Kumekuwa na taarifa zikiripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari ya kwamba mfuko wa bima ya afya kukumbwa na changamoto mbalimbali za ukwasi, na hii inadhihirishwa na NHIF wenyewe walivyokuja na mwongozo kwa wanufaika wa idadi ya siku za kwenda kupata matibabu kwa mwezi na baada ya siku chache...