members

A member of parliament (MP) is the representative of the people who live in their constituency. In many countries with bicameral parliaments, this category includes specifically members of the lower house, as upper houses often have a different title. Member of Congress is an equivalent term in other jurisdictions.
Members of parliament seem to tend to form parliamentary groups (also called parliamentary parties) with members of the same political party.

View More On Wikipedia.org
  1. Hellow dear Members

    Habari timu ya wana jamii forums? Nafuraha kujumuika pamoja katika jukwaa hili huru.
  2. Naomba list ya App ambazo zinamilikiwa na members wa jukwaa hili

    Kila siku tumekuwa tunajadili App zenye majina makubwa makubwa Leo nimekuja naomba list ya App ambazo zinamilikiwa na member wa jukwaa hili pengine zitatufaa zaidi kwa mahitaji yetu kuliko hizi ambazo zimekuwa popular Nawakaribisha
  3. C

    Taja members ambao hujawaona tena hapa JamiiForums tangu Simba SC ifungwe na Yanga SC ili tuwatafute popote walipo wasije wakawa labda walishajinyonga

    naanza na huyu rodrick alexander yupo wapi?
  4. PreGE2025 Senior DP Members USA wamethubutu Kukataa Biden asigombee kwa kuona hana Uwezo, je, CCM wanaweza kufanya hivyo 2025?

    Senior DP Members USA wamethubutu Kukataa Biden asigombee kwa kuona hana Uwezo, je, na Senior MCC Members in AZT nao wataweza Kumkataa Mtu 2025? Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024 Kwani wengi wao ukikutana nao Wanamkataa Mtu Fudenge kabisa ila mbele ya Mic...
  5. B

    Nawakubali sana hawa members wa jf, Mzee wa kupambania, Natafuta ajira, Extrovert, Equation x, mzabzab, DeepPond, Robert mtibeli, Analyse na Umughaka

    Shout out to you brothers, wengine kati yenu mna vipaji vya kuelezea story k.v Eric shigongo, wengine mnatoa post zenye falsafa iliyo timamu, wengine kati yenu huwa nikisomaga comments au post zenu mara nyingi huwaga nacheka kabla ya kujibu, wengine majina yenu ya humu yanachekesha, mara...
  6. C

    Viongozi wa kisabato wa sasa ninyi ni kikwazo kwa watu kushika Sabato ya Bwana

    Moja ya Amri za Mungu katika kitabu cha kutoka 20 ni kuikumbuka siku ya Sabato na kuitakasa. Na hakuna ubishi kuwa siku ya saba ndiyo siku ya Sabato. Pia hakuna ubishi kuwa siku ya saba ya juma ni jumamosi. Labda kwa waswahili tu ambao wengi ni wavivu wa kusoma na kufikiri. Hata hivyo...
  7. Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

    Achila mbali IDs au avatar yake... Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain fulani hivi wanaovutia na kujielewa, lakini pia ni magentlemen flani hivi watanashati kweli kweli...
  8. Hundreds of members of the Indian diaspora and volunteers of the Overseas Friends of the BJP (OFBJP)-USA orchestrated a vibrant “Modi Ka Pariv"

    FBJP volunteers, led by Adapa Prasad, President of OFBJP-USA gathered at the iconic Times Square in New York City on Sunday. On this bright sunny day, hundreds of supporters of Prime Minister Narendra Modi gathered here to demonstrate their solidarity, affirming their relationship with the...
  9. M

    Thanks JamiiForums members!

    Habari zenu jamii forum members, aisee nilikuwa nikifuatilia jamii forum Kwa muda mrefu tangia mwaka 2012 , yaani miaka 12 iliyopita, japo am new member here. NIMEJIFUNZA MAMBO MENGI. Na nimeona wasomi wa humu au labda, wakishua au watu wakawaida tu, wako fair katika kutoa mawazo, na michango...
  10. C

    Taja Members wa JamiiForums ambao unadhani kwa ushindi mnono wa yanga fc wameumia na wanaweza wasionekane kwa muda hapa

    Naanza na SAGAI GALGANO na mwingine ni maarufu ila nimemsahau jina na leo kabla ya mechi alitutia mno joto wana Yanga SC hapa jamiiforums kwa threads zake za mikwara mbuzi. Hii ndiyo Yanga SC bwana na bado.
  11. Robert Heriel na Donatila hawa members mnaonaje wakawa couple bora?

