meli

Meli is an Italian surname and a given name. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Mjomba Fujo

    JamiiForums Tanzania Msaada anaejua Kampuni inayosafirisha mizigo kwa meli kutoka UK

    Habarini wakuu wa jukwaa. Naomba kufahamu yeyote anaejua kampuni ya uhakika wanao safirisha loose cargo kutoka UK. Kuna Machine nataka ninunue zije kwa maji, kuzipandisha ndege kwa uzito wake gharama ya usafiri ni bei ya kiwanja. Pia Mashine nyingi zimejaa madukani, wafanyabiashara wanaleta...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Serikali: Bei ya mafuta ya kula imepanda kwenye soko la dunia kutoka US dollar 500 hadi 1000 ndio sababu bei haijashuka

    Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za Kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia. Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Karanja: Jina la Meli Maarufu kwa Mabaharia wa Dar es Salaam miaka ya 1970

    Leo asubuhi nimepata picha ya meli iliyokuwa ikijulikana kama ''Karanja,'' Meli hii ina historia ya pekee kwa vijana wengi wa Dar es Salaam ambao walikuwa wanawania kwenda Ugiriki kutafuta kazi za Ubaharia. Hii meli Ally Sykes aliipanda mwaka wa 1952 akiwa na miaka 26 yeye mkewe kwenda...
  4. Molleli

    JamiiForums Tanzania Hivi pantoni ni Meli au si meli?

    Kwa wanaojua ningependa kufafanuliwa kuhusu hii Mada maana tumebishana Sana na Wana mbeya wenzangu ambao hata pantoni hatujawahi kupanda🤣🤣 kwa upande wangu niliwajibu kuwa pantoni ni Meli basi kila mtu akawa anasema lake..... Ufafanuzi kwa wanaofahamu pantoni ni nini jamani nipate...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar aagiza Meli zote za Serikali ziuzwe kwa vile hazileti faida

    Hussein Mwinyi ambaye ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ameagiza meli zote zinazomilikiwa na serikali hiyo ziuzwe kwa vile zinaleta hasara , ameagiza ziuzwe ili WAANZE UPYA . Cha kushangaza sasa ! serikali ya Muungano yenyewe inaendelea kununua ndege huku zikileta mabilioni ya...
  6. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Dar: Meli yenye magari 3,743 yawasili bandarini ikitokea Japan

    Bandari ya Dar es Salaam imeendelea kuzivutia kampuni kubwa za usafirishaji duniani, baada ya meli kubwa ya kisasa ikiwa na shehena kubwa zaidi ya magari kuwahi kutia nanga bandarini hapo. Meli hiyo ya TRANQUAIL ACE (IMO: 9561253) inayomilikiwa na Kampuni ya Mitsui ikitokea moja kwa moja nchini...
  7. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Meli ya kisasa ya kivita iliyotengenezewa Urusi yatia nanga Kenya kwa mazoezi ya pamoja na KDF....sema nyoko uone

    Wanajeshi kutokea mataifa kadhaa (USA, India, UK n.k.) kuhusika kwenye haya mazoezi ya pamoja.....mwendo wa kutunisha misuli kuonyesha ubabe au kwa kifupi nani baba lao.....jifanye kama unajikuna tuone. Brahmos cruise missile INS Talwar ship lands at the coast in Mombasa on Tuesday, July 27...
  8. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bandari ya Lamu yazidi kupokea meli zaidi, mambo yanataradadi

    Lamu port will receive the third vessel this week from CMA CGM as three shipping lines position themselves to start handling freight by transporting cargo handling equipment to the facility. The first CMA CGM vessel to make a maiden call will dock in Lamu on July 4 from the former Soviet Union...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya YÜTEK ya Uturuki yasaini mikataba ya ujenzi wa meli

    15 June 2021 Mwanza, Tanzania Rais Samia anashuhudia utiaji saini mikataba 5 ya ujenzi na ukarabati wa meli Shilingi Bilioni 417. Rais Samia Suluhu Hassan ashuhudia utiaji saini mikataba 4 ya ujenzi wa meli mpya na mmoja wa ukarabati wa meli . Mheshimiwa Rais amefarijika kuona kazi inaendelea...
  10. Erick Kalemela

    JamiiForums Tanzania TANZIA Salehe Songolo, aliyetengeneza Meli za MV Mbeya na MV Songea afariki Dunia

    Mmiliki wa kampuni ya songoro Marine amefariki Dunia akiwa mkoani Mbeya Mwananchi limeripoti.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Waitara awatumbua wafanyakazi wawili wa TPA kwa kushindwa kutoa taarifa ya ubovu wa meli ya MV Mbeya II tangu 2020

