mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jinsi mfumo wa utawala uliopo hivi sasa na udhaifu wa bunge ni wazi mtoto wa raisi anaweza kuchukua nafasi ya raisi kwa muda na kufanya maamuzi msijue

    Kwa jinsi siasa za sasa zilivyo kuna uwezakano mkubwa kuwa mtoto wa raisi anaweza kusimama kama raisi na kufanya maamuzi na ku-control kila kitu kama yeye ndie raisi na msijue na hata asichukuliwe hatua za kisheria. Hii inaweza kutokana na sababu nyingi sana kama vile uwepo wa rushwa, mahakama...
  2. K

    PreGE2025 Ili kudhibiti uhalifu, uanzishwe mfumo wa National Recognition System wenye kutunza DNA na fingerprint za watu wote

    Kwako Rais wa JMT, Waziri wa mambo ya ndani, Baada ya kutafakari kwa kina kama mtanzania ni kitu gani kifanyike ili kudhibiti uhalifu katika maeneo mbalimbali, Nashauri serikali iunde chombo mahususi chini ya wizara ya mambo ya ndani kitakachokuwa kinatumia mfumo wa NATIONAL RECOGNITION SYSTEM...
  3. Tour Guide Feki, Leseni Feki – Mfumo Mnaulinda Weh, Lakini Sisi Tutaumbua Mpaka Mwisho

    Jamani hebu tuwe real kidogo... tusiwe wanafiki walahi! Hii sekta ya utalii na utamaduni imeingiliwa na watu wa ajabu ajabu, yaani watu wa mtaani wanavua magwanda ya boda boda, kesho unamkuta anakwambia “Hey I’m your professional guide, welcome to Tanzania” – kumbe jamaa hata hajui tofauti ya...
  4. Kefa Kayombo, refa mbovu anayebebwa na mfumo.

    Mechi ya Namungo Vs Dodoma Jiji ilipaswa kuwa ya mwisho huyu binadamu kuchezesha. Amechezesha zaidi ya Mechi 7 Kwa kiwango kibovu lakini bado Mamlaka zinamfumbia macho. Coastal, KMC, Tabora Utd, Fountain Gate, Mashujaa, JKT na Pamba ni wahanga WA maamuzi mabovu ya Kayombo, lakini bado YUPO!
  5. Jesca Magufuli ni mtu ambaye analazimisha Mfumo umbembe wakati hana uwezo wa kiuongozi, CCM stay alert!

    To be honest Jesca Magufuli, she is not smart and visionary. Hakuna kitu kibaya Kama hawa watoto wa viongozi kuamini kuwa they deserves kuwa viongozi wao tu. Wananchi wa Chato mpigeni chini huyo Jesca Magufuli. Mirrad ayo unatumika vibaya.
  6. PreGE2025 Ismail Jussa Ladhu: Kuna haja ya kutazamwa upya mfumo wa Muungano ili kuleta usawa, Zanzibar haikuridhia Muungano

    Makamu Mwenyekiti Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu amesema Zanzibar wakati inaungana na Tanganyika mwanasheria mkuu wa Wakati huo hakushirikishwa na alipelekwa likizo ya lazima. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu amesema kuna haja ya...
  7. Mahakama yetu iweke mfumo mzuri wa Tele court, hearing katika kesi ya lissu

    Hii itasaidia watu wengi kufuatilia shauri hili na mpaka hatima yake, wengi hatuna muda wa kupoteza kuja kulisikiliza kisutu hivyo ingependeza Huku tukiendelea na shughuli zetu taratibu tunapata mwendelezo kwa kupitia sumatifoni zetu. -Lissu ajipange na Wana sheria wake 30, -Serekali ijipange na...
  8. D

    Mfumo wa FA ubadilike. Timu za ligi kuu zicheze wenyewe kwa wenyewe

    Timu za ligi kuu zicheze zenyewe kwa zenyewe mpaka pale itakapobaki timu moja ambayo itaenda kukutana fainali na ile moja ya ligi Daraja la chini ambayo pia imeingia fainali baada ya kucheza na wenzake wa level moja. Au basi kila level itoe timu mbili kwa ajili ya nusu fainali, then hao vibonde...
  9. Kero TCRA mfumo SMS za lazima ambazo zinataka ukubari au kukataa huduma

    Kuna shida za SMS ambazo zinakuja kuchagua huduma zozote ambazo sio hitaji lako. Kwa wasio waelewa wanaweza kujikuta wanaingia makubariano bila kujua na ili bado TCRA imekaa kimya.
  10. Ni muhimu sana Watanzania waelewe kuwa: MADARAKA HAYANA KINGA YA MILELE, NA MADHARA YA MFUMO MBOVU HUMRUDIA KILA MMOJA — HATA HAO 'CHAWA' WANAUTETEA.

