Kufuatia Kifo cha Bernard Membe, Je, nini Kitatokea kwa Cyprian Musiba?

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,032
Habari kubwa leo ni kifo cha aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mhe.Bernard Kamilius Membe, ambaye amefariki dunia katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.

Swali linalogonga vichwa vya watu wengi ni je nini kitatokea kwa ndugu Cyprian Musiba anayejitambulisha kama mwanaharakati huru ambaye Mahakama ilimuamuru kulipa fidia ya takriban Shilingi Bilioni 18.58 kwa ndugu Membe ambaye sasa ni Marehemu.

Wataalamu tupeane elimu hapa
 
Hukumu ilishatoka alipwe kuna warithi wake hawajafa
 
Habari kubwa leo ni kifo cha aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mhe.Bernard Kamilius Membe, ambaye amefariki dunia katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.

Swali linalogonga vichwa vya watu wengi ni je nini kitatokea kwa ndugu Cyprian Musiba anayejitambulisha kama mwanaharakati huru ambaye Mahakama ilimuamuru kulipa fidia ya takriban Shilingi Bilioni 18.58 kwa ndugu Membe ambaye sasa ni Marehemu.

Wataalamu tupeane elimu hapa
kifo hakifuti deni. ni mdaiwa lazima amlipe. tena sasa ndiyo itamuwea vigumu maana msimamizi wa mirathi na mahakama vitampa deadline ili mali za marehemu zigawanywe kwa warithi
 
Habari kubwa leo ni kifo cha aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mhe.Bernard Kamilius Membe, ambaye amefariki dunia katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.

Swali linalogonga vichwa vya watu wengi ni je nini kitatokea kwa ndugu Cyprian Musiba anayejitambulisha kama mwanaharakati huru ambaye Mahakama ilimuamuru kulipa fidia ya takriban Shilingi Bilioni 18.58 kwa ndugu Membe ambaye sasa ni Marehemu.

Wataalamu tupeane elimu hapa
Nani anataka kufa ghafula Tena, lazima waufyate mkia
 
Familia itaendelea marehemu alipoishia...wanasheria wataendelea kusimamia hadi hukumu yote itakelezwe ..hakuna unafuu wowote kwa musiba..ni suala la muda tu .Tena hao ndugu ndio watazidisha kudai maana watakuwa na uchungu na uchu wa kupata hizo pesa..
 
Back
Top Bottom