    Salaamu wana MMU... Binafsi napendekeza hawa members wawe couples kwa mwaka 2024 kama walivo wale wengine (siwataji mnawajua)......hii ni kutokana na uandishi na style yao ya uandishi.. Usisahau kutaja members unaona bado wana matching kuwa pamoja kutokana na miandiko yao kulandana ideas na...
  12. Ungependa kukutana na hawa JF members?

    Yupi kati yao hasa ungependa kukutana nae? Ungepata nafasi ya kukutana nae ungemwambia nini kuhusu mtandao huu? Nini kiboreshwe zaidi? Nini kipunguzwe? ====
  13. Niwatakie Mwaka Mpya Members wote hapa JF

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Napenda kutoa shukurani za dhati kwa mkurugenzi wa JF Ndugu Maxence Melo kwa mwaka huu wa 2023 ambao tumeumaliza salama!,Kiukweli nimeanza na Mkurugenzi kwasababu kwa Mwaka huu wa 2023 huyu jamaa kwangu ndiye mtu bora kwangu,kitendo cha kuanzisha...
  14. Special Thread: Happy New Year 2024, Wishes to JF Members

    Dear JamiiForums Members, As we embrace the dawn of 2024, may your paths be adorned with joy, prosperity, and boundless possibilities. Let the New Year be a canvas of fresh opportunities, where your aspirations paint vibrant hues of success and fulfillment. May the threads of connection...
  15. Mwaka 2024 natangaza rasmi vita kali na members wa wanafiki kwa Rais Samia

    Mwaka 2024 naingia rasimi na maadui wa serikali ya Tanzania akiwemo Choice variable, Lucas mwashambwa na wengine wanaompamba Samia kinafiki huku wakijua kuwa Hali ya kisiasa kwa Samia ni ngumu mitaani kuwahi kutokea katika siasa za Tanzania Hawa jamaaa wanasifia ujinga ujinga na unafiki mtupu...
  16. Uwepo wa ID ya Tanesco hapa JF hauna faida yoyote kwa members, bora isiwepo tu

    Tulidhani ujio wa verified USER ID ya TANESCO italeta neema kwetu, kumbe ni bora isingeanzishwa. Tulijua TANESCO wangekuwa wakitujulisha mambo mbalimbali ili tujiandae lakini wapi. Leo tumeshindwa kununua umeme wa Luku, TANESCO wako kimya, wangeweza kabisa kutujulisha mapema kwamba tununue...
  17. Yericko Nyerere ashinda Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Afrika

    Tuzo hizo zilizoandaliwa na Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye makao makuu nchini Zambia zimefanyika usiku wa kuamkia leo Jumapili, Novemba 19, 2023 nchini humo. Mara baada ya kutangazwa mshindi kwa kuwashinda washindani wenzake nane kutoka Botswana, Uganda, Zambia na Zimbabwe...
  18. Tangu Simba ipigwe 5G kuna members wamekimbia jukwaani. Hebu tuwataje ili watoke huko waliko

    GENTAMYCINE hebu jitokeze Huwezi jifungia ndani siku zote hizo na simu umezima. Toka nje ukafanye maisha, kuna maisha baada ya dakika 90.
  19. Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

    Kwema wakuu! TUlipokuwa tunasoma, tulisoma kina Karl Marx, Wakina Charles Darwin, Kina Pilato, Aristotle na wengineo. Leo hapa JF kuna Watu na Falsafa zao, mitazamo, na nadharia zao. Humu ndani kuna member ambao ni waasisi na ma-father wa Ligi Fulani Fulani. Yaani wao mawazo Yao Kwa sehemu...
  20. Media stakeholders meet with Members of the Zanzibar Law Reform Commission

    Director of the Tanzania Media Association (TAMWA ZNZ), Dr. Mzuri Issa said it is important to adopt friendly media laws in Zanzibar that lead to the existence of freedom of expression and access to information in the society. She said that in meeting is during a meeting held at Takwimu House...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…