mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Safari ya Demokrasia Nchini Tanzania toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza hadi leo

    Mwaka 1992 uliandikwa kama mwaka wa mabadiliko makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Baada ya miaka mingi ya mfumo wa chama kimoja uliotawaliwa na TANU kisha CCM, shinikizo la kisiasa na kiuchumi lilianza kujenga msukumo mpya. Wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waandishi wa...
  2. Wizara ya Maji: Mfumo wa Maji uwe wa "Water Pipeline Grid" ya Taifa

    Habari Tanzania ! Wizara ya Maji mnaonaje pawepo na "Water Pipeline" nchi zima kwaajili ya Uunganishaji wa maji kwenye Mikoa yote. Watu waburudike wafurahie nchi yao. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi muungane kimajukumu na Wizara ya Maji; maana maji mengi yanapotea sehemu zenye Barabara na...
  3. Msimbo wa Tarehe 29/10: Lengo, Kizingiti, na Mfumo wa Nne

    Ndugu zangu wana-Jukwaa, Kadiri kalenda inavyoelekea kwenye Tarehe 29.10, tunajiuliza: Je, "Jibu" litatokea kama tunavyotarajia? Kuna ishara kwamba kadi ya kwanza huenda ikashinda safari hii na kuingia kwenye chumba cha Mfalme. Tuseme kwa lugha ya hesabu, A atapata jibu linalohitajika kwenye...
  4. K

    Wanaofurahia mfumo wa sasa Tanzania ni wajinga

    Wanao furahia mfumo wa sasa Tanzania ni wajinga. Mfumo ambao haufuati sheria yeyote hata kama zipo ni mfumo wa ajabu sana. Kesho akija Rais mwingine anaweza kuamua kutaifisha chochote kwa yeyeote. Cha kushangaza kuna watu wanafumbia macho utekaji, kubambikiziwa kesi sasa miaka mitano tu...
  5. Tukienda mbele tukirudi nyuma, Iphone(ios) mfumo wao waliusuka ukasukika!

    Wakuu nimekuwa mtumiaji wa hii mifumo miwili inayobeba devices nyingi duniani kwa maana ya Ios na Android kwa muda mrefu sasa! Nilichokuja kugundua hawa jamaa wa ios walitumia akili nyingi sana na ndo maana mpaka leo wameendelea kuwa relevant! Ukija upande wa pili yaani Android ni kwamba...
  6. BOT, Wadau Kimataifa waipongeza Benki ya CRDB Mageuzi ya Mfumo Mkuu

    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa mageuzi ya mfumo mkuu wa benki hiyo, hatua ya kimkakati inayolenga kuboresha huduma, kuimarisha usalama...
  7. Uuzaji wa viwanja kwa mfumo wa TAUSI ni kama kuna michezo hivi

    Mfumo wa TAUSI ambao unanunua viwanja moja kwa moja serikalini una uzuri na ubaya wake. Ni mara ya pili sasa najaribu kununua viwanja ambavyo vimeandikwa viko manispaa ya Kinondoni na navikosa. Mara ya kwanza ilikuwa mwezi wa tano kama sio wa nne mwaka huu ambako vilitangazwa viwanja Mabwepande...
  8. B

    Ununuzi wa viwanja kutumia mfumo wa Tausi

    Naomba kuuliza wanaJF, Hivi unaweza kununua viwanja kwenye mfumo wa Tausi na kikawa na migogoro?
  9. T

    Mfumo wa Udahili wa Mwaka 2025/26 Umekuwa Kandamizi: TCU Acheni Watu Waamue Wanaenda Wapi

    Mfumo wa udahili wa mwaka 2025/26 na majibu yaliyotangazwa jana umekuwa kandamizi na unaumiza wanafunzi pamoja na wazazi. Wanafunzi wanapochaguliwa mara mbili au zaidi, wakijaribu kufanya confirmation kwenye chuo na programu wanayoitamani, wanapokea ujumbe “program imejaa”. Hii inakuwa kama...
  10. M

    I wonder if you actually think they will hesitate to do it ? Tundu Lissu atanyongwa !

    Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea. tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !! Tunaingia stage mpya...
  11. Ufahamu mfumo wa Kidigitali AcademiazSoft

    Unatafuta mfumo bora wa kidigitali wa kusimamia shule yako? AcademiazSoft ni jibu sahihi kwa shule za kisasa zinazotaka uwazi, ufanisi na taarifa sahihi kwa wakati. Tunatoa: ✅ Usimamizi wa wanafunzi (registration, attendance, discipline) ✅ Taarifa za kitaaluma – Matokeo, Report Cards...
  12. SI KWELI Wanaume pia hupata mzunguko wa hedhi kama wanawake

    Kuna tafiti za hivi karibuni zimethibitisha kwamba hata wanaume hupata hedhi, ingawa wanaume hawana alama za nje za kuwaonesha kwamba wako kwenye hedhi, kama walivyo wanawake ambao hutoka damu siku zao za hedhi zinapofika na kukamilika. Dalili za mwanaume aliye kwenye hedhi ziko akilini...
  13. KERO Mfumo wa kulipia maji Iringa uwe automatic Mtu ukilipa tu maji yaanze kutoka

    Mimi ni Mwananchi kutoka Iringa, kero yangu kubwa ni kwa IRUWA (Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Iringa (IRUWASA) kuna wakati tunanunua maji token hazirudi siku moja mpaka mbili. Hii ni kero kubwa sana kwangu na kwa wengine, nashauri mfumo wa kulipia maji uwe automatic mtu...
  14. Nokia ilikufa kwa huu mfumo wenu CCM

    Kuweka kampuni nyingi ila tunaweka DMZ ili kutosumbua wapuuzi wa CCM wenye cable zao hapa JF. Hivi nyie mnaosifu mama zenu mnajua soko la madini mfano Dhahabu kwa nini inapanda bei au uchumi wenu basi rudini kwenye forex mnayosema Betty kutoka benk kuu
  15. Mfumo (software) Kusomana na NMB account

    Wakuu na wadau wa jukwaa hili la Tech habari ya majukumu? Kama mdau mwenzenu kwenye upande huu nimekuja kuomba kusaidiwa namna naweza pata mwongozo. Nimekutana na challenge ambayo katika software wateja wangu wanatumia, kunahitajika namna ya kuweza kuona malipo yanayofanyika kwenye account moja...
  16. Nani katudanganya lazima nchi iongozwe na wanasiasa kwa mfumo wa vyama au wafalme au ma-chief?

    Kwa hasira sana natafakari ni kwanini tume block uwezo wetu wa kufikiri. Kwanini tuna kariri ni lazima tuwe na ma-vyama ya kichawa- chawa na wanasiasa- waongo waongo ndiyo watuongozee nchi yetu Sehemu nyingine wanakua na familia fulani inawatawala bila ukomo, ata kama hao watu ni ma-kenge au...
  17. Wanaku-Delude Kuwa Umeelimika, Ila Wewe Ni Robot Lao Tu, Maana Nje Ya Mfumo Wao Vyeti Vyao Vya Degree Ni Vifungashio.

    Katika jamii ya leo, elimu imekuwa kama kipimo cha thamani ya mwanadamu. Certificate, Diploma na Degree vimechukua nafasi ya heshima, ajira na hadaa kubwa ya kijamii. Hata hivyo, ukweli ni kwamba hiyo ni chicanery tu, unaambiwa na unajiona umeelimika kwa sababu umepokea uthibitisho wa...
  18. J

    KERO Tatizo kwenye mfumo wa NACTVET kuomba AVN

    "Habari, Kuna changamoto kwenye mfumo wa wa Nactvet kwa watu wanaaomba AVN. Waombaji wanakutana na errors nyingi. Namba zote za simu zilizowekwa kwaajili ya mawasiliano na ofisi ya NACTVET hazipokelewi ukipigiga, na nyingi kati ya hizo hazipatikani, nyingine hazipo kabisa. Madirisha ya maombi...
  19. Mfumo wa magari ya umeme (Electric Vehicle System).

    Magari ya umeme (EV – Electric Vehicles) ni magari yanayotumia umeme badala ya mafuta (petrol/diesel). Badala ya injini ya mwako wa ndani (internal combustion engine), yanatumia electric motor na betri kubwa kuhifadhi nishati. Vipengele Vikuu vya Mfumo wa Gari la Umeme 1. Battery Pack Hii...
  20. GE2025 INEC: Mfumo wa TEHAMA wa INEC umeunganishwa (Interphase) na Mfumo wa NIDA ili kuboresha utendaji

    Mwezi March 2025 wakati wa mkutano wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Wadau, Mkurugenzi wa TEHAMA-INEC (Stanslaus Mwita) alinukuliwa akisema " Tumefanya maboresho kwa kufanya maunganisho ya kimfumo kati ya mfumo wa kupiga kura wa INEC na Mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)."
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…