    UJINGA UNAOPEWA JINA: PROPAGANDA YA KISIASA MTANDAONI Katika zama hizi za kidijitali, mitandao ya kijamii imegeuzwa kuwa uwanja wa vita vya fikra. Lakini vita hivi si vya kuikomboa nchi bali vya kuilinda dhulma na kuzuia hoja za msingi kwa kutumia matusi, kejeli, na uongo. Kila siku...
  11. Tanzania hakuna ukabila ila kuna udini ndani ya mfumo wa utawala

    Udini ndio unabeba viongozi ambao mpaka sasa unaona wengine wanakaa kimya na wengine upaza sauti. Kwa mtindo huu kunasiku wananchi watachagua mtu ambaye ni buza maana kila wanaoletwa watawala wamekuwa washenzi.
  12. M

    Stellenbosch imeingia kwenye mfumo, hii tumevuka pia

    Nimechungulia kila kibuyu, nimeenda kwa wenzangu wanaojua kuangalia kama mimi, Leo kama unataka ckukuu iwe njema wekea simba tu kwenye betting, kipigo kitakatifu atakula mwafrika kusini. Iwe mvua iwe Jua ni mauaji tu hapa Zanzibar Leo.Dalili zote za maangamizi zimeonekana yaani ni kama
  13. Mafunzo Ya Kutumia Mfumo Wa Nest Na Kuomba Tender

    Hiini kwa wale wote wenye Biashara au kampuni na wanashindwa Kutumia Mfumo wa Nest Mafunzo Ya Kutumia Mfumo Wa Nest Na Kuomba Tender 👉 Wasiliana Nasi 0764 148 221
  14. Tupongeze au tulaumu Mfumo wa kibepari?

    Nachokijua tajiri atabakia kuwa katika standard hiyo hiyo jwa sababu ameshika mfumo wa mzima wa Fedha au biashara. Kwa sasa vijana wengi tunabet na kuna idadi kubwa imejisajili kwenye mfumo huu kama mawakala na wengine dealer wa Mfumo wa kubet ila Code itabakia ni moja muanzilishi wa mfumo ni...
  15. M

    Tanzania irudi kwenye mfumo wa chama kimoja ili kukomesha ukoloni mamboleo

    Nilikuwa kwenye pitapita zangu YouTube nikakutana na video hii https://www.youtube.com/watch?v=8blC9qfUya8&t=222s Kwenye hii video utajifunza kuwa taifa le kigeni tena siyo taifa jirani bali taifa ambalo liko mbali kabisa na nchi yetu limeamua kuingilia siasa za ndani ya taifa letu bila aibu...
  16. Je, jeshi linalolinda mfumo usio wa haki bado ni la wananchi? (mtazamo kutoka Afrika Mashariki hadi Sahel)

    Katika siasa za Afrika, kuna tofauti kubwa kati ya majeshi ya baadhi ya nchi. Wengine hujiona kama watumishi wa dola, wengine kama watumishi wa watawala, na wachache kama wakombozi wa kweli. Nimekuwa nikifuatilia mifano mbalimbali, na hii ndiyo taswira niliyoona: 1. Madikteta wengi huweka watu...
  17. Mfumo wa sumu wa Cobra

    King cobra (Ophiophagus hannah) ana moja ya mifumo ya sumu ya kuvutia na yenye nguvu katika ulimwengu wa nyoka. Akiwa ndiye nyoka mrefu zaidi mwenye sumu duniani—anayefikia hadi futi 18—anachanganya nguvu, usahihi na utata wa kibaiolojia katika utoaji wake wa sumu. 1. Muundo wa Sumu King cobra...
  18. Somo kwa vijana: Hatukuhitaji ubwatukaji barabarani kurejesha mfumo wa vyama vingi bali utashi na utulivu wa kisiasa

    Kwenye miaka ya 90s Chama cha Mapinduzi na Serikali kiliridhia kwa utulivu uanzishaji au urejeshaji wa mfumo wa vyama vingi. Hii ni baada ya mchakato wa kupata maoni ya watanzania japo wengi wao hawakutaka kuwepo kwa mfumo huu wa sasa. Hivyo wala hatuhitaji ajitokeze mwanasiasa aliyeshiba bia...
  19. R

    Katika mwaka ambao mwamko wa kwenda kupiga kura utakuwa mdogo kuliko miaka yote ya uchaguzi ni huu, Ni bora turudi tu kwenye mfumo wa chama kimoja

    Ni bora turudi tu kwenye mfumo wa chama kimoja hizi purukushani za interview wakati ajira zishapangwa ni kupoteza muda na kodi za wananchi
  20. Instagram inaweka mfumo wa kuficha post za watu kwa kutumia Neno la Siri

    💭 Hivi utajisikiaje pale ambapo mpaka ukawa na Neno la Siri ndo utaweza kufungua post za watu kwenye mtandao wa Instagram?? 🥂 Instagram Iko kwenye majaribio ya kuweza kuachia mfumo mpya wa watu kuweza kuficha post zao kwa kutumia Neno la Siri. 💭 Mtumiaji atapaswa kufungua post za watu kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…