifa zote kwa chief. matokeo yake mijadala mizito na ya msingi haijadiliwi wapinzani ndo hao wameshalamba sukari. Ya ndugai...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani gharama za maisha kupanda na mfumuko wa bei ulivyo guess taratibu zako za maisha?

    Ndani ya miezi 12 tumeona mifumuko ya bei kuanzia bei ya mkate, unga, nyama hata nauli ya basi. Wengine wameamua kurudi kijijini kwa ugumu wa maisha na wengine wamehamia kwa ndugu kupunguza makali ya kodi ya nyumba. Ukweli halisi matabaka yote ya watu yanahitajika mjini ili maisha yaende leo...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Dola ya Marekani kutumika rasmi nchini Zimbabwe baada ya mfumuko wa bei kuwa mkubwa

    Serikali ya Zimbabwe imetangaza mipango wa kutumia Dola ya Marekani kuwa fedha rasmi itakayotumika nchini humo kwa kipindi cha takriban miaka mitano ijayo, kutokana na mfumuko wa bei kupanda kwa kasi. Waziri wa Fedha wa Zimbabwe, Nthuli Ncube ametoa tangazo hilo baada ya mfumuko wa bei kufikia...
  19. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Hajui mfumuko wa bei bidhaa mbalimbali hadi Rim paper (47000-120000)?

    Hii nchi uzuzu umefika pabaya sana, serikali imeacha mambo ya msingi yaharibike. Inahangaika na punguzo la bei za petrol inajisahau bei za bidhaa na huduma zingine ambazo baadhi mfumuko wake wa bei ni wa umakusudi kbsa kutumia fursa ya utopolo wa watendaji na viongozi. Badala ya serikali kuunda...
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei Nchini Zimbabwe wafikia kiwango cha zaidi ya 130%

    Kiwango cha mfumuko wa bei Nchini Zimbabwe kimeongezeka hadi asilimia 131.7 hadi kufikia Mei, 2022, ikielezwa kuwa athari za vita vya Ukraine zimechangia kuathiri zaidi uchumi ambao tayari ulikuwa umeathirika. Mfumo ulifika asilimia 100 tangu Juni 2021 mbapo mafuta ya kupikia na mikate bei...
Back
Top Bottom