Mfumo wa GePG Tanzania umefungwa au umekufa?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
16,367
Reaction score
26,872
Kwa yanayoendelea Tanzania, ninahisi kuna hujuma inafanyika ili kuisababishia Serikali hasara na Wizi uendelee.

Mwenye uelewa kuhusu Mfumo wa GePG Tanzania kama unafanya kazi na kama unapatikana tafadhali
 
Kwa nini usimuize Greyson Msigwa?
3C15E5A7-284D-4701-90FB-77CDEF4EDC27.jpeg
 
This site can’t be reached

portal.madini.go.tz is currently unreachable.
ERR_CONNECTION_FAILED
 
Kwa yanayoendelea Tanzania, ninahisi kuna hujuma inafanyika Ili kuisababishia Serikali hasara na Wizi uendelee.

Mwenye uelewa kuhusu Mfumo wa GePG Tanzania kama unafanya kazi na kama unapatikana tafadhali
Lengo ni kumchafua mama au? Mbona uko poa tu?
 
Duuuh [emoji849][emoji849][emoji1787][emoji1787]

Uko dunia hiihii ama sayari ya Mercury?!!!

Gateway Electronics Payment ipo barabara [emoji123]

#SiempreJMT[emoji120]
 
Kwa yanayoendelea Tanzania, ninahisi kuna hujuma inafanyika Ili kuisababishia Serikali hasara na Wizi uendelee.

Mwenye uelewa kuhusu Mfumo wa GePG Tanzania kama unafanya kazi na kama unapatikana tafadhali
Mfumo wa ovyo, yaan hata kulipa bill za serikali pia mtu unakatwa tozo hii nchi wabunge na wanasiasa wote walaaniwe
 
Uko Tz au Kenya kwa wakola? Haya bwana.
 
Kwa yanayoendelea Tanzania, ninahisi kuna hujuma inafanyika Ili kuisababishia Serikali hasara na Wizi uendelee.

Mwenye uelewa kuhusu Mfumo wa GePG Tanzania kama unafanya kazi na kama unapatikana tafadhali
tatizo hiya Gepg imewanyima watu wengi ulaji sana sisi ngozi nyeusi ni shida kama mfumo kama huo unahujimiwa halafu kuna raisi waziri wa fedha je kuna nchi tena hapo
 
Mfumo wa ovyo, yaan hata kulipa bill za serikali pia mtu unakatwa tozo hii nchi wabunge na wanasiasa wote walaaniwe
Haa labda hawatak kodi ya yako mkuu wew ndo unajipendekeza kwao uanwekewe tuzo kama kizingiti na badol unalipa jamani
 
Kwa yanayoendelea Tanzania, ninahisi kuna hujuma inafanyika Ili kuisababishia Serikali hasara na Wizi uendelee.

Mwenye uelewa kuhusu Mfumo wa GePG Tanzania kama unafanya kazi na kama unapatikana tafadhali
Ulikuwa unataka kulipa nini ukashindwa?

GePG ni gateway...payment gateway. GePG inaunganisha mifumo mingi ya Wizara na taasisi na ile ya kifedha (bank na simu).

Hivyo mfumo wa taasisi unaweza kuwa ndio unashida. Ila GePG iko imara na inalindwa 24/7.
 
Mfumo uharibiwe tu hela ikifika hazina inaliwa na watu wachache
 
Back
Top Bottom