    Naibu waziri wa ujenzi Mwita Waitara amewasimamisha kazi Watumishi wawili wa mamlaka ya bandari kufuatia kitendo cha watendaji hao kuficha taarifa za ubovu wa meli mpya iliyopokelewa mwaka jana. Mwita amesema watumishi hao walikuwa wanaogopa nini kuieleza Serikali ubovu wa meli mpya hali...
  12. 2019

    JamiiForums Tanzania Meli kubwa ya mafuta ya Iran yashika moto

    Bado hakuna habari rasmi toka serikali ya Iran. Huu ni mwendelezo wa matukio ya kuungua kushambuliwa ya mara kwa mara kwa Iran. Huenda Israel ikahusika kulipua meli hii kubwa ya kijeshi. DW inasema meli hiyo imezama kabisa Chanzo cha habari DW kiswahili. 🎥 Telegraph ===== Meli kubwa kabisa...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania TPA yasitisha huduma za Meli ya MV Mbeya

    Huduma zimesimama ili kuruhusu zoezi la maboresho kufanyika. Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imesema Mei 03, 2021 Meli hiyo ya Abiria na Mizigo ilipata changamoto ya kupigwa mawimbi makubwa katika Bandari ya Matema kuelekea Bandari ya Mbamba Bay Hatua hiyo ya maboresho inazingatia umuhimu wa...
  14. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabaharia kutoka Syria waliokwama katika Bandari ya Mombasa wauza meli yao

    Mwenye meli aliwatelekeza mabaharia hao tisa na kukataa kuwalipa mishahara yao. Mabaharia hao kutoka Syria wamekwama katika bandari ya Mombasa kwa muda wa mwaka moja na miezi tisa. Mahakama ya Kenya imewaruhusu kuuza meli hio na kujilipa mishahara ambayo mwenye meli alikataa kuwalipa. Meli hio...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Meli ya India yawasili Afrika Kusini na kile kirusi Baba lao

    Mabibi na mabwana kutokea Afrika Kusini, kuna habari za meli kuwasili huko ikiwa na mzigo wa hatari na wa kutosha kutokea India: https://www.enca.com/news/vessel-india-docked-durban-crew-tests-positive-covid-19 Huu umewasili kwenye meli. Tena bila shaka kabla ya kutoka India walipimwa dhidi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Meli mbili Ziwa Nyasa zakumbwa na dhoruba kali

    3 May 2021 Matema Beach, Tanzania MELI ZA TANZANIA ZAKUMBWA NA DHORUBA KALI KTK ZIWA NYASA Kutoka Ziwa Nyasa meli mbili zinazomilikiwa na Mamlaka ya Bandari ya Tanzania zimekumbana na dhoruba kali inayoambatana na mvua kubwa. Meli ya abiria MV Mbeya II imepigwa na mawimbi makali jioni hii...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Zanzibar kuahidiwa Meli nne za Uvuvi, kwanini pia wasipewe ndege?

    Tumesikia nikiwa najiandaa kupanda mkarafuu nikadondoe dondoe nasikia kutoka redio iliyokuwa nakaribia kuifunga ,kuwa Eti Raisi wa JMT amesema Tanzania itanunua meli nane za uvuvi, nne zitabaki Tanganyika na nne zitapelekwa Zanzibar, nadhani watapewa shirika la meli la Zanzibar. Sasa vipi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wadau huko kwenu hali ya mafuta ya kupikia ikoje?

    Heshima kwenu wakuu sana! Niliwahi sikia kuna meli zilizo na shehena ya mafuta ya kupikia zimeingia na siku si nyingi bei ya mafuta ya kupikia itashuka kwa maana ya kurudi kama ilivyokuwa mwanzo. Baada ya kusubiri kwa miezi karibia miwili leo nimeenda kununua mafuta na cha ajabu bei imepanda...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Mjomba tununue ndege, mjomba tununue meli

    Mh. Tundu Lissu kwi,kwi, kwi kwi ,kwi, kwi. Mabadiliko ni lazima hata Ombeni Sefue alibadilishwa fasta; Vyeo sasa vinaanza kusambaa nchi nzima, kanda ya ziwa hehehehe, huhuhu.
  20. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Baaba ya Meli ya Evergreen kukwama Suez Canal pia lori la Evergreen lakwama China

    Jana usiku nlikuwa napitia taarifa kadhaa wa kadhaa mtandaoni, nikakutana na taarifa moja kwambe meli kubwa ya Evergreen iliyokwama pale Suez Canal imeanza kuelea, nikapitia habari kadhaa nipo nikakutana na hivi vitaharifa vya watu ambavyo watu huviwekea mhemko wa hisia tofauti. Coincidence...
Back
Top Bottom